Rais Kikwete amteua Bibi Mwanahamisi Omari Kitogo kuwa msaidizi wa Rais katika Huduma za Jamii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais Kikwete amteua Bibi Mwanahamisi Omari Kitogo kuwa msaidizi wa Rais katika Huduma za Jamii

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwana Mpotevu, May 8, 2012.

 1. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #1
  May 8, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,295
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua BIBI MWANAHAMISI OMARI KITOGO kuwa MSAIDIZI WA RAIS, HUDUMA ZA JAMII.

  Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi (KMK) Balozi Ombeni Y. Sefue leo, Jumanne, Mei 8, 2012, mjini Dar es Salaam inasema kuwa uteuzi huo umeanza Mei Mosi, mwaka huu, 2012.

  Kabla ya uteuzi wake, Bibi Mwanahamisi Omari Kitogo alikuwa Mkadiriaji Ujenzi Msaidizi (Assistant Quantity Surveyor) katika Kampuni ya COWI, Tanzania.


  Imetolewa na
  :
  Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,

  Ikulu
  .Dar es Salaam.
  8 Mei, 2012
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  May 8, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,445
  Likes Received: 19,811
  Trophy Points: 280
 3. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #3
  May 8, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Tumpe ushirikiano
   
 4. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #4
  May 8, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Hii nayo ni kati ya kali za mwaka; kutoka mkadiriaji majengo msaidizi tena wa kampuni binafsi hadi msaidizi wa rais! Ndiyo mapigo ya JK hayo.
   
 5. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #5
  May 8, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Hongera zake mama!
   
 6. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #6
  May 8, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Naona akina mwanahamisi, mwanahawa, mwajuma, mwadawa, siajabu, sikujua......ndo wakati wao huu.
   
 7. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #7
  May 8, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Mitanganyika ina wivu wa kike
   
 8. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #8
  May 8, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  ushirikiano upi? naona jamaa kaamua kugawa vyeo kama njugu sasa , kila siku mtu anateuliwa, kesho uatasikia ndugu MS ateuliwa kuwa Msaidizi wa ......kuhusu mambo yanayojadiliwa JF
   
 9. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #9
  May 8, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Katika wale walioapishwa juzi huyu bibi alikua amesahaulika nini?
   
 10. A

  Awo JF-Expert Member

  #10
  May 8, 2012
  Joined: Apr 12, 2010
  Messages: 790
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45
  Tunavyoendelea tusishangae kusikia "Rais Kikwete amemteua so and so kuwa House Girl Mkuu. Uteuzi huo unaanza mara moja."
   
 11. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #11
  May 8, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280

  Wala sio wivu tunapongeza uteuzi wake kwani kupongeza nako ni wivu
  Na wivu wa kiume ukoje kwanza
   
 12. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #12
  May 8, 2012
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  KUTOKA MKADIRIAJI KAMPUNI BINAFSI KUWA MSAIDIZI WA RAISI AISEEEE JK BABALAo
   
 13. O

  Ogah JF-Expert Member

  #13
  May 8, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  hongera Bi Kitogo!!.......
   
 14. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #14
  May 8, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Mbona waislamu wengi sana,au wakristo hatuna sifa?
   
 15. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #15
  May 8, 2012
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  hahaha haya ndo majina yetu ya asili, ila ndo hivyo yanapotea watoto wa siku hizi hawataki kuitwa hivyo!
   
 16. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #16
  May 8, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  [FONT=&quot]Kweli ujinga ni sawa na ukimwi, ukiupata ujue maisha yako kwishney! House girl katoka wapi kwenye mada hii?[/FONT]
   
 17. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #17
  May 8, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Vigezo na sifa ndio muhimu dini imefikaje kwenye uteuzi?
   
 18. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #18
  May 8, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Tunazungumzia kumpa ushirkiano katika majukumu mapya ya BIBI MWANAHAMISI OMARI KITOGO
   
 19. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #19
  May 8, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Nilifikiri mngeomba CV ya huyo bibie badala yake jina limekuwa ishu!
   
 20. j

  joely JF-Expert Member

  #20
  May 8, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,030
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  tatizo nini? Fani aliyotambulishwa nayo au elimu yake kwenye fani nyingine na uelewa wake.
  Usikalili majibu mkiwa wengi necta mtamekana mmdesa majibu feki
   
Loading...