Bernard Membe: TZ Bado Inaiunga Mkono West Sahara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bernard Membe: TZ Bado Inaiunga Mkono West Sahara

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by NasDaz, May 9, 2012.

 1. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #1
  May 9, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  Sina hakika kama ilikuwa ni Press Conference au ni mahojiano tu na Clouds Radio, Mheshimiwa Membe amefunguka wazi kwamba hadi sasa msimamo wa TZ ni kuitaka Morocco kuiacha Sahara magharibi ijitawale yenyewe ni kwamba bado TZ wanashinikiza hilo!!

  Concern ya maelezo hayo, bila shaka ni yale madai kwamba Membe amechukua mshiko wa Morocco ili kuitambua au kuiacha West Sahara! Je, Hassy Kitine amedanganya au Membe ndo anadanganya?! Kitinie hakumtaja Membe kwa jina lakini ni wazi kabisa kwamba alimlenga Membe!
   
 2. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #2
  May 9, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Source Clauds Habari

  Membe nimemsikia akitoa maimamo wa Tanzania juu ya taifa la Sahara magharibi ambayo inatawaliwa na Morocco ambao wameomba kujitenga na kuwa nchi huru kuwa wanapendekeza wana Sahara Magharibi wapige kira ya maoni kuamua kama wanataka kutawaliwa au wajitawale wenyewe.

  Na amezidi kusema Tz ni nchi huru inapenda kila nchi na wananchi wake waamue jinsi gani ya kuishi na kuamua juu ya nchi zao

  My take mbona Zanzibar wanagoma kuwatuhusu kupiga kura ya maoni juu ya nchi yao?
   
 3. M

  Mtanganyika mweusi Member

  #3
  May 9, 2012
  Joined: Apr 26, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unadhani atakula wapi kama safari zote za nje JK kakaba ngoja nae aje aitwe kuwa msukuhishi ndo asafiri
   
 4. S

  Sheba JF-Expert Member

  #4
  May 9, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 210
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Naamini hili wala Waziri Membe hakuhitaji kulizungumzia maana liko wazi kabisa. Msimamo wa Tanzania ni suala la kisera na wenye jukumu la kuzungumzia msimamo wa nchi kimataifa ni Rais na Waziri wa Mambo ya Nje tu. Sisi wengine tulivyosikia watu wanazungumzia pembeni msimamo wa nchi kuhusu mustakhabali wa Saharawi tukajua.........!
   
 5. F

  FJM JF-Expert Member

  #5
  May 9, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Niliddhani Rais akienda nje ya nchi kikazi huambatana na waziri wa mambo ya nchi za nje?
   
 6. S

  Sheba JF-Expert Member

  #6
  May 9, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 210
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sio lazima. Inategemea na aina ya safari kama ni state visit, working visit au official visit. Anaweza kusafiri na Waziri wa Sekta husika tu hususan akienda kwenye working visit. Kwenye ujumbe wake daima kunakuwa na Mkurugenzi wa Idara husika kutoka Wizara ya Mambo ya Nje
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  May 9, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,268
  Likes Received: 19,412
  Trophy Points: 280
  ya kwetu yametushinda kazi kujifanya unatoa toa misimamo
   
 8. h

  harbab Member

  #8
  May 9, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tatizo si wa kweli kama kweli tz inapenda kila nchi na wananchi wake waamue jinsi gani ya kuishi na kuamua juu ya nchi zao wangeiruhusu zanzibar kupiga kura ya maoni kama wanataka kuwa huru au laa!

  jenga kwako kwanzaa jirani baadae.
   
 9. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #9
  May 9, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Kwa nini imemlazimu kusema kuwa Tanzania inaunga mkono Western Sahara?
  Kulikuwa na ulazima wowote?
   
 10. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #10
  May 9, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  hana akili,mbona ha support nchi tanganyika au timbuktu?wakristo wakijitenga wanakubali,waislam kujitenga hawakubali
   
 11. M

  MgonjwaUkimwi JF-Expert Member

  #11
  May 9, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 1,288
  Likes Received: 521
  Trophy Points: 280
  Wabongo watu wa ajabu sana!! Unalinganisha vipi Zanzibar na Tanganyika zilizofanya muungano ZIKIWA NCHI HURU, na western Sahara iliyokaliwa na waspania na sasa kukaliwa na Moroko kimabavu? Ni upunguani kuchanganya issue za muungano wa nchi huru mbili na harakati za ukombozi.

