Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katika hali inayotafsiriwa kama mwendelezo wa vuguvugu lililoanzishwa bungeni, madiwani wa CCM na wa CHADEMA wote kwa pamoja waliungana na kutaka kwa kauli moja kuwajibishwa kwa watendaji wakuu wa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nasaha yangu kwa mh. Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali yake ya Chama cha Mapinduzi kama kweli wanayo nia na malengo ya dhati katika taifa hili. Juhudi yetu ya kutafuta fedha...
0 Reactions
0 Replies
875 Views
Wadau kuna taarifa kuwa hukumu ya kesi jimbo la kasulu kupinga matokeo yaliyompa ushindi mbunge wa nccr mageuzi bi agripina buyogera itasomwa leo. Kama kuna mtu mwenye uwezo wa kutujuza...
0 Reactions
56 Replies
6K Views
Nadhani baraza lililolalamikiwa lilipata dozi pale Ngurudoto na ndiyo maana likaonesha ufanisi wa -13% efficiency. Kwa maana nyingine JK hafai kuwa mwalimu hata kuelekeza ni hovyo. Swali langu ni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu, Taarifa rasmi ni kuwa Makongoro Mahanga ameshinda kesi dhidi yake katika Jimbo la Segerea. Ilikuwa ni vigumu kuandika hala live updates kwakuwa mahakamani hakukuwa na uwezekano wa kuwa...
1 Reactions
347 Replies
31K Views
Nimeangalia taarifa ya hbr TBC, Naibu waziri wa elimu kakusanya waandishi wa hbr na kwenda kuifunga shule kongwe ya binafsi Central sec pale Dom. Eti haina mwalim wa taaluma mara wa nidhamu na eti...
4 Reactions
55 Replies
5K Views
Serikali ya JK jana imejisifia kwa kuwezesha TAKUKURU na CAG. Sote tunajua idara hizo mbili ambazo ni vinara katika kupigana na ufisadi sasa zina ofizi zao za kisasa - makao makuu na hata za...
7 Reactions
85 Replies
10K Views
Ndugu wa JF salamu Hoja yangu kwa leo ni kuteta kuhusu mamlaka aliyopewa CAG. Akihutubia kilele cha cha maadhimisho ya sikukuu ya Wafanyakazi duniani MEI MOSI, katika uwanja wa Mkwakwani, Tanga...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mliosoma gazeti la RAIA MWEMA la leo kuna article ya ndefu pg. 08 yenye headline isemayo BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI. Ukihesabu utaona kuwa article ina paragraph 31. Siwezi kukopi paraghraph zote...
5 Reactions
74 Replies
11K Views
Nimeipenda hii nimeikuta Facebook, kwa kweli tunahitaji ukombozi kwenye media zetu, ili zitusaidie kukomboa nchi yetu inayokabiliwa na matatizo makubwa ya kisiasa, kiuchumi na kijamii. "Natumia...
1 Reactions
0 Replies
864 Views
  • Closed
Kila ninapopita ktk Ofisi za CCM Ubungo siku 2 hizi, nahisi kuna jambo kubwa linaweza kutokea Jimboni hapo. Furaha na maandalizi ya hapa na pale yanaandaliwa. Ofisi zinaonekana kama zinasafishwa...
0 Reactions
117 Replies
14K Views
Jaji Warioba: Hatutaki shinikizo Na Muhibu Said 3rd May 2012 Hakuna kikundi chenye mtu wake Wakabidhiwa ofisi, kazi yaanza Katibu Mkuu Kiongozi, Ombeni Sefue (kulia)...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
home HOME CONTACT US THURSDAY, MAY 03, 2012 ZIARA YA RAIS WA ZANZIBAR YA KUIMARISHA CHAMA CHA MAPINDUZI KISIWANI UNGUJA Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mjumbe wa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
tunaomba operation Korosho mtwara , lindi, ruvuma wakati ni sasa wa kuimalisha chama chetu hapa mtwara watu wanaona chadema kwenye tv tu sasa tunahitaji live hapa njooni jamani tumalize mjadara wa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
nahitaji kujua na kuisoma katiba ya zamani katika version zote mbili ya kiswahili na ya kiingereza!!!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sasa ni wakati na muda muafaka wa CHADEMA kupeleka M4C segerea haraka iwezekanavyo ili kuwaweka awareness wananchi wa segerea na Tanzania kwa ujumla jinsi mahakama inavyotumika kisiasa na jinsi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau, Tafadhali naombeni mnisaidie chanzo ambacho nitamudu kupata hotuba ya JK ya Mei Mosi
0 Reactions
0 Replies
642 Views
Following recent decisions of our courts I think we need jury system. Hawa ni watu wasiojua sheria 'laymen' randomly selected, wanaokaa na jaji tangu mwanzo mpaka mwisho wa kesi, kisha wanaamua...
0 Reactions
5 Replies
832 Views
Salam sana WanaJF na Watanzania wote wapenda maendeleo...nipo hapa Same baadae ntaelekea Mwanga..nashangazwa sana na baadhi ya viongozi wa kichama..hawakubaliki kabisa..Naam.... ntakuja lini huku...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Watu wa Kibaha Mjini wameona mwanga wa ukombozi.Wanaihitaji CHADEMA.Hatahivyo,hawako tayari kusimamishiwa Habib Mchange kama Mgombea wa CHADEMA kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2015 au hta kwenye Uchaguzi...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…