Jitolee kwa kusoma hapa na kutoa ushauri wako na kupanua mawazo kwa wenye maamuzi

haki na usawa

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
481
135
Nini kifanyike kama wezi/wasio na sifa wakapewa uwaziri tena?
Je una taarifa zozote juu yake (mteule) ili kurahisisha kumwondoa kwa kuelezea wizi/ubadhirifu kupitia vyombo vya habari katika nchi hii kabla ya kufisidi nchi hii jitolee kwa kusaidia nchi yako maana yaoneka kuna uhaba katika uchunguzi wa wateule!
Je wawezaje kusaidia kuondoa uteuzi mbovu kwa kufuata urafiki,kulipa fadhila, na nk?
 
Back
Top Bottom