  Sasa juzi kamati ya mambo ya nje ya bunge ilikwenda kuivuruga dunia kwa kupindisha msimamo wa Tz juu ya western Sahara, leo Membe amekuja kusawazisha na wachangiaji wenye chuki binafsi wanajaribu kutufanya watoto wadogo. Hivi ni lazima tupinge kila kitu ndipo tuitwe wapinzani?
   
 12. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #12
  May 9, 2012
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0

  A kick in the teeth forbthose who thought they would peddle lies and assissinate other people's impechable reputations. Membe has been vindicated and it is now those who thoguth they would seize the opportunity to preach hatred and malign others have been striped naked. Those who purported to be representatives of the Government and issue contradictory statements should quickly eat a humble pie and apologize to Tanzanians.
   
 13. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #13
  May 9, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  wengine tumelisikia hili kwa sikio tofauti. Kama wanataka sauti za wananchi zisikilizwe, basi wapitishe referendum kuhusu muungano ili ijulikane. Sio ishu ya urahisi wa kusemea mataifa ya wengine na ngumu kumeza linapokuja suala kama hilo maskani kwako
   
 14. M

  MgonjwaUkimwi JF-Expert Member

  #14
  May 9, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 1,288
  Likes Received: 521
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo kwa masikio yako juhudi za kudai uhuru ni sawa na suala la muungano wa nchi huru?

  Kwa hiyo kwa masikio yako ni kazi ya Membe kuongelea suala la muungano kama moja ya jukumu lake?

  Kama ndivyo hivi masikio ya watanzania yalivyo basi ujio wa masiah ni muhimu sana.
   
 15. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #15
  May 9, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,264
  Trophy Points: 280
  Nilishamdharau Membe tangu alipotoa Tamko eti Serikali ya Tanzania hailitambui Baraza la mpito la Libya wakati tayari linatambuliwa na Mataifa yote Wafadhili pamoja na UN. Tangu siku hiyo nilimuona huyu jamaa ni kiazi tu.
   
 16. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #16
  May 9, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Tanzanian support for Morocco's autonomy proposal

  Moroccan PM presents "real vision" of the Sahara dispute to Tanzanian Parliamentary delegation

  Moroccan Head of Government Abdelilah Benkirane said, Wednesday in Rabat, he presented "a real vision of the Moroccan Sahara issue" and the artificial conflict over this issue to a Tanzanian parliamentary delegation, on visit to the Kingdom.

  "We presented to this delegation a much broader vision about the issue of the kingdom's territorial integrity and they understood that the real problem that hinders the settlement of the Sahara question lies in the intransigence of the Algerian regime, which refuses to provide any consistent assistance to this issue," Benkirane told news agency MAP following a meeting with a delegation of Tanzanian MPs.

  The delegation is led by the Chairman of the Committee on Foreign Affairs and Defence in Parliament of Tanzania, Edward Ngayai Lowassa. "That problem would have been quickly solved if the Algerian regime has not resorted to intransigence," said Benkirane.

  According to the Premier, the Tanzanian delegation expressed support for the territorial integrity of the kingdom and the Moroccan autonomy plan to resolve the dispute over the Moroccan Sahara.

  03 May 2012

  Head of Tanzanian parliamentary delegation voices support for Morocco's autonomy plan

  President of the Foreign Affairs and Defense Committee at the Tanzanian Parliament Edward Ngayai Lowassa voiced, on Wednesday in Rabat, support for the Moroccan autonomy plan as a solution to the Sahara conflict.

  Morocco's broad autonomy plan for its southern provinces, the Sahara, will help put an end to this regional dispute, Lowassa told MAP following talks with Chairman of the Royal Advisory Council for Saharan Affairs (CORCAS) Khalli Henna Ould Errachid.

