Masheikh wakutana kutoa hoja kuhusu muungano! Wanaukataa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Masheikh wakutana kutoa hoja kuhusu muungano! Wanaukataa!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kasimba G, May 1, 2012.

 1. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #1
  May 1, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,569
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Ya leo kali zaidi, Mashikh pamoja na watu wengine wanaojiona kuwa wana mapenzi mema na Zanzibar wamekaa na kutoa matamko kuwa ni haki yao kudiscuss muungano na kutoa muundo wanaoutaka na hata kuuvunja kwa kuwa wao ni Taifa mshiriki katika huo muungano.

  Masheikh na hao wanamageuzi wanasema eti ni upotoshaji wa makusudi unaofanya na baadhi ya viongozi waliopo madarakani kusema watu wanaodiscuss muundo wa Muungano ni wahuni na hawana kazi.

  My take: Wazanzibari hawautaki muungano, kwani kwenye mkutano huo wengi walikili hivyo,
  watanganyika wamekaa kimya, je wanautaka?

  Kura ya Muungano inahaja ya kupigwa ili kuondoa matatizo mengine yanayoweza kutokea baadae, muungano usiwe wa kulazimishwa kama ilivyo sasa, uwe wa hiari.
   
 2. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #2
  May 1, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Kasimba G,

  Ndugu yangu kosa dogo ulilolionyesha kwenye post yako ni neno "wanaojiona kuwa wana mapenzi mema na

  Zanzibar"
  , sio sahihi kuwa biased unapoanzisha mada!

  Labda nikuulize swali ndugu yango:

  Je zanzibar sio mshirika katika huu muungano?

  Na wewe unakubaliana na hoja hakuna kuujadili muungano?

  Je si haki ya waznz kuukataa muungano pale wanapoona hawanufaiki nao?
   
 3. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #3
  May 1, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,569
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Inahitajika hoja, yaani kiufupi nilikuwa nalainisha mjadara lakini sio mtazamo wangu! Si unajua kuwakilisha hoja!
   
 4. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #4
  May 1, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 22,685
  Likes Received: 17,741
  Trophy Points: 280
  Watoe pia tamko kuwa CHADEMA ndio chama bora 2010-2015
   
 5. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #5
  May 1, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280

  Mbona hueleweki?! Hapo kwenye Blue na RED, ni nafsi mbili tofauti ndani ya mwili mmoja!!!! Kwenye Blue, unaonekana kuwakejeli na hapo kwenye RED unaonekana kuunga mkono....vipi?! By the way,

  All in all, don' undermind Zanzibaris or any person anayelilia haki ya kuwa na maoni huru kwenye suala la muungano!!
   
 6. U

  Uthman Member

  #6
  May 1, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Wakubwa siamini kama Wazanzibari wote hawautaki muungano na wala si kweli kama watanganyika wote wanauependa muungano isipokuwa wako kimya tu.Ni vizuri kujadialiana.Kuna watu ambao ndani ya nafsi zao wanaamini zanzibar immemezwa kwenye muungano na inashindwa kufanya maamuzi yake ya kisera kama kuwa karibu na marafiki inaodhani wanaweza kuwasaidia.Vile vile Tanzania bara tumekuwa wagumu kuelewa kwamba Zanzibar ni taifa la kiislamu kwa hiyo liachie huru kudumisha utamaduni wake na kujiunga na jumuia za kiislamu.Kuwawekea kauzibe katika masuala ya dini yao ndio kumeleta choko choko zote hizi.

  Tujadilianeni kwa uwazi na kuheshimu ustaarabu wa kila upande.
   
 7. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #7
  May 1, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,569
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Nimesha eleza hapo juu, ni uwasilishaji tuu!
   
