Hukumu ya Mbunge Lema Imeibua Mahakama za Mitaani!!?

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,140
13,215
Kwa kweli nahisi taaluma ya sheria imeingia ruba kwani kufuatia maamuzi ya Jaji wa Kesi iliyokuwa ikimkabili Mh. Lema sasa hivi watu wamegundua kumbe ni rahisi tu kubashiri nani atashinda kesi au kushindwa, nasema hivi kwa kufuatilia mitandaoni na kusikiliza mijadala mingi kuhusu utabiri wa hukumu za kesi za uchaguzi.......

Huyu Jaji anafaa kuenguliwa na yeye.................
 
Hizo kesi za mtaani zinatumia vigezo gani? ni kweli yule judge karipua mbaya, kiasi flani muhimili wa sheria siuamini tena!
 
Kimsingi maamuzi ya kesi si mchezo, unaangali vitu vingi sana ndio maana hata majaji wenzake walimshangaa sana huyu Jaji, wewe tizama hukumu za jana, ya S'wanga ilikuwa na pages 68!!! (of course huenda si wing wa pages) but at least you can tell, sasa watu wameona ni mzaha mzaha tu! hizi za mitaani kwa sasa zimekuwa na tashwishi ya kisiasa tu kama ilivyo wengi wanavyoshabikia mpira kwa sababu tu amebet kwa timu fulani........Huenda tunahitaji mjadala wa kikatiba katika hili........
 
Mfano kuna kitu kinaitwa Res Gestae katika kufikia maamuzi

Res Guestae is the things that are immediately connected with happening of an event, an action etc including the circumstances, situation, immediate responses , statements etc which has close relevance to the occurrence of that event or action

sio hearsay za mitaani

Uliye andika hii thrd, fanya utafiti kidooogo huyo judge wafanyakazi wenzie wanamuonaje! Mimi nilifanya mmmmh!
 
Wafanyakazi wenzie wanamuona kama ana akili nyingi zaidi, yaani kajaaliwa akili za ziada! Nadhani umenielewa!
 
Kimsingi maamuzi ya kesi si mchezo, unaangali vitu vingi sana ndio maana hata majaji wenzake walimshangaa sana huyu Jaji, wewe tizama hukumu za jana, ya S'wanga ilikuwa na pages 68!!! (of course huenda si wing wa pages) but at least you can tell, sasa watu wameona ni mzaha mzaha tu! hizi za mitaani kwa sasa zimekuwa na tashwishi ya kisiasa tu kama ilivyo wengi wanavyoshabikia mpira kwa sababu tu amebet kwa timu fulani........Huenda tunahitaji mjadala wa kikatiba katika hili........

Tatizo hukumu ya Lema ilisomwa kwa muda mfupi mno kiasi kwamba kila 7/10 ya watanzania wameguna juu ya judge huyo.SAUTI YA UMMA NI SAUTI YA MUNGU.
 
Na hii ya Mahanga nayo ni ksheshe lingine....aaaaaiiiiibbbbuuuuu!!!!!?????
 
Hapana ni uelewa wa wananchi na watu wa kawaisa umeongezeka
kadhalika tashwishi ya kutaka magamba yang'oke, JK alivyopokelwa Tanga ni taswira nyingine...........wasome alama za nyakati
 
Back
Top Bottom