Hii nchi ni ya baba yao? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii nchi ni ya baba yao?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ahmada umelewa, May 9, 2012.

 1. A

  Ahmada umelewa Member

  #1
  May 9, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa kweli ndugu zangu mie nimechoka kusikia jinsi watu wanavyoila hii nchi, sielewi wana maana gani, HIVI CCM hii nchi mliachiwa na Bibi yenu? mbona hamna hata aibu, ufujaji mwingine mimi nikisikia mpaka masikio yanawasha, Maana yake ni nini sasa?
   
 2. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #2
  May 9, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Well said mkuu, hapa tulipo na huku tuendako siko kabisa, ccm wameifanya hii nchi ni kama mali yao, na sisi wananchi tumebaki kuwaangalia tu... Inatubidi tuingie mtaani tuitoe hii serikali madarakani, kwani hii nchi ni yetu sote na si ya ccm. Lkn sisi wananchi tumekuwa kama mazuzu, madudu yote haya yanayotokea tunaishia kulalamikia kwenye keyboards....
   
Loading...