Swali kwa Mwanakijiji

Mnyamahodzo

JF-Expert Member
May 23, 2008
1,932
985
Mkuu MMM, heshima yako.

Nakumbuka uliwahi kutuuliza ni viongozi gani wenye uhusiano wa karibu na Rostam Abdulrasul Azizi. Majibu yalikuwa na orodha ndefu ambayo ndani mwake mlikuwa na pumba na mchele.
Swali langu, katika utafiti wako ni kipi uligundua na je unaweza kutupatia members wa ring yake?

Nakumbuka pia ka"nzi" kalikwenda Mashariki ya kati, Corta Rica kisha Igunga (japo kalipotaka kwenda huko Igunga walitaka kukaua). Habari mbaya ni kuwa ka"nzi" walikavunja bawa pale Upanga. Je! Unaweza kutujuza uchafu gani ka"nzi" kaliokota ama kuuona katika majalala ya huko kote mpaka kalipovunjwa bawa?

Kumbuka ulituahidi, if u know you'll let us know.
 
heri ungeweka wazi kwa faida ya wote,mana umeongea mafumbo tupu
 
Labda akija Mwanakijiji atajua nini anachozungumza swahiba wake.
 
P'se don't tell because we'll live to tell!.
Watanzania tunapenda good news na hatupendi bad news!. RA ni bad news!. Whatever MM has is bad news better not tell it because no news is good news!.
 
Thread yenyewe ya mafumbo,M.M.Mwanakijiji mwenyewe kaja kimafumbo pia!dah kazi ipo!tunaona chenga chenga tuu hapo!fungukeni bas waungwana!au tuleteeni huo uzi wa zaman tuusome!
 
??????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
 
Well, if I tell u...

Mkuu swali lako ni kama linakata kiu bila ya kunywa.

Well, I need to know ... we need to know. Knowledge is power. Though some politicians disapointed you agreat, yes even other professionals, have not acted on the tips you gave them; from EPA to Meremeta and many more. Lakini kipo kizazi kinachoyashika unayoandika miongoni mwetu atatoka mtu/watu wa kuwashitaki waliohusika ama kuziba mianya ya madudu kama hayo yasitokee.
 
Thread yenyewe ya mafumbo,M.M.Mwanakijiji mwenyewe kaja kimafumbo pia!dah kazi ipo!tunaona chenga chenga tuu hapo!fungukeni bas waungwana!au tuleteeni huo uzi wa zaman tuusome!

JF inaheshima yake tatizo kuna watoto waliojiunga ambao hawajakubali kujifunza nini kinachoendelea wanaharibu ladha na heshima ya JF. Mbaya zaidi ni lile kundi la wale wapumbavu wenye kuuvaa upumbavu wakitenda kama mamluki, kazi yao kuharibu kila mada yenye kuwafikisha watu na kuwapa maarifa kama si ufahamu.

Chukua muda kasome thread za zamani kwenye archive. Soma angalau mbili kwa siku utajua thamani ya JF. Ukisema unajua mimi nakwambia bado!!
 
Then mwanakijiji bora umwage tumusijisikie kuchoka tafadhali
 
Back
Top Bottom