Hivi ni kweli hakuna wataalam wa kitanzania wa kutosha kuweza kusimamia rasimali .. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ni kweli hakuna wataalam wa kitanzania wa kutosha kuweza kusimamia rasimali ..

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Dr Klinton, May 2, 2012.

 1. Dr Klinton

  Dr Klinton Senior Member

  #1
  May 2, 2012
  Joined: Jan 21, 2012
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimeonana na jamaa mmoja mtwara hapa. sehemu moja inaitwa villa park. Nikiwa katika harakati za kumhudumia bosi tumbo deni la dunia.....
  The guy is an oil engineer expatriate from Congo Brazzaville working for a certain American Based oil exploration company which have links with George W B.
  Nikamuuliza opinion yake kuhusu sector hii Nishati ya Madini na ushiriki wa watz akanijibu...
  Wabongo wengi hawana shule kuweza kushiriki kikamilifu katika Hii sector.kiasi Kwamba serikali ya Tz imekua ikiwaita wataalam kutoka nje ya nchi Kama Nigeria , Congo Brazzaville n.k kuja kutrain Wabongo.Lakini pia akaniuliza ''hivi wewe unafikiri mimi nikija kutrain hapa hawajaanza watanzania nitahakikisha mnakuwa wazuri kweli! Ili nisipewe deal tena?
  Nikamjibu kwa kutoa tabasamu kavu ...
  Akaendelea, ili Tz mfanikiwe lazima mmpeleke watu shule wengi la sivyo hizi shughuli zikianza pia zitaishia kuajiri watu wa nje wengi na pia Kama wamiliki wa hizi rasimali mtashindwa kusimamia vizuri hivyo kufaidisha the Muzungu (akimaanisha Wazungu)
  Akanambia kampuni anayofanyia imeandaa project kubwa sana ambayo Kama watanzania tutakuwa makini itakuwa na manufaa makubwa sana kwani gesi iliyogundulika ni nyingi mno kiasi Kwamba hiyo kampuni yake inajiandaa kuitumia kwa ajili ya kutengeneza umeme pia kuiuza nje ya nchi kwani Watz peke yetu hatutaiweza kuitumia na kuimaliza.

  Je, ni kweli watanzania hatuna wataalam kwa ajili ya Hii sector? Na Kama hakuna kweli serikali haina uwezo wa kusomesha au imeshindwa kusomesha hadi leo hii?

  Pili huyu George W B ameinunua nchi yetu kiasi gani?

  Najifikiria!!!
   
Loading...