KATIBA MPYA: Napendekeza wajumbe wake wawe JF MEMBERS | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

KATIBA MPYA: Napendekeza wajumbe wake wawe JF MEMBERS

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ntamaholo, May 3, 2012.

 1. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #1
  May 3, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,150
  Likes Received: 2,110
  Trophy Points: 280
  wakuu,
  kwa kuwa JF inatukutanisha watu wengi, napendekeza wajumbe wote wa tume ya katiba wawe wanachama wa JF ili wachukue mawazo yetu kutokea hapa. tena watumie majina yao ya asili, tuwaone BUTIKU, BAREGU, WARIOBA na kadhalika.

  mlio karibu na wajumbe hao, please, nawaombeni mwafikishie ujumbe kuwa jamvini tunawahitaji.

  wasalam
   
 2. P

  PakavuNateleza JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 957
  Likes Received: 513
  Trophy Points: 180
  I think the opposite.
  Kama wana JF tunahoja tuzicompile zote then tuziwasilishe kwenye tume na sio wao kuwa moderator hapa
   
 3. M

  MR.SILVER JF-Expert Member

  #3
  May 3, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni vema wotetukawa na majina ya kweli ,ili tuweze kufeel umuhimu wakutoongea pumba kama baadhi yetu tunavyofanya
   
 4. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #4
  May 3, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,150
  Likes Received: 2,110
  Trophy Points: 280
  sio wawe moderator, bali wawe members kwa majina yao halisi, halafu uanzishwe uzi ambao utakuwa unatukutanisha nao, tunawapa maoni nao wanayachukua na kuyafanyia kazi.

  lakini hata wazo lako nalo ni jema, la kuzikusanya hoja na kuwapelekea kama maoni ya JF MEMBERS
   
Loading...