Wizara ya ardhi kwa manufaa ya nani? Ubinafsishaji na UGENISHAJI WA ARDHI?

Mkira

JF-Expert Member
May 10, 2006
425
119
NDUGU WANA BODI BAADA YA KUISOMA SHERIA YA ARDHI YA 1999, 2001 NINAKUBALIANA NA ISSA SHIVJI KAIKA KTABU CHACKE CHA "INSHA ZA MAPAMBANO YA MNYONGE CHA MWAKA 2012"(NINAWSHAURI MKINUNUE MKISOME NI SH 15,000, NIMUONA NACHO ZITO PIA!) KUWA SERA YA ARDHI TANZANIA IMEKUWA MBAYA NA IMERITHI MFUMO WA WA SHERIA YA KIKOLONI YA MWAKA 1923. MFUMO HUO ULIMPATIA GAVANA MADARAKA MAKUBWA NA HAKI YA KUMILIKI ARDHI ILI KUWEZA KUWANYANG'ANYA WANACHI ARDHI YAO KIRAHISI NA KUIWEKA MIKONONI MWA MABEPARI ILI WAWEKEZE NA KUITUMIA KAMA MTAJI WA KUZALISHA NA KUTUNYONYA. BAADA YA UKOLONI, MAREKEBISHO YA HIZI SHERIA ZA 2001 HAYAKUFUATA MAPENDEKEKEZO YA TUME YA SHIVJI, BADO ARDHI HAIONEKANAI KAMA MTAJI NA PIA HAKI YA KUMILIKI ARDHI YA KIMILA HAITAMBULIWI ILA TU ILE YA(MAANDISHI) KIMAKARATASI YA KUMILIKISHWA NA WIZARA YA ARDHI NDIYO INATAMBULIKA, UKIMNYANGÁNYA MTU ARDHI YAKE NA UKAWEZA KUPTA MILIKI YA MAANDISHI UKIENDA NAYE MAHAKAMANI UTAMSHINDA MAANA YEYE MILIKI YAKE YA KIMILA HAITATAMBULIKA!!! MFUMO HUU WA UMILKAJI ARDHI NI MBAYA NA NI KAMA WA KIKOLONI BADO ARDHI INAMILIKIWA NA RAIS(GAVANA). MFUMO HUO UMEENDELEA KUIFANYA ARDHI KUTOKUWA MTAJI KWA WAMILIKAJI WA KIMILA NA VIJIJINI NA PIA UNATOA MWANYA KWA WACHACHE WAKIMEMO WENYE UWEZO WA KATI KAMA WENGI HUMU JF KUWEZA KUNUNUA ARDHI NA KUIFANYIA ULIMBIKIZAJI KWA MADHUMNI YA (1) KUCHEZA KAMARI(LAND SPECULATION-HAPA KUNA KABILA MOJA(WATU FULANI) LA WAJANJA WENYE NAZO NA ELIMU HUNUFAIKA SANA HAPA TZ KWA KUNUNUA ARDHI NA KUIZUA WAPO KILA MKOA NA HASA DAR, TANGA NK,!) (2) kUKODISHA -WENYE UWEZO HUNUNUA NA KUIKODISHA KWA WALIO NYANGÁNYWA, MIFANO IPO! (3) kUIUZA KWA FAIDA, WENGI MNAJUA . HIVYO BASI WAKATI TUNAENDA KUANDIKA KATIBA MPYA SUALA LA UMILIKAJI WA ARDHI UANGALIWE KWA MAKINI. HIVI NI MATANZANIA GANI AMBAYE HATA KAMA AMEJENGA NYUMBA YAKE NZURI POPOTE HANA UOGA AU WASIWASI KUWA SIKU RAIS AU SERKALI WAKITAKA HIYO ARDHI HATANYANGÁNYWA? HUKO VIJIJINI LINAPOTOKEA SUALA LA UPANUZI WA MIJI AU WILAYA MPYA NI NANI AMBAYE HANA WASIWASI KUWA ARDHI INAYOMILIKIWA KIMILA NA WAZAZI WETU HAITACHULIWA?? CHADEMA ANGALIENI SUALA LA ARDHI KWA UMAKINI SANA KABLA NA MTAKAPOINGIA IKULU BAADA YA 2015!! MAANA CCM WAO ARDHI IMEKUWA SI MTAJI WA WATANZANIA NA HATA KUFIKIA MAHALI PA KUWAMILIKISHA WAWEKEZAJI KATIKA MIGODI, MASHAMBA MIAKA 99 AU ZAIDI HUKU ASILIMIA ZA UMILIKI WA HIYO MIGODO KUWA ASILIMIA 100 KWA WAGENI ETI SISI AU SERIKALI HAINA MTAJI??? CCM WANATAKA MTAJI GANI ZAIDI YA ARDHI TULIYOPEWA NA MUNGU?? NINAWAOMBENI MJADILI SUALA AU SHERIA YA ARDHI BILA KUJALI KUWA WEWE UNAWEZA KUINUNUA BALI KUANGALIA WALIO WENGI A HASA WALIOKO VIJIJINI.IKIBIDI MAWAZO HAYA YAFIKIRIWE KATIKA KATIBA MPYA SINA IMANI KAMA TOPIC YA ARDHI IMEJADILIWA KAMA IPO SAMAHANI. NINARUDIA WIZARA YA ARDHI IPO KWA MASLAHI YA NANI? WAGENI AU WATANZANIA? MAANA HATA HIZO HATI KUZIBATA NI MBINDE, MFANO TANGU 2010 NIMEOMBA HATI HADI LEO SIJAPEWA JIBU TOKA WIZARANI?? WAKATI WA WAZIRI MAGUFULI ALIJITAHIDI KUAHIKIKISHA HATI ZILIKUWA ZINATOKA MAPEMA LAKINI BAADA YA KUONGOLEWA MHHH!!!! ILA NINARUDI PALE PALE KUWA HATA SUALA LA HATI LINAWANIFAISHA TU WENYE NACHO, SULA LA MILIKI ZA KIMILA NK LIWEPEWE UZITO KAMA ILIVYOPENDEKEWZA KATIKA TUME YA SHIVJI KATIKA OMOZI WA AWAMU YA PILI. LAKINI PIA JE NI KWA NINI RAIS ASITUMIE MAMLAKA ALIYOPEWA NA KATIBA HII KABLA YA KATIBA MPYA KUCHUKUA KUICHUKUA ARDHI YETU TOKA KWA WAWEKEZAJI ILI TUANZE UPYA?? TUTAMPATA WAPI RAIS MWENYE UJASIRI HUO, VINGINEVYO TAYARI TU WATUMWA WA WAKEZAJI NA TUATENDELEA KUWA WATUMWA CHINI YA ARDHI YETU AMBAYO TAYARI CCM WAMEIGAWA BUREEEEEEEEEEE KWA MIKA 99!! SWALI: UBINAFSISHAJI NA UGENISHAJI WA ARDHI YA TANZANIA KWA WAKEZAJI KATIKA MIGODI NA MASHAMBA MAKUBWA JE NI UKOMBOZI WA WANYONGE AU UNYONGE WA WAKOMBOZI??
 
