Kesho ndiyo ile kesi ya makongoro na mpendazoe mm binafs nina uwakika wa chadema kushinda kudhihirisha hilo nitabeba bendera na vuvuzela la chadema na kutinga nalo mahakamani kesho asubuhi mida ya...
Kwa kuwa katiba ilikuwa ikimpa mwananchi haki ya kuchagua na kuchaguliwa bila masharti ya kuwa kwenye vyama vya siiasa; bunge lilikaa na kufuta haki hiyo!
katiba inampa mwanachi haki ya...
KISWAHILI kinao usemi uliozoeleka kwa wengi kwamba, asiyesikia la mkuu huvunjika guu!
Pia, upo mwingine, la kuvunda halina ubani. Semi hizi ndizo zinazofaa kutumika katika zama hizi ili kueleza...
UCHUNGUZI wa kifo cha Mwenyekiti wa Chadema, Kata ya Usa River, Msafiri Mwambo (32) umefanyika jana kwa kushirikisha, maofisa polisi na ndugu na jamaa wa marehemu , akiwapo Mbunge wa Jimbo la...
Wakuu nawasalimu wote kwa jina la aliye mkuu,
Sikuwa na ulazima wa kuanzisha thread hii lakini nimelazimika kuianzisha thread hii mapema ili kuondoa mikanganyiko isiyokuwa na ulazima
Ikumbukwe...
Nimebahatika kuhudhuria mikutano ya Jumuia ya kiislam ya Uamsho inayofanyika kwa kasi visiwani Zanzibar
1)Mkutano uliofanyika Makunduchi kusini Unguja. Mwitikio ulikuwa mkubwa . umati wa watu...
Zipo tuhuma nyingi zinasema Iran ndio wanaosapoti kundi la wana uamsho wa zanzibar kujitenga na Tanzania bara.....kipindi cha nyuma pia minongóno ilishawai tokea kuwa Iran inashirikiana na...
Wanachama tisa wa CCM aka Magamba wenye hadhi ya Udiwani kutoka maeneo ya Longido na Ngorongoro watahamia kwenye jeshi la ukombozi CDM kesho lakini kuwekwa hadharani keshokutwa kupisha..Gamba...
Gazeti la kiongozi linalomilikiwa na kanisa katoliki leo limeeleza kinaga ubaga jinsi lowasaa alivyojialika kwenye sherehe za kumsimika Askofu libena wa jimbo jipya la ifakara.
Akitoa maelezo...
kwa jinsi watanzania hasa wananchi wa Arusha walivyoikinai serekali legelege iliyopo madarakani hapa hata aje mtu kilaza kiasi gani atapata ubunge ,sharti moja tu asimame kwa kiti cha...
leo wazanzibari wanaandamana hawataki muungano,watanganyika wanasema muungano si halali na hauna manufaa,vipi juliasi angekua hai haya mambo yangezungumzwa kwa staili gani?.sikumbuki ni mwaka...
Kada wa CCM na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga Ndugu Mgeja, anadaiwa kataka Mzee Sabodo kuvuliwa uanachama wa CCM kwa kitendo chake cha kuisaidia CDM, anesema anacho kifanya ni usaliti...
Naombeni msaada Kwa mtu anayeelewa vizuri plan ya serikali kuhusu Namanga.
Mtaa wa Makangira Msasani.Eneo ninalozungumzia ni squatters pale nyuma ya maduka ya Namanga.
Kuna mtu anataka kuniuzia...
Mkurugenzi wa wa Habari na Uenezi wa Chadema, John Mnyika
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimekosoa kusudio la kusuka upya Baraza la Mawaziri unaotarajiwa kufanywa na Rais Jakaya...
Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi imemwelekeza Rais Jakaya Kikwete kusuka upya Baraza la Mawaziri, kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa juzi. Hayo hayakuwa matazamio ya wengi katika CCM, na jana...
SAKATA la wimbi la viongozi wa vyama vya siasa nchini kujiunga na Chadema, limeendelea mkoani hapa baada ya Makamu Mwenyekiti mstaafu wa TLP, Tanzania Bara, Westgate Rumambo kujiunga na chama...
Sasa hii kali Hatimaye Mheshimiwa Lucy Inde(lusinde) atajwa kuwa miongoni mwa mawaziri wapya watakalo suka hilo baraza jipya, vyanzo vyangu vya habari inasema Kibajaji amepewa hiyo nafasi ili...
habari jf,
nipo kijiji cha Old Shinyanga, kilichopo manispaa ya Shinyanga mjini kwa muda wa siku mbili sasa. Nimekuta uozo wa hali ya juu, ubadhirifu mkubwa wa mali za wananchi na kukosekana...
Ni ukweli ulio wazi kwamba mahakama zetu hazipo huru so hata siku moja CHADEMA tusitegemee haki iliyo kamili kutoka ktk mahakamA hizi za CCM,. Tumeshuhudia jinsi kesi ya G. Lema ilivyohujumiwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.