Chadema muwe makani CCM ishaanza karata zake za 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema muwe makani CCM ishaanza karata zake za 2015

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by FredKavishe, May 2, 2012.

 1. F

  FredKavishe Verified User

  #1
  May 2, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ccm imeanza kucheza karata zake vizuri kuelekee mwaka 2015 ni dhairi mtu yoyote ambaye ccm itamsimamisha atakua lowassa na si mwingi kwanza amekishika chama,ana jina kubwa na anafahamika sana.

  Angalizo tu lowassa sana anazunguka kona zote kwenye makanisa misikiti kutafuta kura za 2015 kuleta watu wamkubali kuwa ndo raisi atakaye tufaa sisi watz.

  Ccm inahitaji mtu ambaye ataweza kuwalinda baadhi ya maraisi wastaafu kina mkapa hataondoa kinga ya raisi ya huyu mtu ni lowassa tu ambaye hatakubali kupata pressure kutoka kwa vyama vya upinzani kuondoa kinga ya uraisi.

  Karata zinachezwa vizuri sasa CCM inataka ituambie kuwa tatizo sio chama bali tatizo ni kikwete o baadhi ya watu sasa hata akisimama Lowassa 2015 awe ana uwezo wa kushinda.ubaya zaidi na hii ngoma baadhi ya magazeti yetu washaanza kuicheza hii ngoma tuzibebeshe lamawa kwa baadhi ya watu na si chama.

  Ndo maana mtaona kamati kuu ya cc CCM ndo iliyochukua hatua kumuambia raisi awaadibishe mawaziri hii italeta imani kwa chama kwamba kuna baadhi ya watu ndo wanakichafu na sio chama chote kinachafu.

  Ni wakati wa CDM kugundua hizi mbinu hakika nawaambia Lowassa ndio atakaye simamishwa na CCM hakuna mwingine na huyu jamaa kashaanza karata zake anatafuta kura kutokana na dini mbili waislamu,wakatoliki,walutheri hizi ndo kura anazotafuta bwana mkubwa Lowassa.

  Nape kila siku anasema anapigania ufisadi hapana na hakuna kitu kama hicho kama nape angekua mwiba kwa lowassa asingepewa cheo kile CCM.nape kapewa kazi moja kupiga kelele za kujivua gamba wananchi warudishe imani kwa CCM.na ile kujivua gamba kwa rostam ilikua ni kama kutoa sadaka ili watu warudisha imani kwa chama.hii ni kama lowasa alivyojitoa kafara kipindi kilichopita kuilinda serikali ya jk.

  Mtu ambaye ni mwiba kwa lowassa ni mzee Sitta huyu jamaa ndo mwiba sana hakika kama jk asingempa wizara ya afrika mashariki chama kingekua kwenye hali mbaya.hivi tujiulize kwa staili ya makinda je Richmond ingesomwa bungeni.Sitta alikuwa na kinyongo na kisasi cha kukosa uwaziri mkuu sasa ndo akalipiza kisasi kwa lowasa na yeye kukosa uwaziri mkuu.
  Jikumbushieni maneno ya Lowasa akiwa anajiuzulu bungeni.

  Amini nawaambia CCM hakuna mpambana na ufisadi wote wanataamaa na madaraka na kulipiana visasi tu wote ni wale wale.

  Sasa ni wakati wa CDM kuicheza ngoma kuvunja zile kambi za CCM zote kuanzia mijini mpaka vijijini.

  Kuhusu Ole millya kuhamia CDM:
  Nawapa onyo viongozi wa CDM wamechunge maneno ya Ole millya anayoyatoa eti anasema amejitoa CCM kutokana na Ufisadi na pia kutokana na umoja wa uvccm pwani kusema raisi hatatoka Kaskazini.
  Hii ni mistake kubwa sana kwahiyo alivyoamia CDM inamaana ndo raisi atatoka kaskazini haya maneno yatawagawa wapiga kura huu jamaa tuwe nae makini kwa sana tena sana nahisi ana ajenda ya siri kuja kutekeleza mission alizotumwa na baba yake lowassa.

