Mawaziri hawa wapya ndio watazitafuna vzr hizo pesa za umma:na cag ndo kamaliza kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mawaziri hawa wapya ndio watazitafuna vzr hizo pesa za umma:na cag ndo kamaliza kazi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by JF-MBUNGE, May 8, 2012.

 1. J

  JF-MBUNGE JF-Expert Member

  #1
  May 8, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 422
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ndugu wana JF..hivi hamnuoni kama changa la macho ndio limeshapigwa?nionavyomie mwenendo wa mambo unavyokwenda ni kuwa CCM imefanya hili la kubadilisha baraza la mawaziri ili kuvuta attention ya watu kuwa inajali vilio vya wananchi. Lengo ni kujipanga vzr kwa uchaguzi wa 2015,kiini macho kingine ni kauli ya CAG kwamba mawaziri wawe makini la sivyo watapoteza nafasi zako..." kimsingi mie naona huu ni mchezo tu unaendelea baadae CAG hataleta tena report mbaya ili kuuaminisha umma kuwa hakuna madudu tena yanayofanyika, kumbuka hawezi kuiadhibu serikali na CCM iliyompa ajira kuelekea kipindi cha uchaguzi 2015.

  Take it from me...mawaziri hawa ndio wata piga madeal balaa zaidi ya hata walioondoka...mind you kwanza watakua wanajiandaa na uchaguzi wa ubunge na urais 2015, na hawana uhakika who comes next...so WATANZANI kaeni mkao wa kupigika kila mtu kwa nafasi yake afanye kazi kujitatulia shida zake.
   
Loading...