Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kamanda kafulila, kama ukimya wako utaendelea hata katika bunge la bajeti mwezi ujao basi ujue utapolomoka sana kisiasa na malengo ya Mbatia na Ccm yake yatakuwa yamefanikiwa kwa 100% na makinda...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
nimeusikiliza kwa makini wimbo wa sarafina freedom is coming tommorow nimeona ni vizuri ukatumiwa na chadema katika mv4c!
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Nawashukuru kwenu nyote ambao mmeendelea kunipa sala na salamu za kutia moyo.Siku ya hukumu imepangwa; 24.05.2012 SOSI; JJ on Twitter.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kulikua na kila ulazima wa kuchaguliuwa Mbatia kuwakilisha upinzani maana kwa sasa upinzani umekwisha .wabunge wote wanaagalia maslahi yao 2015. hakuna tena anaetetea uozo au kujikomba wazi wazi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hebu tujikumbushe wimbo huu enzi zile tanzania ikiwa na vijiji tajiri na miji yenye viwanda, watz walikuwa wakiimba hivi "chama chetu cha mapinduziie chajengaaa nchiii njerere aa na mwinyi wajenga...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau JF. Napenda kutoa changamoto ili kuweza kupata mawazo chanya juu ya mustakali wa chama chetu tukipendacho. Moja ya jambo ambalo limekuwa likinitatiza sana ni jambo la uwazi na uwajibikaji...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Siamini kama twiga wametoroshwa na kusafirishwa kwenda nje ya nchi bila serikali kujua. Kinachonifanya nisiamini ni maswali haya: 1. Ni dhahiri kuwa maeneo ambako twiga wanaishi (mbugani)...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Taarifa hii nimeipata kwa jamaa yangu,japo hajanipa sababu za kujiuzulu kwake,so kama kuna mtu ana habari kamili atumwagie hapa. NAWASILISHA!!! ============ Kwa mujibu wa Bw. Kimolo, miongoni...
1 Reactions
92 Replies
15K Views
Kipindi nilipokuwa darasa la nne mie kama mkatoliki nilisomea mafundisho ya ubatizo,nakumbuka siku ninabatizwa kuna sala ambayo ilibidi tuiseme nayo ni "una mkataa shetani jibu ndiyo na mambo yake...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
( Pichani juu Ndugu Mfutakamba akiwa mitaa ya Iringa na picha ya chini alipotembelea Chuo Cha Maendeleo ya Wananchi Ilula kuzindua mradi wa kuifadhi maji ya mvua) Ndugu zangu, Ujamaa ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau ebu tutajieni list ya waliomwagwa Unaibu na Uwaziri. Naanza na 1.Ngeleja 2.Maige 3.Nundu 4.Chami 5.... 6... 7.Mkulo
1 Reactions
135 Replies
15K Views
Katika kuonyesha kuwa serikali ya JK inafanya kweli, leo asubuhi serikali imeingia mkataba na makampuni ya ukandarasi ya kizalendo 13 kutekeleza ujenzi wa daraja la Mbutu huko Igunga. Uwekaji...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
wanatJF. Tanzania ilipofikia kilele cha ufisadi ilikuwa kawaida kwa mtu akiteuliwa kuwa Waziri au kupewa dhamana kubwa, anafanya sherehe kuuubwa ya 'kumpongeza'. Je, jambo hili ni sawasawa...
0 Reactions
0 Replies
951 Views
Mh. ZITTO kanena na mimi nanena kuwa hakuna kukusanyika ikulu kesho jumatatu tarehe 7 kwa madhumuni ya kushangilia walioteuliwa kuwa mawaziri. Kama kweli tunaamini hawa tumewabebesha mzigo...
0 Reactions
0 Replies
907 Views
Baada ya kusemwa sana katika mabaraza mawili aliyowahi kuyavunja, nilitetegemea jk ataacha kudili na kundi kubwa lililofanya kampeni chafu za kumwingiza madarakani maarufu kama wanamtandao. Lakini...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau mnauongeleaje uteuzi wa mwanazuoni Profesa Sospeter Mulongo wa Chuo Kikuu cha Dar ea Salaam. Ni man of honour, mwanataaluma, mtaalamu na amebobea katika fani ya jiolojia ukiachilia mbali...
2 Reactions
56 Replies
7K Views
Hoja ya wapinzani inaelekea kupita kwamba wizara ya Ngeleja kuelemewa na vyote nishati na madini. Waziri mkuu sasa amekubali kwamba hili litapelekwa kwa rais kuangalia kutenganishwa wizara za...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za asubuhi waungwana? Napata shida kukumbuka ni lini nimesikia au kushuhudia mikutano ya hadhara ikihutubiwa na mawaziri wa awamu hii ya nne,naomba kujua kama ipo,imepungua au hakuna kabisa...
0 Reactions
0 Replies
883 Views
Mh.Kafulila,ulikimbia kwa makamanda wa CDM ukaenda kwa mamluki wa Magamba. Natabiri utaporomoka kisiasa hata kupotea kabisa. Nakushauri rudi CDM omba msamaha hata kama ni kupoteza ubunge lkn...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
WADAU, Kwa muda mrefu kumekuwa na fununu mitaani kwamba mbunge wa Shinyanga Mjini Mhe. Masele ni swahiba mkubwa wa mtoto wa Kikwete R1 na inasemekana wakati wa uchaguzi wa ubunge uliopit, R1...
12 Reactions
78 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…