• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS
F
Reaction score
225

Profile posts Latest activity Postings About

 • F
  Uchaguzi 2010, VIPAUMBELE VYA TAIFA ni vipi?
  Mtandao unatupatia fursa ya kuwasiliana na kuandamana bila kibali cha Afande Mwema; tuitumie.
  *Maliasili zinavunwa bila sisi kupata lolote.
  *Elimu yetu inatufanya tuliogope hata Shirikisho la Afrika Mashariki ambalo limeisha piga hodi.
  *Sera za kumiliki ardhi hazieleweki. Wakenya wanainyemelea.
  *Vijana wetu wanakosa ajira huku Makampuni ya kigeni yakiajiri vibarua toka India na China.
  *Mabenki yanatoza riba ya 20%, mikopo italipika? Wapi duniani kuna riba hiyo na watu wakaweza kulipa?
  *Barabara vijijini mbovu.
  Jo'burg limejengwa na machimbo ya dhahabu huko Afrika Kusini, kwetu vipi?
  Suala la awe Kikwete, Lipumba, Maalim Seif, Dr. Shein, Dr. Slaa lije baadaye baada ya kuchambua vipaaumbele vyetu na kuona ni yupi kati yao anayestahili kukabidhiwa kazi ya kuiokoa nchi yetu.
  Mungu ibariki Tanzania
 • Loading…
 • Loading…
 • Loading…
Top