Ningalikuwa Kikwete, ningaliwateua mawaziri wengi kutoka Zanzibar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ningalikuwa Kikwete, ningaliwateua mawaziri wengi kutoka Zanzibar

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by thatha, May 2, 2012.

 1. t

  thatha JF-Expert Member

  #1
  May 2, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Kwa miaka mingi, wateule wa rais wa Muungano wakitokea Zanzibar basi kuhusu rushwa rais huwa hapati tabu.
  Sijabahatika kusikia Mzanzibar ndani ya Muungano akiwa mlarushwa kama wanavyokuwa watz bara wanapoteuliwa.
  Nngalikuwa Jk.ningaliangalia jambo hili kwa ukaribu zaid

  1)Dk Omar Ali Juma
  2)Dk Mohd Shein
  3)Dk Gharib Bilali
  4)Shamsi Nahodha - Mambo ya Ndani
  5)Ali Ameir Mohd - Mambo ya ndani iliopita
  6)Samiha Suluhu
  7)Mahadhi Juma Maalim
  8)Ali Seif Khatib
  ...
  ....
  ...
  ......
  ......
  ........na wengine wengi

  HAPA NAAMANISHA WANAPOKUWA TANZANIA BARA. NAJUA WANAPOKUWA ZANZIBAR HUWA HAWANA HAYA WALA HAWAONI VIBYA KULA RUSHWA
   
 2. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #2
  May 2, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,393
  Trophy Points: 280
  wazanzibar wana maadili ya kidini,huku bara hakuna maadili
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  May 2, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Zanzibar hakuna Ufisadi!
   
 4. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #4
  May 2, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Umesikia report ya baraza la wawakilishi?
   
 5. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #5
  May 2, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,193
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 160
  Aaaaargh ni zaidi ya haya unayotaka tuamini nadhani

  Hongereni kwa hilo na mjenge nchi sasa muda wa kulinganisha umepitwa na wakati jengeni huko visiwani ili na sisi huku tuwabane wa kwetu kwa mfano kwa kwenu

  Meli imeua watu wangapi??????
  Bei ya karafuu ilikuwaje hapo nyuma????
  Nchi ina ukubwa gani???? Mpaka sasa barabara bora zina urefu gani???
  Vyanzo vya nishati ni aje????
  Kuna ranchi ngapi kwa ajili ya nyama ambayo ni bei mbaya????
  Ile mambo ya mchele imeishaje vile????
  Huduma za afya zimekaaje??
  Hii mambo ya matokeo nayo ikoje ati?????

  Well m just pulling you to the right track of thinking sababu yapo mengi yanayozikabili pande hizi ili kuboresha maisha yetu kuliko ajenda uliyoleta yenye dhana ya kibaguzi
   
 6. nahavache

  nahavache JF-Expert Member

  #6
  May 2, 2012
  Joined: Apr 3, 2009
  Messages: 869
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Sidhani kuna mahali ambapo rushwa ni kubwa ulimwenguni kama Zanzibar
   
 7. t

  thatha JF-Expert Member

  #7
  May 2, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Hhahah. Zanzibar sio kama bongo, bongo hadi wauza baa wanakula rushwa
   
 8. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #8
  May 2, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Wote sisi tuna matatizo. Ona Nahodha jinsi wizara inavyomshinda kwani POLISI wamekuwa kama Kuruta wa Mgambo.

  Wakati Watanganyika wako busy kutafuta solution ya matatizo yao kwa undani haswa, wenzetu wanaona chanzo cha matatizo ni Muungano jambo ambalo lina ukweli mdogo sana.

  Kutokuwa fisadi siyo solution. Heri uwe na fisadi wa asilimia 10 ila anazalisha kila mwaka asilimia 90 anazileta hazina. Nina wasiwasi na ufanisi wa Zenji kuwa inaweza kuwa nchi isiyo na wezi ila uzalishaji ni hakuna. Kwa sasa wanaona Tanganyika inawazibia kwenye misaada na kuingia kwenye jumuia za Kiislaam. Ila ukweli ni kuwa huko nako kwa sasa kumekuwa kugumu maana hata hao Waarabu wenyewe, Mchina, Brazil na Mhindi wamewafunika. na wasipokaa vizuri, watapigwa chini na utajiri wao wote. Kibaya zaidi ni hii PEOPLE'S POWER ambayo huko Uarabuni imeshapiga hodi.
   
