Quote From: The President Dr. Jakaya M. Kikwete! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Quote From: The President Dr. Jakaya M. Kikwete!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by W. J. Malecela, May 1, 2012.

 1. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #1
  May 1, 2012
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,616
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  "Nimefurahishwa na mjadala wa uwazi ulioendelea Bungeni na kwenye kamati ya wabunge wa CCM; nafurahi kwamba azma yangu ya kuzifanya taarifa za mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali ziwe zinafanyiwa kazi imeanza kutimia" Mhe. Jakaya M. Kikwete
   
 2. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #2
  May 1, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Mkuu ,Mbona umesahau kuweka Ha! ha !ha! ha! ha! ha! ha! ha!
   
 3. a

  anney Senior Member

  #3
  May 1, 2012
  Joined: Jul 9, 2010
  Messages: 156
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa hili la uwazi, Kikwete tutamkumbuka. Maana kabla yake repoti ya CAG huwa inabaki ikulu na haipelekwi kwa wananchi. Kwa hili Bravo Kikwete.
   
 4. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #4
  May 1, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Huwa hazina logic quote zake .
   
 5. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #5
  May 1, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,314
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  I wish I could hear the fully speech to get the whole message better. I also hope he knows what Tanzanians expect of him. Hizi story peke yake hazitasaidia sana bila matendo na kuwajibishana.
   
 6. Uliza_Bei

  Uliza_Bei JF-Expert Member

  #6
  May 1, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 3,109
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Uwazi na mengine ya kugawa madaraka kama zawadi sawa lakini msiulize utendaji/utekelezaji hilo siyo lake
   
 7. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #7
  May 1, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Mkuu ni JK anatisha sana, majambazi na wezi wanamuogopa sana.

  Ila naona tatizo anafight alone maana huku kwenye maidara kuna mchwa
   
 8. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #8
  May 1, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,692
  Likes Received: 12,737
  Trophy Points: 280
  nothing new
   
 9. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #9
  May 1, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Acha chuki mkuu,

  Kuweza wazi uovu ni one step.....
   
 10. Micro E coli

  Micro E coli JF-Expert Member

  #10
  May 1, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Unafikiri anayoyasema angeyasema kama Waziri mkuu asinge tishiwa kupigiwa kura ya kutokuwa na imani naye na wabunge maji yalishaifika shingoni serikali yake hana namna zaidi ya kuteka hoja za wabunge kina Zitto na kujiunganao kuwa adabisha wabadhirifu kama ataweza maana tulitarajia leo hii wasingekuwa madarakani ndio maana tunaseka JK nidhaifu sana kiutendaje hotuba yake inarudia mambo ya bungeni ambayo sisi tunayajua na tumeyaona sehemu iliyobaki ni yake atekeleze kuwadabisha watendaji wake na mawazili wke aache porojo hakuna kitu hapo Willie.
   
 11. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #11
  May 1, 2012
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,616
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  - Kwani CAG imekuwepo kwa muda gani? Maaana hii ni mara yangu ya pili kuisikia, mara yangu ya kwanza ilikuwa Dr. Kikwete aliposhika utawala mambo ya mabalozi walioiba, wengine wakafikishwa kwenye Sheria na wengine walilazimishwa ku-retire na kulipa walizoiba.

  - Hii ni mara ya pili nawasikia tena CAG, naomba kukuuliza walianza lini hawa CAG? Mbona huko nyuma kwenye awamu zingine hatukuwahi kuwasikia?

  William.
   
 12. A

  Alpha JF-Expert Member

  #12
  May 1, 2012
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 614
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Yes Kikwete deserves praise for this. So does our CAG Ludovick and all those who work on those reports. They are doing a wonderfull job especially when you consider where we were at just a few years ago.

  However there has to be firm action taken on these reports otherwise they will become meaningless.
   
 13. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #13
  May 1, 2012
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,616
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  - Una maana, ha! ha! ha! ha! ha!

  William.
   
 14. Litvinienko

  Litvinienko JF-Expert Member

  #14
  May 1, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ha ha ha ha ha ha ahaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!
   
 15. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #15
  May 1, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  Kwa Institutional Reforms, JK amefanya vya kutosha hata kama watu wataendelea kupinga! Kilichobaki, na ama kilichokosekana toka kwake yeye binafsi na watendaji wengine ni kuchukua hatua stahiki kutokana na reform husika!

  Ndani ya jamii isiyo na mapungufu ya maadili, reform iliyofanywa na JK ilitosha kabisa kusafisha nchi yetu! Kwa bahati mbaya sana, kuna mmomonyoko mkubwa sana wa maadili, toka kwa vingozi, watendaji wakuu hadi wananchi wa kawaida! Mmomonyoko huu katu hauwezi kutibika ndani ya what's so called GOOD GOVERNANCE! Good Governance/Utawala Bora unafanya vizuri ndani ya jamii iliyosheheni maadili. Lakini jamii kama yetu, inahitaji Approved Dictatorship Governance (ADG)....yaani Utawala wa Kidikteta Ulioidhinishwa!

  Ripoti ya CAG imetaja ufisadi mkubwa kwenye wizara na taasisi mbalimbali....under Good Governance, hatuna chochote cha kuwafanya wahusika! Sana sana, ni kuwaachisha kazi....kazi ni ya nini basi ikiwa tayari mtu ameshapata ukwasi wa kutosha!!! Haina haja! Na kama tumejitahidi sana, labda tutawapeleka mahakamani....huko, kesi itaunguruma miaka kadhaa....at the end of the game, hapatakuwa na ushahidi usio na shaka yoyote(Rule of Law, One of The Main Pillar of Good Governance) kuthibitisha tuhuma ama za wizi au ubadhirifu! Labda, tunaweza ku-force na kubambika kesi ya matumizi mabaya ya ofisi; Amatus Lyumba, alifungwa miaka 2; What da Hell! That's why I Hate Good Governance kwenye nchi yenye mmomonyoko wa maadili kama yetu!

  Under ADG, kama kweli mtu kama Ngeleja amenunua nyumba ya mamilioni ya fedha, wala tusingekuwa na sababu ya upande wa mashitaka uthibitishe kwamba nyumba hiyo ameinunua kwa vyanzo ambavyo si halali, bali ni yeye; within a day, athibitishe beyond reasonable doubt, kwamba ameinunua kwa mapato halali! Na akishindwa kufanya hivyo, JELA!
   
 16. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #16
  May 1, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  Sio hivyo, tangu aanze kuongea kiu-MP ameacha kumalizia "Le Baharia...!"
   
 17. Litvinienko

  Litvinienko JF-Expert Member

  #17
  May 1, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yupi?
  @NYC au
  @dodoma City au
  @DSM city au
  @Mtera City au
  @segerea city?
  Usituache hewanihewani....
  ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! haaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
   
 18. Litvinienko

  Litvinienko JF-Expert Member

  #18
  May 1, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  le Mutuz.....!
   
 19. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #19
  May 1, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Tatizo ni hutaki kuelewa, lakini kwa hili nakuasa "mnyonge mnyongeni haki yake mpeni".
   
 20. Nanyaro Ephata

  Nanyaro Ephata Verified User

  #20
  May 1, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 979
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 60
  Yaani badala ya kuchukua hatua stahiki Jk anasema amefurahishwa na sisi tunashangilia?kama amefurahi so what?,kwa rais mwenye madaraka makubwa kama Rais wa Tanzania,hili sio swala la yeye Rais kufurahishwa bali ni swala la kuchukua hatua,yaani mabilioni ya fedha yanatafunwa kifisadi,rais anakuja na sentensi ya ajabu kama hii....
   
Loading...