Hivi Nchii hii ni yetu wote? Au! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi Nchii hii ni yetu wote? Au!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bangoo, May 10, 2012.

 1. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Mh waziri mkuu ametangaza majina ya wakuu wa wilaya hivi punde, ni masikitiko makubwa sana kwamba wengi wao ni wale walioshindwa ubunge, wastaafu, wabunge, watangazaji, na kadhalika. Hivi hawa walioshindwa ubunge au wamestaafu ni lazima wapewe ukuu wa wilaya!. Kwanini mbunge awe mkuu wa wilaya au mkuu wa mkoa? Jamani kwa nini wapewa kazi wakati wana kazi? Hivi ndo tunavyofanya nchi yetuu? Nchi hii ni yetu sote! Kwa nini tunapeana vyeo vya fadhila badala yakuangalia utendaji na uadilifu!. Ktk ripoti ya cag matatizo mengi yapo kwenye halimashauri je iweje tuwapelekee wakuu wa wilaya wa fadhila fadhila!. Wadau tutegemee madudu mengine ya kutisha!!!

  Wenu mlala hoi
  mbumbumbu!.
   
 2. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  kaka ukuu wa wilaya si kazi ila ni tunu.
  kama unabisha tafuta jd yao.
   
 3. Zinedine

  Zinedine JF-Expert Member

  #3
  May 10, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,189
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hawa ni maalum ili kuvuruga mchakato wa katiba ili katiba isipatikane! Believe jk ataondoka na katiba mpya haijapatikana
   
 4. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #4
  May 10, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Serikali iliyoko madarakani imewekwa na yenyewe kifadhila si unajua tume ya uchaguzi ndo ilifanya uchakachuaji?
   
 5. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #5
  May 10, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hata kama ni tunu wanaweka watu ambao wanafanya madudu yanayotucost wananchi na kuzidi kuididimiza serikali yao legelege!
   
 6. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #6
  May 10, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Watavuruga ila siku zote haki itasimama na naamini chama chochote cha upinzani kikichukua lazima kiibadilishe tena katiba na kuiweka katika mstakabadhi unaotakiwa na wananchi na sio unaotakiwa na magamba
   
Loading...