Mwenyekiti BAVICHA Taifa ndani ya Same

simon james

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
283
140
Wapendwa wana JF Habari za uhakika ni kwamba Kilio Cha Wananchi Wilaya ya Same kwa uongozi wa CHADEMA Taifa kimesikika na Mwenyekiti wa BAVICHA TAIFA Anatarajiwa kuanza Ziara yake ya Siku 4 Same. VUA Gamba Vaa Gwanda Kuanzia tar 10/05/2012. Mkutano wa ufunguzi wa Ziara hiyo utafunguliwa Standi kuu ya mabasi Same Alhamis tar 10 saa 7 mchana na Ratiba za ufunguz Rasmi wa ofisi za CHADEMA kata zote utaendelea kwa siku zote hizo. Karibuni wote Kadi na vifaa vingine vitakuwepo. Waandishi wahabari wote mnakaribishwa kurusha matukio ili Wa Tz waone jinsi wana nchi wa Same walivyo ichoka CCM na Wabunge wake. Mwisho Shukrani ziwafikie viongozi Wa CHADEMA TAIFA WOTE
 
kumbukeni kufanya kazi, mikutano isiyoisha itawaletea njaa na umasikini. Kazi kwanza.
 
Hongera sana for such faster reaction, Tunawatakia kila la heri katika juhudi hizi za ukombozi wa pili wa taifa letu. Wakati same mkiwa mko yayari kupoke M4C hapa wilaya ya Lushoto tunahitaji operation hii kwani watu wako tayari wanasubiri support ya uongozi wajuu CDM
 
Asante sana kwa taarifa. Ila mkuu usisaha kutoa updates kesho ukiambatanisha na picha ikiwezekana!!

"MUNGU ILINDE CHADEMA"
 
Nimeona kwenye FB page ya Heche.
Tafadhali msiishie hapo same mjini. pandeni na kule milimani kwenye vijiji vya bombo, mwembe, mtii, lugulu, mamba miyamba....mna kwingineko maana huko ndo kuna watu wanaohitaji elimu ya ukombozi.
Kilango na matayo wamewasqueeze sana akili zao hao wapare.
 
Wakati tukiwa tunafanya mikutano tukumbuke na kufanya kazi za kuwatumikia wananchi ambao wamewapa dhamana.
 
kumbukeni kufanya kazi, mikutano isiyoisha itawaletea njaa na umasikini. Kazi kwanza.
Kwani mikutano hiyo inafanyika nchi nzima kwa wakati mmoja kiasi cha kusema kwamba shughuli za uzalishaji zitasimama? Kumbuka kwamba inafanyika sehemu moja na kikundi kidogo cha watu tena kwa muda maalum siyo kwa masaa 24. Hakuna kulala mpaka kieleweke.
 
kumbukeni kufanya kazi, mikutano isiyoisha itawaletea njaa na umasikini. Kazi kwanza.

Kazi ndio hiyi, siasa na kazi. Ili tuendelee tunhitaji vitu vinne, watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora. Sasa hivi kuna ufisadi na bora uongozi. Anakwenda kurekebisha hayo. Ukitaka jifungie ndani ulie, lakini treni ya M4C imekolea mwendo na imekata breki, hakuna kusimama.
 
Wapendwa wana JF Habari za uhakika ni kwamba Kilio Cha Wananchi Wilaya ya Same kwa uongozi wa CHADEMA Taifa kimesikika na Mwenyekiti wa BAVICHA TAIFA Anatarajiwa kuanza Ziara yake ya Siku 4 Same. VUA Gamba Vaa Gwanda Kuanzia tar 10/05/2012. Mkutano wa ufunguzi wa Ziara hiyo utafunguliwa Standi kuu ya mabasi Same Alhamis tar 10 saa 7 mchana na Ratiba za ufunguz Rasmi wa ofisi za CHADEMA kata zote utaendelea kwa siku zote hizo. Karibuni wote Kadi na vifaa vingine vitakuwepo. Waandishi wahabari wote mnakaribishwa kurusha matukio ili Wa Tz waone jinsi wana nchi wa Same walivyo ichoka CCM na Wabunge wake. Mwisho Shukrani ziwafikie viongozi Wa CHADEMA TAIFA WOTE
Well done Simon. All the very best wishes ktk mikutano na shughuli nyingine za ukombozi. Go CDM!
 
Wakati tukiwa tunafanya mikutano tukumbuke na kufanya kazi za kuwatumikia wananchi ambao wamewapa dhamana.

We gamba umefanya kazi gani wewe? unataka wananchi wasielimishwe ili magamba yaendelee kuwadanganya watawapelekea maji, mbolea feki, umeme wa uongo n.k Acha wajue madhambi yenu.
 
Wapendwa wana JF Habari za uhakika ni kwamba Kilio Cha Wananchi Wilaya ya Same kwa uongozi wa CHADEMA Taifa kimesikika na Mwenyekiti wa BAVICHA TAIFA Anatarajiwa kuanza Ziara yake ya Siku 4 Same. VUA Gamba Vaa Gwanda Kuanzia tar 10/05/2012. Mkutano wa ufunguzi wa Ziara hiyo utafunguliwa Standi kuu ya mabasi Same Alhamis tar 10 saa 7 mchana na Ratiba za ufunguz Rasmi wa ofisi za CHADEMA kata zote utaendelea kwa siku zote hizo. Karibuni wote Kadi na vifaa vingine vitakuwepo. Waandishi wahabari wote mnakaribishwa kurusha matukio ili Wa Tz waone jinsi wana nchi wa Same walivyo ichoka CCM na Wabunge wake. Mwisho Shukrani ziwafikie viongozi Wa CHADEMA TAIFA WOTE

Shukrani mkuu ni matarajio yangu Anna Kilango harudi bungeni 2015 pelekeni elimu ya uraia kwa wananchi.
 
Wapendwa wana JF Habari za uhakika ni kwamba Kilio Cha Wananchi Wilaya ya Same kwa uongozi wa CHADEMA Taifa kimesikika na Mwenyekiti wa BAVICHA TAIFA Anatarajiwa kuanza Ziara yake ya Siku 4 Same. VUA Gamba Vaa Gwanda Kuanzia tar 10/05/2012. Mkutano wa ufunguzi wa Ziara hiyo utafunguliwa Standi kuu ya mabasi Same Alhamis tar 10 saa 7 mchana na Ratiba za ufunguz Rasmi wa ofisi za CHADEMA kata zote utaendelea kwa siku zote hizo. Karibuni wote Kadi na vifaa vingine vitakuwepo. Waandishi wahabari wote mnakaribishwa kurusha matukio ili Wa Tz waone jinsi wana nchi wa Same walivyo ichoka CCM na Wabunge wake. Mwisho Shukrani ziwafikie viongozi Wa CHADEMA TAIFA WOTE

Mkuu Simon James,
Heshima kwako kamanda, kweli umepigania kuhakikisha vita ya ukombozi inafika Same, na juhudi zako tumeziona.
Hongera sana, endeleeni kuwahamasisha watu kujitokeza kwa wingi kwenye mikutano.

Mungu Ibariki Same
Mungu Ibariki CHADEMA
Mungu Ibariki Tanzania
 
Back
Top Bottom