Vita ya Gazeti la Mwananchi na Joshua Nassari- Limekosa hoja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vita ya Gazeti la Mwananchi na Joshua Nassari- Limekosa hoja

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwana Kwetu, May 9, 2012.

 1. Mwana Kwetu

  Mwana Kwetu JF-Expert Member

  #1
  May 9, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 616
  Likes Received: 243
  Trophy Points: 60
  Nataka nitofautiane kwa mbali na mashambulizi aliyofanya mhariri wa gazeti la Mwananchi dhidi ya Mbunge wa Arumeru Mh. Joshua Nassari. Kauli aliyotoa Nassari siyo kauli mbaya kuliko zote kutolewa na kiongozi wa kisiasa kiasi cha Mhariri kutumia maelezo mengi kumdhalilisha mbunge huyu eti "alikuwa hajajipanga kuwa Mbunge". Huu ni unafiki mkubwa na chuki binafsi kwani the same gazeti kwa kipindi chote karibu mwenzi mzima wa Kampeni za ubunge huko Arumeru liliweza kusikiliza na kuripoti kampeni za Nassari vizuri kabisa na wakati mwingi kumsifia. Mwezi huo ulikuwa unatosha kueleza wanayoeleza leo kwani si rahisi kama mtu hana busara au zimtoshi kuweza kuzificha kwa mwenzi mzima. Mfano mzuri ni Livingistone Lusinde alivyodhihirisha utaalam wa matusi na utomvu wa nidhamu kwa muda mfupi alioshiriki katika kampeni. Leo hii Joshua anateleza kidogo Gazeti la mwananchi linamshambulia eti anatakiwa afundwe, na alikuwa hajajipanga kuwa mbunge. Hili gazeti nasema limetumwa na inawezekana ndio mwanzo wa kupoteza dira na heshima iliyojijengea.

  Hivi ni mara ngapi mkuu wa nchi anatoa kauli mbaya na hata za iabu kuliko Nassari na hamsemi anahitaji kufundwa au hajajiandaa kuwa rais?

  "Ni mara ngapi Mawaziri wanatoa kauli ambazo zinatia kichefuchefu na aibu kwa taifa na humuandiki?"

  Iweje leo mtumie karibu ukurasa mzima kumshambulia Mbunge wa Arumeru.

  GAZETI LA MWANANCHI LIMEKWENDA MBALI SANA KWANI MAJUMUISHO YA MHARIRI YANATAKA KUAMINISHA WASOMAJI KWAMBA NASSARI HAJUI AFANYALO, HAJATULIA, HAJAKOMAA NA HANA UWEZO WA KUONGEA MAJUKWAANI.
  Mimi natofautiana nanyi kutokana na chuki binafsi mliyoonyesha kuicheza ngoma msiyoijua sawasawa.
   
 2. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #2
  May 9, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,195
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Hili gazeti nalo limeshakuwa wakala wa CCM tutalikimbia kama Uhuru na Mzalendo walete zao za kuleta tuu
   
 3. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #3
  May 9, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mbona JK kamteua Mbatia kutimiza yale waliyokubaliana na Cameroun kuhusu haki za "Makundi mengine" ndani ya jamii lakini hawasemi kwamba amekosea!
   
 4. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #4
  May 9, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mwananchi ni Gazeti makini sana Tanzania.
   
 5. i

  isotope JF-Expert Member

  #5
  May 9, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 2,404
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Gazeti hili mi nilikuwa naliamini sana, lakn tangu niliposikia mtu wa EL kapelekwa pale nalitazama kwa mashaka sana. Ukiona hivyo ujue kazi inaanza!
   
 6. mkomatembo

  mkomatembo JF-Expert Member

  #6
  May 9, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 1,466
  Likes Received: 502
  Trophy Points: 280
  Mwananchi ni gazeti ambalo halilalii upande wowote, mie ndio gazeti langu nambari wani, mbona anaposemwa rais na magazeti mengine hupigi kelele? kama kitoto kimekosea acha kisemwe, binafsi naona kweli alikuwa hajapevuka kiasi cha kwenda kugombea ubunge, na amekosea na kujishushia heshma yake na chama kwa ujumla.
   
