Dc-misenyi achanganyikiwa baada ya chadema kushinda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dc-misenyi achanganyikiwa baada ya chadema kushinda

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mr.kibulala, May 6, 2012.

 1. M

  Mr.kibulala Member

  #1
  May 6, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu wa wilaya ya misenyi,Kanali mstaafu Isa Njiku,amechanganyikiwa baada ya kuitisha mkutano na wananchi wa kata Kyaka na kuwachimba ni kwanini waliichagua Chadema ktk kijiji cha bulfani mwezi uliopita,na kuwaeleza kuwa wamefanya kosa kubwa kutoichagua CCM,baada ya maelezo hyo wananchi walianza kumzomea.ndipo akampatia nafac ya kuzungumza Mh.mbunge(asumpta) bla kujua akaanza kumwaga sera CCM wananchi wakaanza naye kumzomea.inshort CCM HAWANA LAO MISENYI.M4C.
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  May 6, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Habari njema sana hii.
  Hongereni wana wa Misenyi kwa kutambua haki zenu zinkopatikana.
  Ukombozi wa Tanzania unahitaji nguvu ya umma wa watanzania.
  Misenyi mmeonyesha, huu ni ujumbe kwa wananchi wa mikoa ya pwani
   
 3. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #3
  May 6, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,744
  Likes Received: 1,455
  Trophy Points: 280
  Hiyo ndio aina ya viongozi wanaokula kodi za wananchi kwa silly political ends. DC na ukada wa ccm wapi na wapi?

  Luckily, nguvu ya umma will take good care of it, it's a minor trouble!
   
 4. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #4
  May 6, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Huyo DC atakuwa ana ndoto kama za bosi wake Nape ya kwamba "ccm ni imara na itatawala milele"
   
 5. k

  kanganyoro Senior Member

  #5
  May 6, 2012
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 127
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo ni kali
   
 6. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #6
  May 6, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  peoples power inavunja vunja ccm! Ni raha tupu wadau kuishi nyakati hizi ambazo tunajionea live bila chenga gamba likivuka kwa kasi ya ajabu
   
 7. F

  FJM JF-Expert Member

  #7
  May 6, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Mh Assumpta angekuwa na akili angejikita kulipa mkopo wake haraka maana ubunge 2015 haupati tena!
   
 8. L

  Laizer Ole Naibio Member

  #8
  May 6, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwani nyie hamjui kuwa DC ni kada wa CCM? Wakuu wa Mikoa na Wilaya qualification ya kwanza ni kuwa Kada wa CCM na ndiyo priority ya kwanza katika kazi zao ni kuitetea Chama. Hivyo msishangae.
   
 9. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #9
  May 6, 2012
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Hawa ma-DC wakisimamia zoezi la mchakato wa kusikiliza maoni ya kuandikwa katiba mpya hawatatenda haki! Hawa nao ni magamba ya majambazi!
   
 10. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #10
  May 6, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,006
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Hapo ndiyo naona umuhimu wa dc upande wa ccm
   
 11. Vijijini Lawama

  Vijijini Lawama JF-Expert Member

  #11
  May 6, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 300
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  MMMh mimi napita tu, mambo hayo!
   
 12. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #12
  May 6, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Hivi vyeo mkuu Wa mkoa/mkuu wa Wilaya ni vyeo vya kupeana kishikaji na kila siku tunavipigia kelele kuwa vinawepo kwa ajili ya ccm.Cheo cha mkuu Wa wilaya/mkuu Wa mkoa anapaswa anaechaguliwa awatumikie wananchi,badala yake anatamka wazi wazi kuwa wananchi walikosea kuichagua Chadema!!?Muwe mnawarekodi hawa watu ili tuionyeshe jamii namna ambavyo vyeo hivi vinatumika ndivyo sivyo-tofauti na utaratibu Wa kawaida
   
 13. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #13
  May 6, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Asante mkuu hata Millya alishalisema hili ktk viwanja vya Nmc wakati anavua gamba na kuvalishwa kombati.Hata Nape ukuu wake Wa Wilaya ndio mule mule
   
 14. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #14
  May 6, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Hongera mkuu kwa habari nzuri
   
 15. Bwemero L

  Bwemero L Member

  #15
  May 6, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hizi ni salamu za mwaka 2015, cdm kazeni buti!!!!!!
   
 16. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #16
  May 6, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wakati unawatupa mkuna bado wanang`ang`ania saa za vimwetumwetu wakati dunia ipo kwenye digital!Wanahitaji Maombi
   
 17. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #17
  May 6, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  CHADEMA tunawanyima usingizi,na bado mbona hii ni introduction tu!
   
 18. M

  Mr.kibulala Member

  #18
  May 6, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa kawaida madc ni wenyeviti wa kamati zote za siasa za ccm wilaya,kw hyo dc ni lazima awe mwana ccm,ni hli ni jambo la hatari kwani aweze kuwa fair.
   
 19. M

  Mr.kibulala Member

  #19
  May 6, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa kawaida madc ni wenyeviti wa kamati zote za siasa za ccm wilaya,kw hyo dc ni lazima awe mwana ccm,ni hli ni jambo la hatari kwani awezi kuwa fair.
   
 20. B

  Bubona JF-Expert Member

  #20
  May 6, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 449
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  CCM haiwezi kutawala milele!! Huu ni wakati wa kifo cha CCM, tunaongozwa na chama kinachokufa!! Mengi ya ajabu tutayasikia kutoka kwa viongozi wanazi wa CCM!
   
Loading...