Chadema kitasambaratika baada ya 2015? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema kitasambaratika baada ya 2015?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by William Mshumbusi, May 2, 2012.

 1. William Mshumbusi

  William Mshumbusi JF-Expert Member

  #1
  May 2, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 874
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Ni chama kikubwa kisichokuwa na media zake. Kimekosa tv na redio sawa. Sasa hata gazeti na majarida?

  Mbinu ya kujieneza wanayotumia chadema ni ya mikutano na maandamano tu. Ni mbinu nzuri ila lazima chadema iingie mpaka vijijini. Ndani ni lazma habari zake p+ ziene.

  Natabiri kifo cha chadema sababu kinawashabiki wengi kuliko wanachama ambao wangenunua kadi na kukijenga chama.

  Washabiki wanaoamini CHADEMA ni kisichokosea

  Chadema kinawanachama wanaovizia wenzao wakosee ili wapate sababu za kuutaka uongozi. Kama ilivyotaka kuwa baada ya arumeru.

  Mtu kama Zitto anayewaza zaidi kuongoza, aliyemdanganya Kafulila akaama chama. Aliyefadhiri kampeni za NCCR Kigoma. Mara baada ya kuukosa Uenyekiti. Ni mtu wa kumwangalia kwa makini mno kwa ustawi wa chama.

  Hoja za wananchi hazipiganiwi zaidi ni hoja za chama. Huwa nasema kwa chadema safi HAKUNA HAJA YA WANAHARAKATI
  HAKUNA HAJA YA VYAMA VYA WAFANYAKAZI
  HAKUNA HAJA YA .,,..
  Chadema iwe ni taasisi ya kitaalamu iajiri watalamu wa siasa na utafiti washugulikie maswala yafuatayo

  Kwanini wanawake wengi na wazee hawajihusishi na siasa. Ni wagumu kubadilika na jinsi gani wanaweza kubadili maamuzi yao

  wajue mbinu za ujumbe wa ukombozi wa taifa hili vipi utamfikia kilamtu ata aliyehoi kitandani!

  Tuandae wenyeshahada kugombea udiwani vijijini 2015 ili kupunguza wizi kwenye halmashauli kwani wengi hawatakuwa na ajira vyuo ni vingi kwa sasa. Kuboresha mishahara na marupurupu wakiichukua halmashauri kwani zinaela sema zinagawanwa na wakuu wa idara na naamini kutakuwa na mhitimu wa chuokikuu kila kata hadi 2015.

  Nasisitiza kujenga jina la chama na wanachama wanaoaminika tu. Ila kujenga jina la Zitto mnatafuta kulia asipogombea Uraisi 2015. CHADEMA KWANZA JINA LA MTU BAADAE. Huwa nashangaa wanachama wanaotumia muda mwingi kujenga majina yao na si jina la chama chao.
   
 2. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #2
  May 2, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Kichwa kamasi at work!
   
 3. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #3
  May 2, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Dua la kuku hilo utakufa wewe bila kukiona kifo cha CHADEMA leta ushauri na sio utabiri wa kishekhe.
   
 4. M

  Molemo JF-Expert Member

  #4
  May 2, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Tehe...Tehe....
   
 5. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #5
  May 2, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,041
  Likes Received: 6,477
  Trophy Points: 280
  Hilo jina lako limekaa kinafiki sana.
   
 6. m

  manucho JF-Expert Member

  #6
  May 2, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 3,410
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  akili makamasi, tope zito.
   
 7. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #7
  May 2, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  another big gamba @ work
   
 8. William Mshumbusi

  William Mshumbusi JF-Expert Member

  #8
  May 2, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 874
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Sijaona oni ata moja mmesoma kichwa cha habari mnaanza na kujibu. Ni vigumu kueleweka ukitumia lugha za kifasihi. Ukikosoa tu 'Magamba at work'. Poleni niliowauzi
   
 9. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #9
  May 2, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  :bange: come again??
   
 10. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #10
  May 2, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Jina linaonekana la kinshomile, kumbe mtu mwenyewe hata point huna. Hovyo kabisa!
   
 11. M

  MTK JF-Expert Member

  #11
  May 2, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 6,960
  Likes Received: 2,837
  Trophy Points: 280
  Hakuna umasikini mbaya kwa binadamu kama umasikini wa kufikiri; hivi wewe mtu mzima tafakari: Hizo media lukuki walizonazo magamba na mafisadi wengine mbona hazijawazuia kuporomoka kwa kishindo katika siku za hivi karibuni?!
  Hivi watu wanaposema Nguvu ya Umma ndio Supreme unaelewa nini?!
  We have no time for this kind of posts, it is a total waste of time and unnecessary strain on our meagre resources; time and brains topping the list of priorities.
   
