Majina haya ya wakuu wa wilaya yana somo gani kuhusiana na kujuana na ufisadi

mpayukaji

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
940
349
Khanifa M. Karamagi
Muhingo Rweyemamu
John V. K. Mongella
Manju Msambya
Paul Mzindakaya
Gerald J. Guninita
 
[h=3]Muhingo Rweyemamu:Hatimaye kujipendekeza ukanjanja na ghilba vimelipa[/h]

49539_735689484_8827_n.jpg

James Milly alisema kuwa watu wengi kwenye Chama Cha Mapinduzi wanaishi kwa kujikomba na kwa matumaini hasa vijana. Hakuna mtu ambaye amehangaika na kujivua nguo kama Muhingo Rweyemamu ambaye alikuwa tayari kuandika kila sifa na uongo ilmradi amfurahishe Jakaya Kikwete. Kama ilivyokuwa kwa wajina wake Salva Rweyemamu, at last Kikwete amemkumbuka mtwana wake mtiifu Muhingo Rweyemamu mwandishi wa habari aliyejigeuza kanjanja ili atupiwe makombo. Sasa Mihingo si mwandishi wa habari tena bali mheshimiwa mkuu wa wilaya ya Handeni. Jamani uheshimiwa unaopatikana kwa kujidhalilisha na dharau si uheshimiwa kitu. Hata hivyo Handeni imekula kwao. Kibaraka kama huyu atawafaa nini?
 
bado napata tabu sana kuelewa role ya DC kwenye mfumo wetu kama ni value for money
 
Muhingo Rweyemamu:Hatimaye kujipendekeza ukanjanja na ghilba vimelipa

James Milly alisema kuwa watu wengi kwenye Chama Cha Mapinduzi wanaishi kwa kujikomba na kwa matumaini hasa vijana. Hakuna mtu ambaye amehangaika na kujivua nguo kama Muhingo Rweyemamu ambaye alikuwa tayari kuandika kila sifa na uongo ilmradi amfurahishe Jakaya Kikwete. Kama ilivyokuwa kwa wajina wake Salva Rweyemamu, at last Kikwete amemkumbuka mtwana wake mtiifu Muhingo Rweyemamu mwandishi wa habari aliyejigeuza kanjanja ili atupiwe makombo. Sasa Mihingo si mwandishi wa habari tena bali mheshimiwa mkuu wa wilaya ya Handeni. Jamani uheshimiwa unaopatikana kwa kujidhalilisha na dharau si uheshimiwa kitu. Hata hivyo Handeni imekula kwao. Kibaraka kama huyu atawafaa nini?

Mpayukaji mbona umemu-attack sana huyu mtu!
 
wakurugenzi wa halmashauri, DC na RC ni yupi muhimu ktk tawala za mikoa na sirikali za mitaa. duplication of duties naona kama imetawala hapa.

nahisi DC ni cheo cha kulipia fadhila tu
 
huyu jamaa ni mtumwa wa jk,baada ya husen bashe kuwa ceo wa habari cop...muhingo hakukubaliana nae kwa kuwa kama mhariri mkuu alitaka uozo wa c.c.m usiwekwe wazi,ndipo aliacha kazi na riz1 alimchukua na kumpeleka kuwa mpambe wa manji.
 
Back
Top Bottom