Napendekeza JF iwe hard talk ya Tz kwa viongozi wote bila kujali itikadi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Napendekeza JF iwe hard talk ya Tz kwa viongozi wote bila kujali itikadi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KOMBAJR, May 1, 2012.

 1. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #1
  May 1, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Heshima Kwenu Wanabodi,Natumaini wote mtakuwa Mapumziko huku mkimsikiliza Mwenyekiti wa CCM Taifa na Raisi wa JMT akiongea mustakabali wa wafanyakazi wa Tanzania katika maadhimisho ya wafanyakazi duniani.Wote nafikiri tunaelewa kipindi cha hard talk kinachorushwa na BBC.Napendekeza kwa viongozi wote wanamembership humu JF na ambao awana washawishike kujoin ili wanadau kutoka pande mbali waweze kuwauliza au kupata ufafanuzi wa mambo mbali mbali.Hii nafikiri itakuwa most effective kuliko FB wall!Tumeona hapa viongozi wenye membership wamekuwa wakijitokeza kujibu au kukanusha mambo mbali mbali yanayowahusu!Na JF imekuwa ikitumika kwa reference point ya mambo mbali mbali!

  Haya ni Mawazo tu kama itaonekana inafaa basi Mods u can propose the wayforwad jinsi gani tutafanikisha hili.

  Mytake: Nakaribisha Mawazo wanabodi!
   
 2. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #2
  May 1, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,198
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Kwa jinsi jf ilivyo wataingia mitini kama ilivyokuwa kigwagallah juzi
   
 3. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #3
  May 1, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  But that is the way it suppose to be we are dare to talk open, Hard Talk had ndivyo inavyokuwaga Mkapa anaikumbuka vizuri
   
 4. Eng. Y. Bihagaze

  Eng. Y. Bihagaze Verified User

  #4
  May 1, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 1,481
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Kiongozi ni Mjumbe Na mwakilishi Wa mwananchi. Mwananchi ni Kama dubwashika flan lisiloeleweka sana ambalo maisha, matatizo Na mitazamo yameliathiri sana dubwashika hili mwananchi. Kuliongoza jitu mwananchi inakupasa uwe Na akili, moyo, maarifa Na hekima za kutosha.
  Viongozi wetu wengi ni mapoyoyo. Hakuna kiongozi wa mwananchi Bali viongozi wetu ni maadui no1 wa mwananchi. Mwananchi akiwakemea kidogo wanafura Na kutukana hovyo. Mwone Nape hapa Jamvini, ambaye ni mnadhimu mkuu Na kinywa cha Chama CCM. Na humo yeye ndiye mwenye ahueni ya kinywa cha kuongea Na watu awe mwenezi. But ona post zake Na majibu yake kwenye Sred mbalimbali. Zimejaa matusi, kebehi, mipasho Na maujingaujinga tu. ona Yule mweshimiwa Mb wa Nzega mwenye Jina la miti shamba , kaja hapa katupia sred, kapewa changamoto mbili tatu kafura, katukana kaaga Na kutimka Jamvini. Sasa ukisema wawekwe kiti moto humu jamvini unataka wapandwe Na mipresha..
  Kiongozi wa kweli hakimbii changamoto
   
 5. W

  Whitemariam Member

  #5
  May 1, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Safi xana
   
 6. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #6
  May 1, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Mkuu nakuunga mkono ila kuna tatizo kwanza tulishughulikie,

  Kuna mmomonyoko mkubwa wa maadili, we angalia post ya hamis(MB), kuna watu wamemtukana mweshimiwa kwa

  kujifanya wanaipenda sana CDM, kama hiyo ndio hardtalk sawa ila naona kwanza hawa watu wabadilike.
   
 7. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #7
  May 1, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mkuu hizo ndizo changamato za kuwa kiongozi hata Hardtalk haijawahi kuwa laini lazima uweze kujenga hoja,kujibu maswali ya kuwa mvumilivu wa ukweli utakao ambiwa.
   
 8. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #8
  May 1, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hoja yako Inamashiko kuhusu hilo nafikiri Mods wataweka sheria hoja siyo lazima ibebwe na matusi!La kwanza tukubaliane na hoja hizo dos and donts mods watatusaidia.
   
 9. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #9
  May 1, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  wazo ni zuri sana ila tatizo ni matusi wana JF nakumbuka kuna kipindi Nape alilalamika sana hapa kutokana na kauli za members dhidi yake

  Je hao wengine tunao tofautiana kiitikadi tutawacha kweli salama
   
 10. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #10
  May 1, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mkuu matusi siyo issue kwanza tutengeneze mfumo na utaratibu wa hicho kitu then kutakuwa na by rules ambazo zitakuwa moderated na mods as usual.in principal tunakubaliana kuwa matusi siyo msingi wa kujenga hoja.Ndiyo maana Obama ana FB na kwa uelewa wangu mdogo najua yeye mwenye anausika kujibu maswali tofauti na page ya kikwete ambayo anairatibu salva!

  Lets not fear to start something gud for our transparency just becouse of Matusi! Tools like ban and filter it will be one of the solution lakini cha msingi ni ustarabu
   
 11. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #11
  May 1, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  O.K
  nimekuelewa sana, kitakacho weza kusaidia kuwa post/thread zote lazima ziwe screened na mods kwanza kabla hazija rushwa jukwaani. Ugumu ninao upata tena ni hawa mods maana tuna pata habari hapa kuwa wanajitolea kufanya kazi hii

  sijui ikaeje kwa hili
   
 12. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #12
  May 1, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Lets adress one issue at time...Thanks Double Chriss
   
 13. Mike Mushi

  Mike Mushi JF Founder

  #13
  May 10, 2012
  Joined: Feb 10, 2006
  Messages: 253
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Its a good idea.. Ni kitu ambacho naamini kinaweza kikafanikiwa.
   
Loading...