M4c kuitenga kanda ya magharibi, chadema kunani?! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

M4c kuitenga kanda ya magharibi, chadema kunani?!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by AdvocateFi, May 2, 2012.

 1. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #1
  May 2, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Mimi kama kijana mwenye vision za mageuzi pia member wa jeshi kubwa CHADEMA napata wasiwasi na uchungu mkubwa juu ya hii M4C kwani naona kama vile inapikia chakula waloshiba na kuwaacha wenye njaa kuendelea kufa.

  Nasema haya kwa sababu mimi natokea Tabora ambapo CCM imejiwekeza kule na kila uchaguzi hupata kula zaidi ya 70% huku hali ya maisha kuendelea kuwa duni kwa watu wa huku kwa ajili ya kukosa Mkombozi kutoka chama makini CHADEMA.

  Iwaje M4C i-base mule mule kwa walioshiba na elimu wa mageuzi ( mwanza,shy, Arusha etc) huku M4C ikiacha sehemu kama Tabora ambapo watu wake wanazidi kufa kwa njaa na kiu ya elimu ya mabadiliko?!

  Pia kwanini kigoma CDM nguvu ipo chini sana wakati zitto yupo! Kwann zitto asipewe M4C kuikomboa kigoma au kuna nn nyuma ya pazia? Au kura za kanda magharibi hazihitajiki kwa CDM? Viongozi wetu wa CDM na wanamageuzi tunataka ufafanuzi juu ya hili.

  SOLIDARITY FOREVER.
   
 2. Medical Dictionary

  Medical Dictionary JF-Expert Member

  #2
  May 2, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 1,053
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  mi ninaamini chadema wanatambua kua m4c inatakiwa ifike pande hzo..nadhan wanataka ku clear kabisa kanda ya ziwa na kazkzini kwa mwaka huu..alaf watahamishia kambi kabisa huko..usihofu kamanda chadema kina watu makini na wanalitambua hilo..
   
 3. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #3
  May 2, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Taratibu kaka tutafika tu, kumbuka hata rasilimali za CDM sio nyingi kama magamba. Umakini unahitajika kwenye matumizi.

  Pia kumbuka una jukumu kubwa la kutoa elimu ya uraia popote ulipo, M4C ni ukombozi ambao bila watu kujitambua haiwezi kufanikiwa.
   
 4. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #4
  May 2, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama M4C inakuwa demanded kiasi hicho basi ni tumaini jema,tujipange kwa mikoa yenye wazee wanaoshabikia ccm huku wakila mlo mmoja kwa siku!
   
 5. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #5
  May 2, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  nadhani ni suala la muda tu
   
 6. j

  jovitha mussa Member

  #6
  May 2, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 75
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  kigoma ni mahali hatari, kuna vichwa sana, nadhani wanaangalia usalama wa nafasi zao kisiasa (wale viongozi wa juu) ZITTO bila hata kampeni ni M4C toshaaaaaaa, wala wakitaka wasiende huko
   
 7. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #7
  May 2, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  siku zote tusitegemee mtu kutoka nje ndo aje aturekebishie mahitaji ya familia zetu. Tunatakiwa tuanze sie wenyewe yeye atakuja kusaidia tu. Nyie mmechukua hatua gani kuendeleza kazi hiyo?

  Hii move inatakiwa iwe endelevu.,sasa kusubili mtu m1 au wa2 waje ndo muanzishe siyo sahihi. Ina maana wakiondoka hamtaendelea kufanya kazi hiyo?

  Mbona mby,iringa,njombe tunawasikia wakifanya kazi bila kina slaa? Kama mtu upo kikazi inatakiwa uanzishe bila kutegemea msaada kama ndo sole solution. TUSIWE NA AKILI KAMA ZA JK, anayeamini afrika bila misaada ya wakoloni hatuwezi kusonga mbele!
   
 8. M

  Msayo Member

  #8
  May 2, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Katika mapambano yoyote lazima uwe na mahali pa kuanzia, na kabla hujasonga mbele jiridhishe kuwa umeacha msingi imara hapa unapotoka wasije adui wakavamia kiulaini. Nadhani ni suala la muda tu, lakini wewe na mimi pia tuna jukumu la kusafisha njia huko tunakotoka kwa kadiri ya uwezo wetu. We should always be positive.
   
 9. T

  TAREQ AZIZ Member

  #9
  May 2, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Dr slaa na Kamanda lema wamekusikia,watakufikia.
   
 10. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #10
  May 2, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  kaka muanze kuonesha wenyewe kuikataa ccm, M4C ikija inamalizia tu! Km wewe ni kamanda anza kuhamasisha watu, onesha unakerwa na mfumo uliopo!
   
 11. kibogo

  kibogo JF-Expert Member

  #11
  May 3, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 9,477
  Likes Received: 784
  Trophy Points: 280
  Omeongea jambo la msingi, lakini kabla ya yote ni wewe kama kijana kuhamasisha vijana wenzio kukubali mabadiriko na pia kuondoa unafiki kwa wakazi wa huko Tabora kwani siasa za mageuzi zinahitaji moyo thabiti usio legalega.

  mfano ulio hai kwa wilaya ya Igunga ambayo ni miongoni ya wilaya za mkoa huo wamejitahidi kuonyesha mwelekeo wa mageuzi katika uchaguzi mdogo uliopita Ingawa matokeo yalichakachuliwa.

  Hivyo ndugu yangu Mageuzi yeyote Duniani uanzia kwa vijana kaza buti na waheshimiwa wamekusikia watatoa support.
   
 12. P

  PapoKwaPapo JF-Expert Member

  #12
  May 3, 2012
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 380
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  we want M4C kanda ya pwani dr SLAA
   
 13. G

  Ginner JF-Expert Member

  #13
  May 3, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 1,139
  Likes Received: 263
  Trophy Points: 180
  M4c maana ake nini wadau....naogopa hata kuchangia mada nisije kuwa off point juu ya ilo neno....definition please
   
 14. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #14
  May 3, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  M4C Maana yake...MOVEMENT FOR CHANGE....kama ilivyokuwa OPERATION SANGARA YA ZITO.....M4C iliasisiwa ARUSHA, Nafikirii wakati wa kampeni za ARUMERU...NI hali ya kutaka mabadiliko ya kisiasa na ndiyo maana umesikia kila kona ya nchi watu wakivua magamba na kuvaa MAGWANDA....VIVA CDM.
   
Loading...