Job Ndugai anawakejeli CDM ??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Job Ndugai anawakejeli CDM ???

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ngoshwe, May 3, 2012.

 1. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #1
  May 3, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  • YAPO KULE FACEBOOK na NDUGAI anaonekana kana kwamba anawakejeli wana CDM kwa hukumu iliyotolewa na Mahakama Kuu katika kesi ya Kupinga matokeo ya uchaguzi jimbo la Ukonga.
   John Heche

   Mahakama kuu kanda ya Dar es salaam imetupilia mbali madai yetu dhidi ya Makongoro mahanga wa jimbo la segerea.

   [​IMG]Job Ndugai Heche, si utupongeze Basi mwakwetu? Mbona Arumeru tulikubali yakaisha?
   
 2. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  Hongera na ww kwa kuanzisha sredi.
   
 3. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #3
  May 3, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Huo ni utani wa kisiasa hauna shida.
   
 4. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #4
  May 3, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kiongozi kama speaker anatakiwa awe prudent, haya mambo ya FB, anatakiwa kuwa nayo mbali sana, angewaachia kina Nepi. Haya mambo hayana tofauti na katabia ka mkulu kumiliki phone kwa ajili ya kuwasiliana na washkaji pamoja na shoriz...
   
 5. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #5
  May 3, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Mkuu hapo sijaona ishu ya kujadili
   
 6. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #6
  May 3, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kejeli ndio zp sasa.
   
 7. Songoro

  Songoro JF-Expert Member

  #7
  May 3, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 4,136
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Poleni ndugu zake Ngoshwe kazi mnyo,ndugu yenu msamiati utani ni haramu hata kuutamka!
   
 8. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #8
  May 3, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Haina shida kabisa hii
   
 9. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #9
  May 3, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Hakuna kejeli hapo ni mambo ya kawaida kwa wanasiasa.
   
 10. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #10
  May 3, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 22,759
  Likes Received: 17,840
  Trophy Points: 280
  Mambo ya fb yaache hukohuko,ila naweza sema JK anamlea Dr.Mahanga kama alivyolelewa Msanii Lulu-Elizabet Michael, huyu anaisababishia Segerea brain konkasheni
   
 11. k

  kagame Senior Member

  #11
  May 3, 2012
  Joined: Dec 6, 2008
  Messages: 159
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ndugai anajua athari ya ile hukumu ya kesi ya uchaguzi wa segerea? Mie ni mkazi na mpiga kura wa jimbo la segerea, imetuongezea chuki na hasira kwa Mahanga as well as kwa CCM yenyewe, walifikiri wanajenga kumbe wamebomoa kabisa
  Ndugai atujuze kama kweli wanapendwa huku segerea na ile hukumu ni ya haki wale askari kwenye defender zao sita waliletwa kuilinda nyumba ya Mahanga kwa minajili gani? Chaguo la watu linalindwa na askari kweli?
   
 12. PMNBuko

  PMNBuko JF-Expert Member

  #12
  May 3, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 971
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu hapo umenena, MP kulindwa ndani ya jimbo lake mwenyewe ni ishara tosha kwamba hakubaliki.
   
 13. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #13
  May 3, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sipendi utani na magamba,haya ni ya kunyonga tu
   
Loading...