 9. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #9
  May 2, 2012
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,223
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280
  Si kweli. Tunachokiskia kutoka katika baraza la wawakilishi ni matumizi mabaya ya ofisi kwa viongozi wa serikali (nayo ni rushwa pia)
   
 10. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #10
  May 2, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  hao wazenji sio wala rushwa kama hawa wa bara labda kwa sababu ya imani yao ya dini...lakini ufanisi wao wa kazi sio mzuri..so hata kama hawaibi lakini pia hawajui kufanya kazi...so hatuwataki na hao vile vile
   
 11. m

  member2012 Member

  #11
  May 2, 2012
  Joined: Apr 18, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  usilolijua kweli usiku wa giza, Inawezekana ikawa tafsiri ya ufisadi ya huku bara ni tafauti na ile ya Zanzibar, ila kimsingi si kubaliani na hoja hiyo
   
 12. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #12
  May 2, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Katika orodha ya wanaotakiwa kujiuzulu, Hakuna Mzenji.
   
 13. Pharaoh

  Pharaoh JF-Expert Member

  #13
  May 2, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hakuna mafisadi kama wazanzibari dunia nzima, muulize rais shen uchafu aluoukuta wa serikali ya karume tu, na tangu enzi za Rais wa kwanza Hayati Abaed Karume kama kuna mtu amejilimbikizia mali nje basi yeye, na huamini hebu fuatilia na mali nyingi zake ilidhulumiwa na rafiki zake wa Kihindi mfano kama Bakhera, sisemi nae Bakhresa kakwapua mali alipokufa rais Karume lakini wale kama yeye ambao walikuwa watu wake wa karibu na maajenti wa kuuza karafuu nje walitajirika wengi lakini bado wanawe Karume wanamiliki mali dunia yote
   
 14. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #14
  May 2, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,916
  Likes Received: 2,342
  Trophy Points: 280
  Huna haya wewe kutamani nchi ya wenzio.
  Si nyie mna kwenu?
   
 15. Pharaoh

  Pharaoh JF-Expert Member

  #15
  May 2, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Zanzibar kiongozi hakosolewi na hahojiwi, anaitwa bwana mkubwa! lakini siku wakiacha kutumia dini kuwapumbaza wananchi na wananchi kuamka habaki hata mmoja serikalini, ila kwa sasa ufisadi ni halali zanzibar
   
 16. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #16
  May 2, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Sasa hiyo itasaidia nini? wakati kiundani wapo Bara na Majumba na Mashamba kwanini wapewe Uwaziri Bara zaidi?

  Watoto wao wanasoma bara pia...
   
 17. Pharaoh

  Pharaoh JF-Expert Member

  #17
  May 2, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ukiendesha gari zanzibar uwe na bajeti ya trafiki hata kama ni hapohapo mjini, kila mita 200 yupo traffic na umpe japo 500 la sivyo hupiti na atakusingizia kesi
   
 18. Pharaoh

  Pharaoh JF-Expert Member

  #18
  May 2, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  ndio maana hawatakiwi wabara wasione uchafu, mpaka kwenye jeshi la polisi wanakaa kikanda, wa paje wabaki paje, wamakunduchi wanaotawala jeshi la polisi znz ndio wenye vyeo, hapo paje mwizi wala jambazi wanaoingiaga kwenye mahoteli ya kitalii hawakamatwi kwani ni mpango wa polisi na wadogo zao, silaha za kutumika zatoka hapohapo kituoni nendeni utalii tu mjionee wakuu
   
 19. Pharaoh

  Pharaoh JF-Expert Member

  #19
  May 2, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kuna kijana nilimhoji ki leseni chake kihalali ni tsh 30,000tu lakini anaipata baada ya kutumia 2,000,000. milioni mbili hongo kila sehemu, anasema ukitaka ukose maisha uhoji tu kuhusu haki, na hata upande ngazi unajibiwa wewe unataka ule peke yako tu?
   
 20. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #20
  May 2, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Unaumwa na UDINI wewe.
   
Loading...