Kesho asubuhi ukipokea simu ya JK kukuomba msaada huu utamsaidiaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kesho asubuhi ukipokea simu ya JK kukuomba msaada huu utamsaidiaje?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by CHAI CHUNGU, Apr 21, 2012.

 1. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Eti wewe ukiamka kesho asubuhi mara unaona namba ngeni juu ya screen ya simu yako,ukiipokea unakuta ni mh JK anaomba msaada wako juu ya kumpa majina 10 ya wana ccm safi ili ayapeleke NEC kwa ajiri ya kumpata mgombea 1 wa nafasi ya urais uchaguzi mkuu ujao kupitia ccm wewe utampa majina gani?
  1.
  2.
  3.
  4.
  5.
  6.
  7.
  8.
  9.
  10.
   
 2. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #2
  Apr 21, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Wote wameoza na kuota mizizi ya ufisadi hawafai tena kuongoza hii nchi. Waachie upinzani watung'olee hiyo mizizi michafu waliyoiotesha ili nchi yetu iweze kupata maendeleo.
   
 3. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #3
  Apr 21, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Lowasa
  Rostam
  Chenge
  Ngereja
  Makinda
  Sophia Simba
  Mzee wa SMG
   
 4. T

  TOWASHI JF-Expert Member

  #4
  Apr 21, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Nitamtumia plain paper
   
 5. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #5
  Apr 21, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Sawa wameoza,na nna imani kama ukipokea simu ya mbwana mkubwa huyo huwezi kumwambia nyote mmeoza!
   
 6. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #6
  Apr 21, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  But yeye yuko hewani kwa wakati huo na anataka umtajie ili aweke kwenye record zake.
   
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  Apr 21, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  i will just hang up ....
   
 8. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #8
  Apr 21, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Inaonyesha ni jinsi gani watz mlivyochoshwa na wimbo ccm!
   
 9. K

  Kodemu Member

  #9
  Apr 21, 2012
  Joined: Mar 30, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nitampatia wawil
  1. Ester buyala
  2. Deo wa ludewa.
   
 10. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #10
  Apr 21, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Bado wa3 mkuu!
  Umetaja 7 tuu.
   
 11. K

  KIRUA Senior Member

  #11
  Apr 21, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 128
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  nitamwambia mzee hakuna mbuge hata moja anayaefaa kumpa uwaziri mkuu....
  ni vizuri ukajiuzulu uwape wananchi furusa ya kuchangua watu makini zaidi na wazalendo na si wanafiki na wenye uchu wa madaraka kama january makamba ....
   
 12. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #12
  Apr 21, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Kaazi kweli kweli!
   
 13. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #13
  Apr 21, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kiukweli CCM mpaka sasa sijaona zaidi ya jembe Deo Filikunjombe.
   
 14. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #14
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Lucy nde
   
 15. Aikasa

  Aikasa Member

  #15
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Kwa upande wangu, nitamwomba kwanza ajiuzulu yeye kama kiongozi mkuu wa nchi.
   
 16. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #16
  Apr 21, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Hapa hamna kitu!
   
 17. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #17
  Apr 21, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  lusinde na bulaya
   
 18. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #18
  Apr 21, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  mie ntampa majina haya!
  1.Salim Ahamed Salim!
  2.Masumbuko Lamwai
  3.Bibi Asha Rose Migiro
  4.Stella Manyanya
  5.Mh Mwakyembe
  6.Mh Mwandosya
  7.Agrey Mwanri
  8.Abas Mtemvu
  9.Makongoro Nyerere
  10.Mh Nimrod Nkono.
  Rais wa Tz kwa upande wa ccm atoke hapa!
   
 19. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #19
  Apr 21, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  ??????????????????hamnaga watu wasafi ccm ni walewale waliokwisha kuzoea kunyonga.
   
 20. Sorrow to Joy

  Sorrow to Joy JF-Expert Member

  #20
  Apr 21, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 293
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Lowasa
  Rostam
  Chenge
  Karamagi
  Msabaha
  Mramba
  Ngereja
  Makinda
  Sophia Simba
  Mzee wa SMG
   
Loading...