Jk: Serikali italinda ardhi ya wakulima wadogo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jk: Serikali italinda ardhi ya wakulima wadogo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kitenuly, May 10, 2012.

 1. k

  kitenuly JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 336
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Je yanayotamkwa huko Ethiopia ni kweli? Wachimbaji wadogowadogo wa dhahabu yaliwakuta hayohayo. Hongera serikali ya CCM kwa kujali masilahi ya wananchi wake . Ari mpya,Nguvu Mpya, Kasi Mpya, Maisha bora kwa Watanzania wote.

  [​IMG]


  Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wenzie wa Afrika wakiwa katika mdahalo wa taasis ya kilimo ya GroAfrica kwenye jengo la Makao Makuu Mapya ya Umoja wa Afrika (AU) jijini Addis Ababa, Ethiopia (9/5/2012), Mdahalo huo umefanyika kingoni mwa Mkutano wa Uchumi wa Kimataifa kwa Afrika.

   
 2. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,198
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Siku zote hiyo serikali ilikuwa wapi? Atuondelee magumashi hapa labda serikali ya 2015 baada ya kunyofoa hawa mafisadi
   
Loading...