CHADEMA kuweni makini na Magamba
Wanaweza kuleta utata kwani CHADEMA kinaweza kuchukuliwa kama kimbilio la Magamba na hivyo kuwa sawa na C.C.M. Kwa sababu C.C.M. ni chama, na chama ni watu; watu wenyewe ndio wanakuja CHADEMA!
Atakuja chama dume CDM. Ila lazima tukiri ushindi wa Nassari umeamsha wengi, hususani kwa wapinzani ccm wetu wanaokamia kuwa chama cha upinzani hapo 2015, wengi wameamini ccm hapawafai, amini wimbi la wahamiaji litaongezeka sana ndani ya muda mfupi kabla 2015 haijakaribia
Kuna haja ya CDM kuandaa utaratibu wa kuwapokea hawa watu maana isije ikawa wanatumwa.nakumbuka wakati wa mwanzoni mwa kujitangaza kuhusu UKIMWI wapo wanaodai walihasirika na VVU na kujitangaza kumbe walikuwa wanapewa hela kuwadanganya wafadhili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.