Wapendwa wana JF habari za muda.
Ni kweli maandamao yamefanyika katika Jimbo la Karatu ili kumpokea Mb Viti maalum Cecilia Daniel Paresso.
Mimi ninapata shaka katika hilo lililofanyika, Hivi...
Mkuu MMM, heshima yako.
Nakumbuka uliwahi kutuuliza ni viongozi gani wenye uhusiano wa karibu na Rostam Abdulrasul Azizi. Majibu yalikuwa na orodha ndefu ambayo ndani mwake mlikuwa na pumba na...
*Wabunge wawili CCM walipwa fidia Sh milioni 964 bado jengo lauzwa
*Zitto asema kalinunua Fida Hussein
*Ataka Katibu Mkuu Fedha ahojiwe
Wakati Rais Jakaya Kikwete amebadili Baraza la Mawaziri...
Polisi mkoani Arusha imewatia mbaroni watuhumiwa watatu wa mauaji ya mwenyekiti wa CHADEMA kata ya Usa River wilayani Arumeru, Msafiri Mbwambo na tayari wamefikishwa mahakamani.
Kamishna wa...
Rais Jakaya Kikwete akiteremka kwenye gari lake eneo la Kimara Rombo,
Dar es Salaam kumjulia hali Askari wa kikosi cha Usalama Barabarani
Sajent Steven Laizer, baada ya kupata ajali akiongoza...
MAWAZIRI wapya walioapishwa jana na Rais Jakaya Kikwete wameahidi kutumia uwezo wao wote kukabiliana na changamoto mbalimbali katika sekta zao.
Akizungumza na gazeti hili baada ya kuapishwa...
Yazoa wanachama 1300
na Happiness Matanji, Iringa
ZAIDI ya wanachama 1300 wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kutoka mikoa ya Simiyu, Morogoro na Njombe wamekihama chama hicho na...
Mkuu wa wilaya ya misenyi,Kanali mstaafu Isa Njiku,amechanganyikiwa baada ya kuitisha mkutano na wananchi wa kata Kyaka na kuwachimba ni kwanini waliichagua Chadema ktk kijiji cha bulfani mwezi...
Ama kweli wametiwa upofu,wamepewa macho na hawalioni anguko lao,wamepewa masikio bali hawasikii hata kelele za hatari,Mungu ajitenga nao,aamua kuweka kila kitu hadharani,wanajif anya hawajui...
Ni aliyekuwa mgombea wa udiwani kata ya Kirumba kupitia CCM bwana Jackson Robert maarufu kama Masamaki.Hajalipa mishahara ya wafanyakazi wa kampuni ya ulinzi anayoimiliki iitwayo Victoria Support...
Ukifuatilia ushahidi alioutoa Mzee wetu Rais mstaafu mh. Benjamin William Mkapa katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Italia Balozi Costa Mahalu, utagundua...
Wananchi wa Mkambako wakionyesha vidole viwili kama ishara ya kukikubali Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA)
Mh. Alatanga Nyagawa akiimbisha wimbo anaouita wimbo wa...
Maoni ya katuni
Jana Rais Jakaya Kikwete aliwaapisha mawaziri na naibu mawaziri ambao aliwateua katika mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri aliyoyatangaza Ijumaa iliyopita.
Katika sherehe...
ZAIDI ya wanachama 1300 wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kutoka mikoa ya Simiyu, Morogoro na Njombe wamekihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Katika mkoa wa...
Gazeti na Tanzania Daima la Tarehe 30 Aprili, 2012 liliandika kwamba wafuasi wa CHADEMA 15 wameuawa . Habari hii inaungana na kauli ya JOHN Mnyika kwamba wafuasi 15 wa Chadema wameuawa.
Madai...
Mapambo Ikulu kwenye SHEREHE za kuwaapisha mawaziri vimegharimu kiasi gani?
Mawaziri hao na Naibu wao WAMEAPISHWA au WAMETAWAZWA?
Ufujaji wa pesa za umma unapoanzia Ikulu siku ya kwanza ya...
Mawaziri waliong'olewa wamsusa JK
MAWAZIRI wapya na manaibu wao, jana waliapishwa na Rais Jakaya Kikwete, huku wale waliong'olewa katika baraza hilo wakisusia sherehe hizo, isipokuwa William...
Ndugu wana JF..hivi hamnuoni kama changa la macho ndio limeshapigwa?nionavyomie mwenendo wa mambo unavyokwenda ni kuwa CCM imefanya hili la kubadilisha baraza la mawaziri ili kuvuta attention ya...
Ndugu watanzania me nahisi tumefikia mahali kila mtu imani imemtoka, yan kila mtu anaamin mtu kua madarakani ni kwenda kuiba au kujitajirisha, hii dhana kwa watanzania jamani ni potofu, japo...