NDUGU WANA BODI BAADA YA KUISOMA SHERIA YA ARDHI YA 1999, 2001 NINAKUBALIANA NA ISSA SHIVJI KAIKA KTABU CHACKE CHA



"INSHA ZA MAPAMBANO YA MNYONGE CHA MWAKA 2012"(NINAWASHAURI MKINUNUE MKISOME NI SH 15,000, NIMUONA NACHO ZITO PIA!) KUWA SERA YA ARDHI TANZANIA IMEKUWA MBAYA NA IMERITHI MFUMO WA WA SHERIA YA KIKOLONI YA MWAKA 1923.






MFUMO HUO ULIMPATIA GAVANA MADARAKA MAKUBWA NA HAKI YA KUMILIKI ARDHI ILI KUWEZA KUWANYANG'ANYA WANACHI ARDHI YAO KIRAHISI NA KUIWEKA MIKONONI MWA MABEPARI ILI WAWEKEZE NA KUITUMIA KAMA MTAJI WA KUZALISHA NA KUTUNYONYA.


BAADA YA UKOLONI, MAREKEBISHO YA HIZI SHERIA ZA 2001 HAYAKUFUATA MAPENDEKEKEZO YA TUME YA SHIVJI, BADO ARDHI HAIONEKANAI KAMA MTAJI NA PIA HAKI YA KUMILIKI ARDHI YA KIMILA HAITAMBULIWI ILA TU ILE YA(MAANDISHI) KIMAKARATASI YA KUMILIKISHWA NA WIZARA YA ARDHI NDIYO INATAMBULIKA, UKIMNYANGÁNYA MTU ARDHI YAKE NA UKAWEZA KUPTA MILIKI YA MAANDISHI UKIENDA NAYE MAHAKAMANI UTAMSHINDA MAANA YEYE MILIKI YAKE YA KIMILA HAITATAMBULIKA!!!





MFUMO HUU WA UMILKAJI ARDHI NI MBAYA NA NI KAMA WA KIKOLONI BADO ARDHI INAMILIKIWA NA RAIS(GAVANA).