  Ngoma tu hiyo iko uwanjani shime kwa CDM popote musomapo ujumbe huu pelekeni elimu ya uraia kwa tuwaambie ni nini sera za CDM tuwachambulie ni jinsi gani umasikini utawatoka ni jinsi gani sera ya majimbo inaweza kupoteza ufujaji wa mali za umma.
  Tuwaambie ni jinsi tutapunguza matumizi ya serikali.

  Naomba tuutuze huu uzi imebaki miaka miwili na nusu kimahesabu tujipange sasa tuwe na umoja kuliko mwanzo kuliko ilivyokuwa 2010 tungane tumtoe CCM mwaka 2015 haijalishi nani atasimama hata akiwa Lowassa tuwe tayari kupamabana naye yoyote atakaye kuja mbele yetu tuwe tayari kushikana na mashati na kuhakikisha tunachukua nchi.
  Umoja wetu ndo utakao tupa ushindi mwaka 2015 na sio kupigana vijembe hapa kila siku.
  Tukubali kukoselewa na kupokea hizo kasoro na kutoa majibu ya uhakika.

  Kingine siamini sana vijana o hata watu wanaotokea CCM tuna vijana wetu wengi sana vyuoni wako tayari kugombea tuwape nafasi ya kuonyesha uwezo wao.

  Vijana wana uwezo wakipewa nafasi hebu tuwape nafasi sio wana CCM wanakuja CDM ili wapate ubunge basi tunawapitisha hapana wakae bench miaka 3 wakipimwa kabla ya kupewa nafasi.

  Wakati ni huu wakati ni sasa hakika tunauweza kuchukua nchi kila mmoja akiwa na lengo la kuikomba ukiwa kwanye daladala,kwenye basi,kwenye bar,kijijini itangaze CDM kwamba ndo mkombozi wa nchi.
  Muda ni huu tuamue tuache keyboard zetu tuingie road sasa kutoa elimu.


  Majanikv
   
 2. M

  Malova JF-Expert Member

  #2
  May 2, 2012
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  very good
   
 3. H

  Hingi Jr Senior Member

  #3
  May 2, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 146
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nani kakwambia CCM kitamsimamisha Lowasa? CHAMA CHA TAWALA KINA UTARATIBU WAKE WA KUPATA VIONGOZI NA MPAKA SASA HAKIJAKAA KUAMUA NANI WA KUMSIMAMISHA MPAKA WAKATI AMBAO INABIDI KIFANYE HIVYO KUPITIA MKUTANO MKUU WA TAIFA.Tatizo lenu nyie CDM mnapenda sana kukisemea Chama cha Mapinduzi kwa kufikiri CCM ni kama chadema.
  Waambie wenzako wanajisumbua bure kutaja jina la mtu huyo kwani CCM ndio kwanza tunafanya chaguzi zetu za matawi sasa hivi mpaka mwezi wa kumi tutakuwa tumemaliza ngazi zote.Na wanachama watakao na wanaochaguliwa sasa sio hao wenye mawazo kama yako.Watachagua Kiongozi Bora na Makini kupeperusha bendera ya CCM wakati ukifika.

  KIDUMU CHAMA TAWALA CHA CCM!
   
 4. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #4
  May 2, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Nimependa angalizo la umoja kwa wanaCDM kuhusu kuwa na mshikamano na kukieneza chama kila mahali kwa nguvu,akili na nia moja.ILA KUHUSU MGOMBEA KUPITIA CCM EG.LOWASA AU MWINGINE YEYOTE HAOGOPWI NA CDM.NA SI MGOMBEA WA URAIS TU BALI KWA NAFASI ZOTE EG.SERIKALI ZA MITAA 2014,UDIWANI NA UBUNGE 2015.HAKIKA CDM ITATISHA.ZIDUMU BUSARA NA HEKIMA ZA WANACHADEMA POPOTE WALIPO.NAWATAKIA MAANDALIZI MEMA KWA KILA AINA YA NAFASI YA KUGOMBEA NAFASI YA UWAKILISHI POPOTE PALE HAPA NCHINI TZ.
   
Loading...