Watuhumiwa wa mauaji ya Mwenyekiti wa CDM USA River watajwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watuhumiwa wa mauaji ya Mwenyekiti wa CDM USA River watajwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Arusha Leo, May 8, 2012.

 1. A

  Arusha Leo Senior Member

  #1
  May 8, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Polisi mkoani Arusha imewatia mbaroni watuhumiwa watatu wa mauaji ya mwenyekiti wa CHADEMA kata ya Usa River wilayani Arumeru, Msafiri Mbwambo na tayari wamefikishwa mahakamani.

  Kamishna wa polisi nchini, Isaya Mngulu amewataja watuhumiwa hao kuwa ni:

  1. DAUD LEZILE MKUBA
  2. MATHIAS NATHAN KURWA
  3. SAID PHLORIN MKWELA
   
 2. Adolph

  Adolph JF-Expert Member

  #2
  May 8, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 870
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Kama ni kweli hawa ndo wahusika wanatakiwa kwangu niwaponde korodani huku nikiwamwagia pilipili machoni..
   
 3. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #3
  May 8, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Picha zao zikowapi jamani
   
 4. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #4
  May 8, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Not untill proved gilty. Nadhani tuvute subira!
   
 5. L

  LAT JF-Expert Member

  #5
  May 8, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  hawa watu lazima wametumwa ... ninauhakika siyo dhamira yao ingwa wao ndiyo watuhumiwa.... ukweli utajulikana ... vinginevyo hawa ni kondoo wakafara
   
 6. M

  MLERAI JF-Expert Member

  #6
  May 8, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 673
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Nafikiri ile hukumu ya kunywonga bado ni muhimu kwa nchi yetu.Watu kama hawa hawastahili kuishi kwenye jamii tena hata kama ni magereza.Tuombe upelelezi uwe wa kweli na ibainike kama ni wao walitumwa na nani.
   
 7. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #7
  May 8, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  CCM wote hawa!
   
 8. i

  iseesa JF-Expert Member

  #8
  May 8, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 944
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kama walitumwa huenda walitumwa na wamiliki wa mashamba yanayodaiwa na Wameru
   
 9. Mapi

  Mapi JF-Expert Member

  #9
  May 8, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 6,871
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  sisi tupeane habari ya yanayojiri, kazi ya polisi na mahakama tuwaachie wenyewe.
   
 10. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #10
  May 8, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  sheria zitumike bila kupindishwa tafadhani sana
   
 11. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #11
  May 8, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Unasema...
   
 12. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #12
  May 8, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Wana Arusha hebu kujeni na taarifa zinazowahusu hawa machalii...
   
 13. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #13
  May 8, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Hao ni wanachama wa chama gani? Ebu tuanzie hapo mzee wa arusha ebu tupe bio za hao wauaji.
   
 14. K

  Kuntakint JF-Expert Member

  #14
  May 8, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 1,112
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180

  Sahihisha kiswahili chako. Unaposema hawa hapa ni kuwa kwa kuwaonyesha kwa picha zao, au kwa kuwaonyesha live yaani walioua ni hawa hapa. Sio majina
   
 15. L

  Lsk Senior Member

  #15
  May 8, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 178
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ...nadhani kuna vigogo waliwatoma kutekeleza mpango huo. Tunaomba miwani ya polisi itanuke kidogo ili kuwapata walohusika kwa ku-engineer mauaji haya!!
   
 16. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #16
  May 8, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Hao wahalifu unawita machalii?
  Tuko acha masihara!
   
 17. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #17
  May 8, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Sheria ichukue mkondo wake au nao wana miaka chini ya 18
   
 18. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #18
  May 8, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Kuna gazeti limereport kati ya hao m1 ni chadema na wawili ni ccm,mzee wa arusha ebu tufahamishe zaidi.
   
 19. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #19
  May 8, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Hiyo ndiyo kazi ya Polisi sidhani hata kuna haja ya kukikumbusha chombo hicho hata hatari kwa kusakua.
   
 20. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #20
  May 8, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,809
  Likes Received: 3,892
  Trophy Points: 280
  Pia mwandishi alipaswa kusema watuhumiwa wa mauaji ya mwentekiti wa cdm usariver majina yao haya hapa, lakini ukisema watuhumiwa hawa hapa means tayari there is no reasonable doubt kuwa ndio hao na umeshawahukumu! Pamoja na ubovu wake tuheshimu mahakama zetu pia watuhumiwa wote ni innocent hadi mahakama iweze ku prove otherwise!
   
Loading...