 7. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #7
  May 9, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mwananchi mda si mrefu linakua gazeti la udaku,mtaniambia mi nipo hapa
   
 8. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #8
  May 9, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Tido Mhando bosi wa Mwananchi alikuwa mtumishi mtiifu wa magamba kwa muda mrefu kwa hiyo gamba halijavuka vizuri kwa hiyo usishangae gazeti kupoteza muelekeo. Mbona alichoongea Nassary ni kidogo mno ukilinganishwa na yanayozungumzwa na RADIO IMAAN kila siku. Hii Radio inaongelea kuwabagua watanzania na kuwagawa mchana kweupe lakini si gazeti la Mwananchi au polisisiem waliolaani hiyo radio
   
 9. sheiza

  sheiza JF-Expert Member

  #9
  May 9, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,954
  Likes Received: 1,769
  Trophy Points: 280
  inaonyesha pia huyo mhariri upeo wake ni mdogo ila amepewa nafasi kubwa kuliko uwezo wake.. hivi uyo anaweza kusimama na nasary jukwaani..! pengine hata uandishi pia sio fani yake..kwani mkeo akikosea siku moja utamlaumu na kusema hukustahili kuwa mke..!! hao ndio wale waandishi waliokula pesa ya cm arumeru maana kwa siku ccm ilikuwa ikiwalipa laki 3 na ikawapa vx nne za kufanyia kazi..so bado wana kazi ya kulipa fadhila.. wasiwachafulie akina neville.. magazeti yapo mengi anaweza kwenda uhuru,au habari leo.. lakini pia juzi ccm ilipiga beat magazeti kuhusu kutoandika yale maneno ya nasary..labda pia anawatuliza wenye nchi..
   
 10. l

  long'oi Senior Member

  #10
  May 9, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33  NI HOJA KWA GAZETI LA MWANANCHI ILA KITU AMBACH NA WEWE UMEKOSEA NI:

  1.Nimesoma kolamu ya maoni ya Mhariri: Kilichonishtua ni kuona taharri ya aina hii kwenye gazet la mwananchi likiihusu CDM. Niseme wazi gazeti la mwananchi ni gazeti bora kwa TZ, no one can deny that fact, nilipotafakari niligundua tahariri ile ni ya kujenga CDM

  2. Kwa namna yeyote ile kama Josh Nassari katoa kauli kama hizo zinazoelezwa mimi kwa maoni yangu nasema si sawa. Kiongozi lazima uwe na uwezo wa 'kuhesabu' maneno kufikisha ujumbe ulele.

  3. Nakubaliana na wewe (penye redi). Haiwezekani kijana Josh nasssari alikuwa hajajiandaa, siaamini unahitaji kusomea ubunge. kwanza kigezo ni kujua kusoma na kuandika. so hapo hata mimi natofautiana na tahariri ya mwananchi kwa nionavyo mimi.

  4. Siamini ni mashambulizi; naona kama ni jambo zuri kwa CDM kulichukua. Kwa nini? Zote hizi ni njama za CCM kusikiliz na kuhesabu kila neno linalosemwa na CDM na kujitahidi kuwafungulia kesi, so mpaka 2015 viongozi wengi 'makini' wa chadema watakuwa na kesi na wenginejela.So kwa Chama makini kama Chadema should take that very positive. Na nashauri kuwe na kitengo cha 'consultuncy' pale CDM kuhusu mambo ya siasa na risks ambazo they might be coming na'mitigation' mesures suggestion

  5. Mwananchi limekuwa likiandika mambo mema kuhusu CDM, leo wwamejaribu kuungalia nupande wa pili wa shs, tuwe wavumilivu, ndi changamoto na changamoto hujenga. Kumbuka Mwananchi limewahi kushutumiwa na CCM kukipendelea CDM, so wanavyoturn kwetu siku moja tusome kwa makini na kujirekebesha.

  6.Tunajiandaa kuchukua nchi, tuwe makini na 'maadui'. Tuhesabu maneno kufikish ujumbe uleule.


  VIVA CDM. Aluta Contunua Josh Nassari
   
 11. Godlisten Masawe

  Godlisten Masawe Verified User

  #11
  May 9, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 739
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Muchembe like this
   
 12. M

  Molemo JF-Expert Member

  #12
  May 9, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Gazeti la mwananchi ni kibaraka mkubwa wa mafisadi.Wasipoangalia litakuwa la kufungia vitumbua.
   
 13. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #13
  May 9, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Sina uhakika sana ila nadhani maandishi mekundu yako sahihi. Mpaka leo bado najiuliza kama NASSARI kutamka jukwaani kuwa atamuoa HALIMA MDEE ilikuwa ni sehemu sahihi kutolea manenon kama hayo. Sitaki kum-discourage sana mbunge huyu, ila nadhani kuna kitu anakikosa kichwani ili awe na sifa za kuwa kioo cha jamii. Tukiendelea kumtetea tutakuwa hatumsaidiin otherwise awe wazi kuwa kaulin hiyo ilikuwa ni msisitizo wa moja ya sera za Chama chake za uma-jimbo.
   
