Nanyaro: James Ole Milya sahau kabisa uongozi ndani ya Chadema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nanyaro: James Ole Milya sahau kabisa uongozi ndani ya Chadema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ritz, May 2, 2012.

 1. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #1
  May 2, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  Wanabodi JF.
  Ephata Nanyaro Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chadema (Bavicha) Mkoa, na Mwenyekiti wa chama hicho Arusha Mjini.

  Anasema namfahamu Milya, ni kijana mwenzangu lakini kwa muda wote tulikuwa na tofauti za kiitikadi, kifalsafa na kimtazamo.

  Kutokana na yeye kuamua kuachana na CCM na kuamua kujiunga na Chadema, kuhusu kupata nafasi ya uongozi Chadema asahau kabisa sisi hatugawi vyeo kama pipi.

  Aliendelea kusema mtu yoyote asijiunge na chama chetu akitarajia atapata uongozi wa ngazi yoyote.

  SOURCE: MWANANCHI MAY 2 2012.
   
 2. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #2
  May 2, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,193
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 160
  Nanyaro kamwambia Millya........so?????
   
 3. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #3
  May 2, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Ritz, we bado unalia na CHADEMA tu.
  Huna habari nyingine za kupost?
   
 4. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #4
  May 2, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,312
  Likes Received: 1,783
  Trophy Points: 280
  Haaahaaa! Kumbe kweli dua la kuku huwa halimpati mwewe.
   
 5. M

  Molemo JF-Expert Member

  #5
  May 2, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Pole sana.Naona umekimbia hukumu ya Mahanga Segerea
   
 6. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #6
  May 2, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  Mungi,
  Sio maneno yangu ni gazeti la Mwananchi la leo.
   
 7. G

  Georgemotika Member

  #7
  May 2, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kamdanda nanyaro waambie ukweli
   
 8. M

  Marytina JF-Expert Member

  #8
  May 2, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  With time watapata vyeo ikiwa mienendo yao itaridhisha
   
 9. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #9
  May 2, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,981
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Wewe Ritz ni mwongo mbona wengi wamejiunga wakiwa wenyeviti wa vijiji sasa wakigombea kwa tiketi ya CHADEMA wazuiliwe???????

   
 10. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #10
  May 2, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  Wakuu msinishambulie mie hii habari nimeitoa kwenye Gazeti pendwa la Mwananchi la tarehe 2 May 2012.
   
 11. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #11
  May 2, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hakuna vyeo vya kugawana CDM, hiyo ni fact!!

  Ulitaka kutumia kama propaganda au??

  Pole Mkuu!
   
 12. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #12
  May 2, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Mwananchi ina hiyo habari peke yake leo?
  Usipoandika CHADEMA siku yako inakuwaje mkuu?
   
 13. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #13
  May 2, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  source: Mwananchi 2 may 2012.
   
 14. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #14
  May 2, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,549
  Likes Received: 4,675
  Trophy Points: 280
  Asipoandika Chadema Nape anakata posho, hawa si ndiyo akina Tuntemeke?
   
 15. KirilOriginal

  KirilOriginal JF-Expert Member

  #15
  May 2, 2012
  Joined: Feb 13, 2012
  Messages: 1,920
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Ole Milya hakuitwa kuja CDM kwa hiyo lolote litakalompata apime ajiamulie mwenyewe, na ajue wapo vijana wengi na wasomi kama yeye ambao wameitumikia CDM na tulikuwa tunamwangalia akiwa kwenye enzi yake ya ccm. Na kama sisi vijana wa CDM ni washika mapembe wanywa maziwa watakuja basi mtujuze.
   
 16. h

  hans79 JF-Expert Member

  #16
  May 2, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  haina mvuto mbona hujaandika kuhusu baraza la mawazir!
   
 17. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #17
  May 2, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,010
  Likes Received: 1,815
  Trophy Points: 280
  Kama Nanyaro amesema hivyo basi si haki. Ajue katika siasa hakuna uadui wa kudumu. Watu wana cross toka upande huu kwenda mwingine na hata vyeo wanapata. Mrema alitoka CCM akaenda NCCR akapata cheo. Dr. Slaa alipata cheo, Dr. Kabourou alitoka CDM akapata ubunge wa EA huko CCM, nk.
   
 18. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #18
  May 2, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  Kumbe wewe upo JF kwa kutafuta mvuto vipi cha chako ADC kina mvuto kwa wa Tanzania?
   
 19. babe S

  babe S JF-Expert Member

  #19
  May 2, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 3,703
  Likes Received: 19,819
  Trophy Points: 280
  Si wazo baya! Au mlitaka ajipendekeze? Labda ndo kanuni za chama
   
 20. M

  Molemo JF-Expert Member

  #20
  May 2, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Hilo gazeti ninalo hapa.Acha uongo mkuu.Weka link na habari yote....
   
Loading...