Hakuna aliyenusurika

Rose Mayemba

JF-Expert Member
May 7, 2012
721
1,017
Ama kweli wametiwa upofu,wamepewa macho na hawalioni anguko lao,wamepewa masikio bali hawasikii hata kelele za hatari,Mungu ajitenga nao,aamua kuweka kila kitu hadharani,wanajif anya hawajui wanachokiona,w ngi watafunguka siku ya mazishi yao.eee Mungu endelea kuwapumbaza watu hawa.
 
Ama kweli humu kuna member ambayo wanakurupuka tu!

Sasa huyu amekurupushwa na nini??
 
Ndoto zinazosababishwa na njaa hizi. Uwe unakula kabla ya kulala ona sasa.
 
mbona yupo clear tu?
jaribuni kupanuka kidogo mtamwelewa hiyo inaitwa tenzi tata na kila ambaye si mvivu wa kufikiri hung'amua mapema.
 
Mada hizi za facebook AU WAMAANISHA HAKUNA ATAKAYENUSURIKA KUJIVUA GAMBA NA KUVAA GWANDA?
 
mbona yupo clear tu?
jaribuni kupanuka kidogo mtamwelewa hiyo inaitwa tenzi tata na kila ambaye si mvivu wa kufikiri hung'amua mapema.
Wanajifanya hawamwelewi mleta hoja, mtu kasema 'wanajifanya hawalioni anguko lao', kipi kimejificha hapa.
 
Ubarikiwe, sala yako imewafikia na muumba bila ya shaka ameipokea. Wahusika wote wamefumbwa, but messege sent & delivered.
 
Psalm is too general. Ukisema hawaoni anguko lao wapi? Zaburi haikuandikwa kwa ajili ya watanzania wala CCM. Tatizo la wanafasihi wa kujifungia chumbani na kufikiri ni kudhani kila mtu anafikiri kama wao. Laiti angeanza na kidokezo na siyo kuja na kitu kisicho na hunch. Kama ni fasihi tumeifundisha kwa miaka tunajua nini fumbo, nyama hata farasi kufungiana nyama na nyangwa. Ningemshauri asome vizuri kuhusu matumizi ya tenzi au mafumbo hata mashairi ya jumla kuelezea jambo mahsusi. Sina ugomvi na dhana nzima ya mleta mada ingawa sikubaliani na dhima anayotaka watu wapate hata bila kiashiria. Anyway sijui. Huenda fasihi ya kisasa ya akina Profesa Maghembe ya kusoma kitabu kimoja ndiyo inayofanya kazi hapa. Hata kwenye utunzi wa vitabu huwezi kuota na kutaka hadhira yako iote bila kuwaonyesha mwelekeo.
 
Ina maana pamoja na kusoma kwako fasihi hujaambua chochote kwenye tenzi hiyo.
Kwa akili ya kawaida lazima uhisi at least vitu viwili vitatu vinavyoongelewa.
 
Ndoto zinazosababishwa na njaa hizi. Uwe unakula kabla ya kulala ona sasa.

Inahitajika IQ at least ya 30-40 kumuelewa...napata wasi wasi kama wewe ni great thinker na unashindwa kuelewa sentesi fupi kama hizi....au gamba limekufunika akili na macho??? Maana ukiwa ccm unakuwa kipufu na kujitoa akili unabaki TAHIRA....KAZI MNAYO....!!!
 
Ama kweli wametiwa upofu,wamepewa macho na hawalioni anguko lao,wamepewa masikio bali hawasikii hata kelele za hatari,Mungu ajitenga nao,aamua kuweka kila kitu hadharani,wanajif anya hawajui wanachokiona,w ngi watafunguka siku ya mazishi yao.eee Mungu endelea kuwapumbaza watu hawa.

Kweli rose, hata hapa JF wengi wametiwa upofu na wamepumbazika hawaelewi hata ujumbe uliopo kwenye uzi huu, kweli siku ya kufa kwa nyani miti yote huteleza!!!!!
 
KAKA Umekula? maana njaa wakati mwengine inaweza kukufanya ukaongea peke yako kwa ufupi sijaelewaunataka kuongea nini!
Ama kweli wametiwa upofu,wamepewa macho na hawalioni anguko lao,wamepewa masikio bali hawasikii hata kelele za hatari,Mungu ajitenga nao,aamua kuweka kila kitu hadharani,wanajif anya hawajui wanachokiona,w ngi watafunguka siku ya mazishi yao.eee Mungu endelea kuwapumbaza watu hawa.
 
Ina maana pamoja na kusoma kwako fasihi hujaambua chochote kwenye tenzi hiyo.
Kwa akili ya kawaida lazima uhisi at least vitu viwili vitatu vinavyoongelewa.

Kwa mfumo wa kiuandishi hapa mwandishi hakutumia mfumo wa kueleweka mada yake kwa hadhara, kwa maana maswali mengi yanaibuka nani, wapi, kafanya nini, kwa nini, imetokeaje nk. yale maswali matano ya W's ya kiuandishi.

Wasomaji wasiojua anaongelea nini watajua anasisimkia jambo gani hapa?

Kwa lugha raisi ni flag, hanging over.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom