yupo wapi Sabaya.,DC wa Songea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

yupo wapi Sabaya.,DC wa Songea

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by alexmahone, May 8, 2012.

 1. alexmahone

  alexmahone JF-Expert Member

  #1
  May 8, 2012
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 454
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 60
  Mwenye taarifa na mkuu wa wilaya ya songea bwana Sabaya naomba anijuze,maana cjamsikia muda mrefu.
   
 2. Meitinyiku L. Robinson

  Meitinyiku L. Robinson JF-Expert Member

  #2
  May 8, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bado yuko Songea Mkuu nafasi hiyo hiyo!
   
 3. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #3
  May 8, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  Muulize mwanaye anaitwa pamela
   
 4. bushman

  bushman JF-Expert Member

  #4
  May 8, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,312
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Huyo sabaya na mwenzio maiko kamuhanda (rpc) siwapendi kama nini ukiweka juu na nchimbi emanuel.
   
 5. bushman

  bushman JF-Expert Member

  #5
  May 8, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,312
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Pamela yupo wapi saizi leta location!!!!!!!!!!!
   
 6. Ngalikivembu

  Ngalikivembu JF-Expert Member

  #6
  May 8, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,908
  Likes Received: 355
  Trophy Points: 180
  Mkuu huyo yupo hapa Songea.Anazidi kujenga majumba tu nadhani akistaafu hatarudi Arusha.Alikutana na kibano cha maandamano hapa Songea na kuanza kupita kutoa eti elimu ya kwanini wananchi hawapaswi kuamini mambo ya uzushi.Hii ilitokana na mauaji ya wananchi wakati wa maandamano yaliyosababishwa na polisi.Polisi ambao hadi sasa wameachiwa huru.
   
 7. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #7
  May 8, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Alijaribu kugombea arumeru magharibi..kakumbana na kivuli cha MAMVI
   
Loading...