Mabadiliko ya mawaziri: Ufujaji wa pesa za umma waanzia ikulu kwenye sherehe ya kuwaapisha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabadiliko ya mawaziri: Ufujaji wa pesa za umma waanzia ikulu kwenye sherehe ya kuwaapisha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by fundimchundo, May 8, 2012.

 1. f

  fundimchundo Senior Member

  #1
  May 8, 2012
  Joined: Jul 23, 2010
  Messages: 150
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Mapambo Ikulu kwenye SHEREHE za kuwaapisha mawaziri vimegharimu kiasi gani?
  Mawaziri hao na Naibu wao WAMEAPISHWA au WAMETAWAZWA?
  Ufujaji wa pesa za umma unapoanzia Ikulu siku ya kwanza ya mawaziri kuanza kazi, kunaashiria utendaji wa aina gani?
  Ikulu inawapa ujumbe wateuliwa kwamba huko waendako, wakasherehekee.
  Kwa nini Rais Kikwete asingesikia kilio cha Watanzania wanaochukizwa na sherehe zisizoisha za Serikali yake huku wanafunzi nchini mwetu wakikosa vifaa kadha wa kadha?
  RAIS KIKWETE ATAJIREKEBISHA LINI?
   
 2. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #2
  May 8, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  Hoja yako ni nini?? asingefanya mabadiliko ya baraza mngesema wee!!! sasa kafanya mnaleta gubu la nini?? mpendweje? akifanya mnasemaasipofanya mnatukana..mibongo kama vinyonga!
   
 3. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #3
  May 8, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Haiwezekani Mawaziri waapishwe bila shamra shamra hata kidogo.
   
 4. M

  Moony JF-Expert Member

  #4
  May 8, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mapambo.... hivi nani ana tenda ya kupamba Ikulu? anatoa stakabadhi akilipwa analipa kodi? tunataka hili nalo liwekwe wazi.
   
 5. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #5
  May 8, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  mambo mengine ni chuki tupu kwa sherehe ya Ikulu mapambo yalikuwa ni ya kawaida sana....sema lingine
   
Loading...