Kauli hii ya NAIBU WAZIRI WA MAJI ITAMUMUZI MTANZANIA NA SI WATENDAJI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kauli hii ya NAIBU WAZIRI WA MAJI ITAMUMUZI MTANZANIA NA SI WATENDAJI

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by PETER NYAMWERO, May 3, 2012.

 1. P

  PETER NYAMWERO Member

  #1
  May 3, 2012
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Eng Rwenge, ambaye ni Waziri wa maji na umwagiliaji alitoa kauli ambayo iliyonisikitisha hadi nikajioji hivi miradi ya maendeleo ni ya Wananchi au Wakurugenzi wa Halmashauri na idara za maji. Msomi huyu na Mwanasiasa NAIBU WAZIRI ALISEMA,
  "Kwa wakurugenzi wanaochelewa kutoa taarifa za utekelezaji wa miradi ya maendeleo ya maji watanyimwa pesa katika mwaka mwingine"

  Nikaona kumbe bado suala la uajibikaji ni dogo sana Watanzania tutaendelea kunyimwa fedha za miradi kisa uzembe wa mkurugenzi. Rai yangu kwa hii wizara ya maji na umwagiliaji naomba mtumie nafasi zenu kuwajibisha wakurugenzi na watendakazi wazembe. kutokutoa pesa za maendeleo ya miradi ambayo inamuathiri mwananchi kisa uzembe wa mkurugenzi.

  SOURCE; STAR TV NEWS
   
 2. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #2
  May 3, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu hujaona tatizo hapo? Mtoa fedha ni mwenye dhamana ya maji yaani Wizara ya Maji lakini mtekelezaji ni Mkurugenzi wa HAlmashauri - TAMISEMI hivyo hapo Eng. Rwenge hana meno ya kumwajibisha Mkurugenzi. Ukienda zaidi unakuta wakurugenzi ni wateule wa Rais! Kaazi kwelikweli.
   
 3. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #3
  May 3, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  ni utaratibu wa kawaida kiuhasibu ku-account matumizi ya pesa za awali kabla hujaongezewa nyingine.
   
Loading...