Nahiataj ushauri jaman

NANKY

Member
Sep 18, 2011
65
15
mm nkijana ambaye nmesimamishwa masomo UDSM kwa sababu za kisiasa kwamba m n mwanachama wa CDM BUT nitaka ntengeneze movie ya kimapinduz ya kisiasa lakin sijui nianzie wap kwan nshaandika tips kibao je nitafanikiweje kwenye hili while sina pesa yakuendesha hii project
 
Kabla ya kutengeneza hiyo projet yako kwanza shughulikia haki yako ya kusoma, rudi chuo maliza shule na baada ya hapo utaweza kuandaa vizuri scrip zako na kutengeneza movie nzuri kwa maslahi yataifa. Kwa hivyo kwa sasa naona itakuwa ni jazba tu na haitakuwa na mshiko. Unahitaji muda zaidi wa kuweza vizuri hilo wazo lako na endapo utafanikiwa kurudi chuo au kwenda kusoma mahali pengine hiyo itaongeza nafasi ya kuongeza ubora na matukia ya hiyo movie yako kwa kuainisha kuwa kufukuzwa UDSM siyo mwisho wa maisha au kusoma. Vyuo viko vingine.
 
Back
Top Bottom