Sabodo anaisaidia au anaiogopa chadema? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sabodo anaisaidia au anaiogopa chadema?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MAMA POROJO, May 2, 2012.

 1. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #1
  May 2, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Tangu Sabodo alipoanza kumwaga fedha CHADEMA kumekuwepo na makundi mawili yanayopingana wale wanaosema msaada huo unaonyesha kwamba Sabodo ni mzalendo na wale ambao wanasema Sabodo anajiandalia mazingira mazuri kwa kucheza karata zake vema endapo CHADEMA wanakamata dola.  Mara nyingi tumekuwa na hofu CCM inapopata msaada wa fedha kutoka kwa wafanyabishara lakini hofu hiyo hutuondoka CHADEMA inapopewa fedha na wafanyabiashara. Sabodo akitoa fedha CCM tumesikia makofi machache JF lakini akitoa fedha chadema makofi mengi.


  Ni nini maana ya SABODO kutumikia vyama vya siasa viwili?


  Kama SABODO amekosana na CCM anaogopa nini kujiondoa badala ya kuwa kama mwanamke mwenye mabwana wawili?


  Je SABODO hajatumwa na CCM kuibomoa CHADEMA?
   
 2. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #2
  May 2, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Muulize Mwenyekiti wako Mgeja
   
 3. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #3
  May 2, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Mkuu , Defensive mechanism. Anasoma alama za nyakati si unajua tena mambo ya ufuaji wa fedha haramu (Money Loundering). Kapata utajiri akiwa CCM, anasaidia CDM akiwa CCM. Nadhani jibu liko wazi Sabodo ama katumwa au anajaribu kuwa kama Sarafu(Pande mbili). Lakini swali la msingi tu hapa kwa Makamanda siku wakichukua nchi Sabodo watamueza? au nao wamewaonea wivu wenzao wa CCM(Wanataka kuwa na ROSTI YA HAMU) wao?
   
 4. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #4
  May 2, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,904
  Likes Received: 2,332
  Trophy Points: 280
  Mchezo anaocheza Sabodo kwa vyovyote vile utamletea matatizo.
  Contribution yoyote kwa Chama au Vyama si msaada kwa jamii, hivyo inapaswa kulipiwa kodi.
  Najua msaada kwa Chama tawala watafumba macho lakini kwa CDM ni lazima jamaa wa TRA wata mwingilia.
  Mfano ukitoa millioni 100 basi inabidi kwa Pilato upelele millioni 30(30% tax on prifit).
  Lakini kwa vile anazo bado pengine si tatizo
   
 5. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #5
  May 2, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Mkuu mimi nabaki mdomo wazi kwa kweli kuhusu SABODO, CCM na CHADEMA. CHADEMA na CCM paka na Panya, SABODO kwa CCM na CHADEMA mambo waaaa! Hili jambo limekaaje? LAKINI mimi naomba niwe na jicho la tatu. Inawezekana kabisa SABODO akawa anachukua tahadhari kutokana na biashara zake aidha kutokuwa halali au anatengeneza mazingira ya kutokuwa na biashara halali kwa baadae. Lakini pia SABODO anaweza kutumia mwanya huo kuendesha biashara haramu hivi sasa akiwa na kinga ya kisiasa kwamba endapo uhali wa biashara yake utahojiwa na vyombo vya dola basi kisingizio kiwe eti anaonewa kwa vile anakisaidia chama fulani cha siasa. Mwisho kabisa nimalizie kwa maandishi makubwa kabisa tena kwa kuya-bold ili JF tusijifanye hatujauona msatari huo kwamba, BADALA YA SABODO KUOGOPA MAMBO YANAWEZA KUWA KINYUME KABISA YAANI SABODO AKAOGOPWA kama ambavyo RA alivyokuwa akiogopa Chama, lakini hivi leo yeye ndiye anayeogopwa. Asanteni.
   
 6. k

  kamau ngilisho Member

  #6
  May 2, 2012
  Joined: Apr 14, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mbona mnawasiwasi sana na huyu mzee wkt ashajizeekea hana cku nyingi huyo mwacheni atoe.
   