 12. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #12
  May 2, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  kaka nikusaidie kitu,dunia ya sasa si ya kutafuta uhuru,haihitaji wanachama ili kuongoza nchi ukikubalika leo hata kama huna tawi la chama unapewa dola na mfano mkubwa ni igunga ambapo chadema ilipata kura nyingi wakati haikuwa hata na ofisi mwezi mmoja kabla rosta hajajiuzulu.

  jaribu kukaa na shaaban dede mwulize toka ameanza muziki anamiliki nini na nini halafu rudi kwa diamond mwulize na yeye anamiliki nini na nini?
  hakuna kitu kibaya kama kubishana na wakati.
   
 13. Eng. Y. Bihagaze

  Eng. Y. Bihagaze Verified User

  #13
  May 2, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 1,481
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Unaaibisha !!

  Unaaibisha Kishwahili Kama lugha ya mawasiliano

  Unaainisha kabila letu linalojikampeni Kama mabingwa Wa Kiingredha Na Kiswahili Na mabingwa Wa kutoa maelezo ya explainesheni kwenye mazungumzo ya diskashen..

  Unaaibisha kutuma post ya kigumesheni Kama Gambaz

  Unaaibisha ..
   
 14. k

  kijereshi JF-Expert Member

  #14
  May 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 257
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  wadau naomba nitoke nje mada mniwie radhi wenzetu wakenya wako makini sna na mambo yao kma kuna mtu anaweza kuangalia citizen tv sasahv live coverage of the vetting of magistrates and judges hakuna longolongo kma ulivuruga kesi unapigwa chini on the face of it,judicial system yao iko makini sna sasahv anafanyiwa vetting lady justice martha koome
   
 15. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #15
  May 2, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Too young to comment!
   
 16. G

  GRAY New Member

  #16
  May 2, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  chama hakiwezikufa
  1. chama lazima kianze kuwa na ushabiki/ washabiki(popularity) baada ya kujulikana kwa sera madhubuti, misingi na mikakati yake washabiki wanajiunga kuwa wanachama, mfano ulio hai ni wanachama wengi wa ccm ukiwauliza hawana sababu za msingi za kuwa wanachama wa hicho chama cha mafisadi,CHADEMA ni chama imara lazima tuanze na popularity usisahau CHADEMA imeanzisha 1992 ni chama kichanga KIMUDA sio KISERA, na kimepata umaarufu baada ya uchaguzi wa 2010

  2. chama kina sera zake kwa iyo wanachama na viongozi wa chama husika wanafuata sera sio jinsi wanavyotaka wao maana chama kimesajiliwa kisheria na wanachama na viongozi wanatakiwa kufuata sera

  3. chama hakiwezi kufa bali kinapoteza umaarufu, ccm haijafa ila imepoteza umaarufu kwa iyo watu watakuja kukisahau kama KANU ya kenya, na ndio hivyo inavyotokea

  4. CHADEMA kinazidi kuwa imara kadri siku zinavyozidi kwenda, na kitajiimarisha baada ya kuchukua dola au kuwa na wabunge wengi, kwa sababu vitu vinavyoonekana haviwekani sasa vitawezekana, sisi ni matajiri tuna ARDHI, WATU kilichokosekana ni SIASA SAFI na UONGOZI BORA
   
 17. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #17
  May 2, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 1,112
  Trophy Points: 280
  Sasa wewe unauliza nini? kwanza CDM haifiki 2015 itakuwa imeshachuja na kupotea kabisa katika ulingo wa siasa hapa Tanzania. Itabaki midomoni mwa wavuta bange na majuha wengine.
  .
  "WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
   
 18. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #18
  May 2, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,108
  Trophy Points: 280
  Malelia ndo inakusumbua!
   
 19. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #19
  May 2, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,108
  Trophy Points: 280
  unaumwa m.aa.v.i.
   
 20. Songoro

  Songoro JF-Expert Member

  #20
  May 2, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 4,136
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Mkweo kala hasara!,mtoto wako bora awe yatima kuliko baba kama ww,mkeo bora awe mjane kuliko mume kama wewe,mwajir wako bora afunge ofisi kuliko mfanyakaz kama ww, umuhim wako kwa chama chako ni uwepo wa j.k siku ya mazish yako only!
   
Loading...