Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,735
kamanda Godbless Lema ameendelea kuibomoa CCM mkoa wa Arusha leo ilikuwa zamu ya Rabia Abdallah ambae ni mjumbe wa mkutano mkuu wa mkoa UVCCM Arusha,mjumbe wa baraza la wilaya Arusha na katibu wa vijana ccm sombetini. mwingine alie timukia chadema ni Judith Mwami mjumbe wa kamati ya utekelezaji ya kata sombetini...