 7. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #7
  May 2, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  aisee kama ccm imemtuma huyo mhindi aibomoe chadema kwa kuwapa shs million 200 na kuwaahidi kuwajengea ofisi mpya za makao makuu mh...basi na mi naomba huyo mhindi atumwe kwangu kunibomoa anipige na shs million 20 za fasta fasta:shock:
   
 8. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #8
  May 2, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,992
  Likes Received: 2,649
  Trophy Points: 280
  Mjadara wa kipuuzi kabisa,mbona wakati anatoa CCM mlikuwa hamsemi?acheni wivu wa kijinga alaaa!!!.
   
 9. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #9
  May 2, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,778
  Likes Received: 36,775
  Trophy Points: 280
  M4C ni movement inayopokea mchango wa pesa safi yoyote.
  sasa kama unafatilia kwa makini, wanaochangia through M4C ni wengi sana kwa iyo hilo swala la sabodo ni swala linalohusu mamilioni ya watanzania wote wanaochangia chama hichi.
   
 10. J

  Jamer winner Member

  #10
  May 2, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mtu kama wewe unabolewa kwa t-shirt na kanga ya mama ako au mkeo upo hapo!
   
 11. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #11
  May 2, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Huo ni mtandao wa RA na ED ndo unajipenyeza ili mwisho wa siku mambo yale yale tuliokuwa tunapigia debe kuwa tunayakataa. Hivi unataka kuniambia kuwa mpaka hapo kuna tofauti kati ya CCM na CHADEMA kweli? CCM ukitoa herufi ya kati jibu= CM, CDM ukitoa herufi ya kati jibu=CM. Wafadhili wakuu wa CCM, wafanyabiashara, Wafadhili wakuu wa CDM, wafanyabiashara. Wanachama wengi wa CDM, kutoka CCM. Majina yao ya utani MAGWANGA kwa MAGAMBA, mule mule tu. Mbinu za ushindi zile zile iba niibe, piga nipige, tukana nitukane, hakuna anayejifanya mjinga. Mafahari wawili wanapogomba zinazoumia ni Nyasi na tutaimia weli.
   
 12. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #12
  May 2, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
   
 13. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #13
  May 2, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Ulikuwa na maana ya mjadala? Hiki kiswahili jamani mbona tunacho kila siku? au Jazba Mkuu. Tatizo siyo kusaidia CCM ama CDM , tatizo nini lengo lake? asichunguzwe biashara zake sasa au hata baadaye au au ni ongezeko la wafanyabiashara wanaosafisha peza zao. Hii ni hatari sana.
   
 14. j

  jiglius New Member

  #14
  May 2, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  daah huyu jamaa sjamsoma kabisa ana nia gan na cdm aangaliwe kwa makini
  si ajabu ni mamluki na hzo pesa anazotoa anapga biashara gani?
   
 15. stroke

  stroke JF-Expert Member

  #15
  May 2, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 13,362
  Likes Received: 6,539
  Trophy Points: 280
  hehe ..mimi nafurahiaga mabusu anayopigwa sabodo na dr.slaa, last time slaa alimbusu sabodo shingoni alipotoa milioni 100 na kutoa ahadi ya kujenga visima kumi arumeru mashariki..siku sabodo akitoa milioni 500 si ndo slaa atamla denda kabisa..aibu..fedha fedheha..
   
 16. Trustme

  Trustme JF-Expert Member

  #16
  May 2, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,172
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Sasa lengo lake unaweza kulijua wewe? hakuna anayeweza kujua lengo lake hapa, inabaki kutoa mawazo binafsi tu yasiyo na mashiko. Mi sioni tatizo kama michango yake inawasaidia wananchi. Bora yeye hata kama hajalipa kodi lakini angalau wananchi wanapata visima vya maji. Sasa tatizo lako nini? au kwa sababu NCCR,UDP hawajapewa? Muda wao bado coz hata CDM wamefanya kazi kubwa hadi unaona sasa wanachangiwa. Hapa ni law of the jungle inatumiaka bana "Survival for the greatest"
   
Loading...