 8. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #8
  May 1, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,569
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Yeah, hata mimi nilipenda saana iwe hivyo, sijui ni kwanini viongozi wetu wanatuburuza kwenye hili, nadhani kura ya maoni ingekuwa nzuri saana ili ku resolve problem zinazoweza kutokea baadae
   
 9. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #9
  May 1, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,948
  Likes Received: 1,274
  Trophy Points: 280
  tatizo kubwa la Muungano ni ccm. Wana uhakika wa wabunge 40 toka Zenj kwani upepo wa 2015 kwa Tanganyika lazima wazidiwe wabunge. Tafakari
   
 10. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #10
  May 1, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Wako sahihi lakini unafiki wao ni kutomtaja aliyesema muungano usijadiliwe ambaye anajulikana kuwa ni Kikwete.
  Kitu kingine kinachonishangaza hawa wenzetu wazanzibari, wao wakiupinga muungano ni sawa lakini wanapotokea watu toka Tanzania bara wanapinga wanaonekana kama wabaguzi, refer Mh. Lissu bungeni.
   
 11. k

  kicha JF-Expert Member

  #11
  May 1, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 506
  Likes Received: 532
  Trophy Points: 180
  usilijue ilo tu. kumbuka ndo huyo huyo lisu alisema zanzibar inapendelewa bila ya kukumbuka kama zenji ni mshirika wa muungano, kwa iyo ulitaka achekewe tu, manaake mnaona hakosei.
   
 12. DASA

  DASA JF-Expert Member

  #12
  May 1, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 1,031
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Muungano kwa waTanganyika ni bila bila, uwepo au usiwepo hakuna tofauti. hatuwezi kupoteza muda kwenye hilo, si tunaomba waendelee kujitahidi ili wajitoe kwenye huu Muungano watupunguzie kiwingu.
   
 13. F

  FJM JF-Expert Member

  #13
  May 1, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Hao masheikh na wadau wengine wanaopinga muungano wana mawasiliano yoyote na wale wabunge wa Zanzibar waliotukukana Mh. Lissu matusi ya nguoni? Na kama wana mawasiliano nawo, waliwatuma kufanya/kusema nini hasa kwenye bunge la Muungano?

  Kama sikosei bunge la muungano lina wabunge kama 60 hivi toka Zanzibar, sasa wanaweza kuwaambia hawa masheikh nini maoni yao kuhusu muungano na kwa nini walimtukana Lissu?
   
 14. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #14
  May 1, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Kila Mara Mnazungumzia Wazanzibari hawataki huo Muungano; Mbona hamsemi kuhusu Wapemba?

  Ni lini hata wa Bara wameruhusiwa kuujadili huo Muungano? Sio Upande Mmoja Wabara Wengi pia hawaupendi Muungano

  Ni Uongozi wa CCM ndio unaoutaka huo Muungano...
   
 15. PENDING'ULA

  PENDING'ULA JF-Expert Member

  #15
  May 2, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 269
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ningechangia vizuri ningejua chanzo cha habari hii!
   
 16. K

  Kassim Awadh JF-Expert Member

  #16
  May 2, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 887
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Mkuu Tume ya katiba,,unajua wanaokataaa kwamba Muungano usijadiliwe ni ccm ambao wewe ni member wao-magamba? Binafsi naona ni haki na vema kuujadili kwa mapana ili kama tunaendelea nao basi urekebishwe kuendana na uhalisia wa sasa kila pande ifurahie
   
 17. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #17
  May 2, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mashehe kama raia wengine wote wana haki ya kutoa mawazo yao sema kinachogomba ni kule kuelemea upande mmoja. Muungano kwa taifa letu si tatizo kama ufisadi. Wangejadili ufisadi na siasa za kibabaishaji kwanza ningewaelewa.
   
 18. Pharaoh

  Pharaoh JF-Expert Member

  #18
  May 2, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mimi nataka serikali moja tu, ya Jamhuri ya Tanzania ili chokochoko za kupoteza muda ziishe, hata baada ya miaka 1000 hakuna wa kuigawa Tanzania tena.
   
 19. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #19
  May 2, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Wakristu wa Zanzibar wako upande gani katika hili?
   
 20. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #20
  May 2, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  wanasema zanzibar hakuna mkristo, hao wakristo ni watu kutoka bara. Huo ndio msimamo wa wenzetu
   
Loading...