Tetesi: Kupatikana kwa wauaji

Mumwi

JF-Expert Member
Jan 9, 2011
592
122
Wana jf leo hapa Arusha nimesikia watu wakiongelea kukamatwa kwa watu kadhaa waliohusika na mauaji ya mwenyekiti wa chadema usa river pia panga lililotumika limekutwa ndani ya choo kwa mmoja Wa watumiwa naomba mwenye taarifa kamili atujuze.
 
Kama kweli wamekamatwa hii itakuwa habari njema sana, wale wauaji wamefanya kitu kibaya sana maishani mwao, wamekatisha uai wa mtu hasiye na hatia na aliyekuwa na familia inayomtegemea, marehemu kahacha mke na watoto wawili (2) wadogo ambao wanaitaji kupata elimu nzuri ili waweze kukabiliana na maisha haya yenye changamoto nyingi.

Naomba Chadema through M4C wawaangalie hawa watoto wa marehemu hususani hatima ya elimu yao. Nikiwa kama mwana Chadema damu niko tayari kuchangia familia hii ya marehemu kamanda wetu.

R.I.P Kamanda, damu yako iwe rutuba ikastawishe mbegu ya mageuzi.
 
Eti tuna amani na utulivu! upuuzi mtupu huu! Kiongozi yeyote atakaeimba mbele yangu wimbo huu wa amani na utulivu nitamzaba kofi kama mwinyi alivyopigwa kwenye maulidi
 
Usalama wa ccm siku hizi wameacha kuwapiga risasi watu kisongoni kama ile ya msitu wa pande.
badala yake wanatumia mapanga kuwakata shingo kwa nyuma.
 
Naomba kujuzwa maana ya M4C

Ni utaratibu mpya uliobuniwa na baadhi ya watu katika kuchangisha pesa za walalahoi, utaratibu huo hauruhusu kuhoji

mapato wala matumizi ya hizo pesa. Kama huamini hoji ni kiasi gani kilipatikana kwenye uchaguzi wa arumeru na mchanganuo wa

matumizi.

Umeelewa?
 
Eti tuna amani na utulivu! upuuzi mtupu huu! Kiongozi yeyote atakaeimba mbele yangu wimbo huu wa amani na utulivu nitamzaba kofi kama mwinyi alivyopigwa kwenye maulidi

ukifanya ivo utakua wale wale, na sikubaliani na jina lako, borakufa! Kuna matumaini. Wana cdm hawatamwaga damu wala kumchapa yeyote makofi, lakini ukombozi utapatikana na tutakua na amani Tz, borakuishi, mpaka tutakapofika, hataka kama itachukua mda!
 
m4c ni movement for change jamani mbona hamuelewiiiiiiiiiiiiiiii kila siku mwauliza
RIP kamanda
 
Ni utaratibu mpya uliobuniwa na baadhi ya watu katika kuchangisha pesa za walalahoi, utaratibu huo hauruhusu kuhoji

mapato wala matumizi ya hizo pesa. Kama huamini hoji ni kiasi gani kilipatikana kwenye uchaguzi wa arumeru na mchanganuo wa

matumizi.

Umeelewa?

ulichangia sh'ngi ngapi?! Kaulize mapato na matumizi ya serikali na ccm waliotumia mabilion Meru, wakashindwa. Zilizochangwa na cdm zilifanya kazi, unamjua mbunge wa Arumeru mashariki ni nani?
 
Ni utaratibu mpya uliobuniwa na baadhi ya watu katika kuchangisha pesa za walalahoi, utaratibu huo hauruhusu kuhoji

mapato wala matumizi ya hizo pesa. Kama huamini hoji ni kiasi gani kilipatikana kwenye uchaguzi wa arumeru na mchanganuo wa

matumizi.

Umeelewa?

Tanganyika inawawasha sana nyie wapemba!!
 
Ni utaratibu mpya uliobuniwa na baadhi ya watu katika kuchangisha pesa za walalahoi, utaratibu huo hauruhusu kuhoji

mapato wala matumizi ya hizo pesa. Kama huamini hoji ni kiasi gani kilipatikana kwenye uchaguzi wa arumeru na mchanganuo wa

matumizi.

Umeelewa?

Kweli wewe ni Jembe la magamba. Kachukue posho
 
Ni utaratibu mpya uliobuniwa na baadhi ya watu katika kuchangisha pesa za walalahoi, utaratibu huo hauruhusu kuhoji

mapato wala matumizi ya hizo pesa. Kama huamini hoji ni kiasi gani kilipatikana kwenye uchaguzi wa arumeru na mchanganuo wa
matumizi.
Umeelewa?

Inaonekana gamba limekubana hadi oksijeni haifiki kwenye ubongo! Nakushauri kajisaidie haja kubwa mwili upunguze tensheni labda ubongo utakuwa nomo tena!
 
Back
Top Bottom