MFUMO HUO UMEENDELEA KUIFANYA ARDHI KUTOKUWA MTAJI KWA WAMILIKAJI WA KIMILA NA VIJIJINI NA PIA UNATOA MWANYA KWA WACHACHE WAKIMEMO WENYE UWEZO WA KATI KAMA WENGI HUMU JF KUWEZA KUNUNUA ARDHI NA KUIFANYIA ULIMBIKIZAJI KWA MADHUMNI YA



(1) KUCHEZA KAMARI(LAND SPECULATION-HAPA KUNA KABILA MOJA(WATU FULANI) LA WAJANJA WENYE NAZO NA ELIMU HUNUFAIKA SANA HAPA TZ KWA KUNUNUA ARDHI NA KUIZUA WAPO KILA MKOA NA HASA DAR, TANGA NK,!)

(2) kUKODISHA -WENYE UWEZO HUNUNUA NA KUIKODISHA KWA WALIO NYANGÁNYWA, MIFANO IPO!



(3) kUIUZA KWA FAIDA, WENGI MNAJUA .





HIVYO BASI WAKATI TUNAENDA KUANDIKA KATIBA MPYA SUALA LA UMILIKAJI WA ARDHI UANGALIWE KWA MAKINI.



HIVI NI MATANZANIA GANI AMBAYE HATA KAMA AMEJENGA NYUMBA YAKE NZURI POPOTE HANA UOGA AU WASIWASI KUWA SIKU RAIS AU SERKALI WAKITAKA HIYO ARDHI HATANYANGÁNYWA?



HUKO VIJIJINI LINAPOTOKEA SUALA LA UPANUZI WA MIJI AU WILAYA MPYA NI NANI AMBAYE HANA WASIWASI KUWA ARDHI INAYOMILIKIWA KIMILA NA WAZAZI WETU HAITACHULIWA??









CHADEMA ANGALIENI SUALA LA ARDHI KWA UMAKINI SANA KABLA NA MTAKAPOINGIA IKULU BAADA YA 2015!! MAANA CCM WAO ARDHI IMEKUWA SI MTAJI WA WATANZANIA NA HATA KUFIKIA MAHALI PA KUWAMILIKISHA WAWEKEZAJI KATIKA MIGODI, MASHAMBA MIAKA 99 AU ZAIDI HUKU ASILIMIA ZA UMILIKI WA HIYO MIGODO KUWA ASILIMIA 100 KWA WAGENI ETI SISI AU SERIKALI HAINA MTAJI??? CCM WANATAKA MTAJI GANI ZAIDI YA ARDHI TULIYOPEWA NA MUNGU??








NINAWAOMBENI MJADILI SUALA AU SHERIA YA ARDHI BILA KUJALI KUWA WEWE UNAWEZA KUINUNUA BALI KUANGALIA WALIO WENGI A HASA WALIOKO VIJIJINI.IKIBIDI MAWAZO HAYA YAFIKIRIWE KATIKA KATIBA MPYA SINA IMANI KAMA TOPIC YA ARDHI IMEJADILIWA KAMA IPO SAMAHANI.



NINARUDIA WIZARA YA ARDHI IPO KWA MASLAHI YA NANI? WAGENI AU WATANZANIA?

MAANA HATA HIZO HATI KUZIBATA NI MBINDE, MFANO TANGU 2010 NIMEOMBA HATI HADI LEO SIJAPEWA JIBU TOKA WIZARANI??





WAKATI WA WAZIRI MAGUFULI ALIJITAHIDI KUAHIKIKISHA HATI ZILIKUWA ZINATOKA MAPEMA LAKINI BAADA YA KUONGOLEWA MHHH!!!!



ILA NINARUDI PALE PALE KUWA HATA SUALA LA HATI LINAWANIFAISHA TU WENYE NACHO, SULA LA MILIKI ZA KIMILA NK LIWEPEWE UZITO KAMA ILIVYOPENDEKEWZA KATIKA TUME YA SHIVJI KATIKA OMOZI WA AWAMU YA PILI.







LAKINI PIA JE NI KWA NINI RAIS ASITUMIE MAMLAKA ALIYOPEWA NA KATIBA HII KABLA YA KATIBA MPYA KUCHUKUA KUICHUKUA ARDHI YETU TOKA KWA WAWEKEZAJI ILI TUANZE UPYA?? TUTAMPATA WAPI RAIS MWENYE UJASIRI HUO, VINGINEVYO TAYARI TU WATUMWA WA WAKEZAJI NA TUATENDELEA KUWA WATUMWA CHINI YA ARDHI YETU AMBAYO TAYARI CCM WAMEIGAWA BUREEEEEEEEEEE KWA MIKA 99!!










SWALI: UBINAFSISHAJI NA UGENISHAJI WA ARDHI YA TANZANIA KWA WAKEZAJI KATIKA MIGODI NA MASHAMBA MAKUBWA JE NI UKOMBOZI WA WANYONGE AU UNYONGE WA WAKOMBOZI??
 
Back
Top Bottom