  The Tanzanian official recalled his country's position in favour of substantial autonomy, which it has granted to the isle of Zanzibar.

  Lowassa, who leading a delegation of Tanzanian MPs on an official visit to Morocco, held earlier talks with several Moroccan officials including Head of the Government Abdelilah Benkirane.

  02 May 2012

  Autonomy initiative for the Sahara enjoys Tanzania's support: Moroccan official

  Moroccan autonomy initiative for the southern provinces enjoys support of Tanzania that calls other African countries for backing the plan, said Youssef Amrani, Minister Delegate at the Foreign Minister.

  Speaking at a press conference after a meeting with the chairman of the Committee on Foreign Affairs and Defence in the National Assembly of Tanzania, Edward Lowassa Ngoyai, the Minister said he noted, during the meeting, the support that Tanzania provides to the Moroccan proposal which consists in granting broad autonomy to the southern provinces. The Moroccan proposal will achieve a "consensual solution" to the Sahara issue, he added.

  Describing the talks as "fruitful," Amrani stressed that the meeting was an opportunity to examine ways to promote relations between Morocco and Tanzania in particular in the economic, social areas, and reaffirm the important role that the two countries could play on the African scene. In this context, Amrani said the two sides agreed to set up new mechanisms to strengthen bilateral relations.

  For his part, Ngoyai Lowassa said that much of the meeting was devoted to the Sahara issue, focusing on the significant efforts deployed by Morocco to resolve the issue and strengthen South-South cooperation. Ngoyai Lowassa also said the meeting was an opportunity to examine other issues, such as security, terrorism and illegal immigration especially in the Sahel and the Horn of Africa.

  02 May 2012

  President of Tanzanian Parliamentary Committee voices support for Morocco's autonomy proposal

  President of Tanzania's Parliamentary Committee on Foreign Relations and Defense Edward Ngayai Lowassa commended, on Monday in Rabat, Morocco's autonomy proposal for the Sahara, voicing his country's hope to see the parties reach an agreement regarding this issue.

  "Tanzania hopes to see a settlement of the Sahara issue and welcomes Morocco's autonomy proposal," Ngayai Lowassa was quoted by a statement of the Lower House as saying during a meeting with Deputy Speaker Mohamed Yatim.

  On this occasion, the Tanzanian MP highlighted Morocco's role in Africa, expressing his country's willingness to foster ties with Morocco

  30 April 2012

  Source: Actualit├ęs du Maroc
   
 17. p

  petrol JF-Expert Member

  #17
  May 9, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 322
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  Siku chache zilizopita nilimtaka membe atufafanulie kama sera na msimamo wa Tz ulikuwa umebadilika kufuatia ziara ya kamati ya bwana lowassa. Mwanaume ametoka hadharani na ni kweli kamati haikuwa inabaraka za serikali. hii ni aibu kwa bunge. na dito membe. lakini usiwe unasubiri muda mrefu kutoa ufafanuzi maana kufanya hivyo kunatoa mwanya kwa wapotoshaji kuendelea kuipaka matope serikali.
   
 18. POLITIBURO

  POLITIBURO Member

  #18
  May 9, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 41
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mi najua hii ni kwa sabau ya bifu la Kitine na Membe ni la siku nyingi tangu enzi zile za matibabu hewa ya mai waifu wa Kitine sasa huyu Dr ilimuuma sana kwani ni Membe ndo alimpigilia pini hadi akang'oka! Lakini mi porojo hizi sizipendi maana Wazenj madai yao hayana tofauti na Wasaharaw. Sasa kwa nini wasiwe wao wawe wa Sahara Magharibi?
   
 19. A

  Ahakiz Member

  #19
  May 10, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na wao waiache zanzibar ijitawale ama kweli nyani haoni kundule
   
 20. fige

  fige JF-Expert Member

  #20
  May 10, 2012
  Joined: Jul 4, 2010
  Messages: 376
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Viongozi wetu wanatutia aibu wamehamisha ubabe wao wa ndani mpaka nje ya Nchi.

  Kila mtu anajiropokea tu ,utadhani hawajui hata msimamo wa Nchi yao.
   
Loading...