 14. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #14
  May 9, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Tuwaachie viongozi wetu wawe ndo watetezi zaidi wa kauli zao chafu wanazozitoa ili waoneshe ukomavu walio nao kisiasa , tukianza kuwakingia kifua eti kwa sababu ni jamaa, ndugu, rafiki yako au kwa sababu anatoka chama unachoshabikia, hakika tunatengeneza viongozi vilaza. Hata hili la NASSARI nalo ni la kumtetea kweli? anashindwa kujitokeza mwenyewe kwenye media akatwambia msimamo wake ni nini kuhusiana na kauli yake? Tusiwalee vijana hawa kama mayai baadaye yatakuwa mayai viza.
   
 15. Mark Francis

  Mark Francis Verified User

  #15
  May 9, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 605
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Jamani inawezekana nao mwananchi wamekurupuka kama alivyokurupuka Nassary kuongea vile... Wote wawili Nassary na Mwananchi wanatakiwa kusamehewa, tusiwahukumu vibaya kwa KOSA moja moja walilolifanya!! Tuendelee kuwaamini kwani wao ni binadamu na wana mapungufu yao
   
 16. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #16
  May 9, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,834
  Likes Received: 453
  Trophy Points: 180
  Nadhan Wameshiba sifa!! Kwa sasa Nalifanisha na Jambo Leo!! Huwa nimelipa Likizo ya kulinunua Kwa week Tatu!!
   
 17. M

  Molemo JF-Expert Member

  #17
  May 9, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Niliposikia Tido Mhando kahamia Mwananchi niliweka akama ya kuuliza katika mabano
   
 18. M

  Molemo JF-Expert Member

  #18
  May 9, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Cha kujiuliza hawakuwahi kukemea matusi ya nguoni aliyotamka Lusinde wala kutenga kurasa tatu za gazeti kutukana CCM kama walivyotenga leo maalum kutukana CDM
   
 19. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #19
  May 9, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Hili gazeti linatumiwa na ZITTO na Usalama wa Taifa (AKA) ZOKA. Nani asiyejua uhusiano wa Mhariri wa gazeti hilo, Denis Msaki na Zitto? Nani asiyejua uhusiano wa MSAKI, ZOKA NA ZITO?

  NANI asiyejua kuwa Zitto anataka kuonekana yeye ndiyo mwanasisa makini na bora ndani ya CDM kuliko wengine.

  GAZETI LA MWANANCHI limetia aibu katika hili. Linakubali kutumiwa na watu wenye maslahi binafsi tena kwenye tahariri? Uandishi gani huu usiyofuata maadili? Vyombo vya dola vimetangaza kufanya uchunguzi juu ya matamshi ya NASARI, KABLA YA UCHUNGUZI HAUJATOKA, gazeti linaandika tahariri? Aibu!

  Brother TIDO hapa unaharibu sifa yako. Je, ikiwa Nasari atafikishwa mahakamani mtaweza vipi kujitetea kuwa TAHARIRI yenu hamkushinikiza polisi kuchukua hatua hiyo? Je, akipelekwa mahakamani na akashinda kesi, mtakuwa tayari kulipa fidia kwa mliyosababisha? Mbona mnataka kutumiwa kama KONDOM kwa maslahi ya kundi fulani - ZOKA NA ZITO kupitia kwa MSAKI?

  Nawasilisha.
   
 20. j

  joely JF-Expert Member

  #20
  May 9, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,030
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  HIYO TAHARIRI NI CHUNGU LAKINI DAWA,

  MAKAMANDA KTK HILO NAOMBA TUCHUKUE ILE POSITIVE KTK NEGATIVE ZA MUHARIRI KISHA TUSONGE, TUKUMBUKE HATUTAKIWI KULALA

  UKWEL NI KWAMBA NASAR NI MBUNGE BORA KWA UFAHAMU KULIKO WABUNGE WENGI WA CCM,
  KM MWANANCHI WAMETUONEA TUJIULIZE KM YALE MANENO YALIKUWA SAHIHI AU SIYO.
  TUKUMBUKE KUWA CHADEMA NI KAMA KIJANA WA MIAKA 25 WAKTI CCM NI KAMA MZEE WA MIAKA 100, SIKU ZAKE NJEMA ZIMESHAPITA HANA ANACHONGOJA MWANANCHI WANAJUA HILO NDIO MAANA ARUMERU CCM WALISEMA HAWATAKI WA2 WA M
  Jukwaa la Siasa
   
Loading...