Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwako Mweneyekiti (taifa) wa CCM na ambae kikatiba ni Rais wangu mpendwa japo sku hizi hupendwi saana,naona kila siku na kil mwana CCM amekuwa akijaribu sana kuirudisha Heshima ya Chama cha...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Najiuliza huyu JK uteuzi wake unazingatia vigezo gani sipati jibu.Kwani ktk kupitia orodha ya wateuliwa wapya ukuu wa wilaya wapo walokuwa wagombea ubunge majimboni walikozaliwa lakini wananchi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WanaJF CDM kimejizolea umaarufu na wafuasi wengi hasa vijana hapa nchini kwa kujitahidi kupambana na ufisadi. lakini nimefikiria msemo huu wa"kula kwa CCM kura kwa CDM" uliokuwa ukitumiwa na...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Mh. msigwa akiwa katika mdahalo leo. akizungumza akisikiliza swali, nakisha kujibu kwa ufasaa MBUNGE wa jimbo la Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa (Chadema)...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Katika mjadala uliokuwa ukiendeshwa hivi punde na BBC Kiswahili chini ya Suluma Khasim,Mbunge Deo Filikunjombe amefunguka na kukubali kuwa nchi za Afrika Mashariki kuna ombwe la uongozi...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Nape Nnauye Kwakuwa ipo nchi ya Sudani na Sudani Kusini, Je wewe Mtanzania uko nchi gani, Tanzania au Tanzania Kaskazini?!! Kataa Ubaguzi, Kataa Chadema!!
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa sasa wimbo ni awamu ya Maige na Ngeleja kuhusu ubadhirifu wa mali ya watanzania. Hivi walioondoshwa last time hakuna aliyehujumu zaidiya Yona na Mramba? Akina Masha je???? hili ni wazo langu...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Leo,majira ya saa tano asubuhi,nilikuwa viunga vya Wizara ya Ardhi.Nilikuwa kwenye harakati zangu za kikazi kushughulikia wateja wangu.Mara,akajitokeza Dr.Willbrod Peter Slaa,Katibu Mkuu wa...
28 Reactions
103 Replies
11K Views
CCM kupitia kwa Umoja wa Vijana wa CCM Babamoyo (UVCCM) Ilitoa tamko ambalo pamoja na Mambe mengi lilikuwa na Kauli mbili nzito zifuatazo 1. Kamwe Rias 2015 Hatotoka Kaskazini. 2. Anayemjua Rais...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Waandishi Wetu Toleo la 238 9 May 2012 Wapiga kura wataka wabunge wao wahamie upinzani Mafisadi nao sasa wataka kukimbilia huko kujiokoa CHADEMA nao wajipanga kudhibiti uchafu WAKATI...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimehakikisha kuwaburuza mahakamani mawaziri ambao wamekumbwa na kashfa za ufisadi iliyotajwa kwenye Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
MAELEZO YA KATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA (OWM-TAMISEMI) Katika kipindi cha miaka 50 iliyopita, baadhi ya mafanikio yaliyopatikana ni pamoja na:-...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hivi wale wabunge 10 wanateuliwa na rais wameshateuliwa wote?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wilson Elisha Nkhambaku ameteuliwa na JK kuwa mkuu wa wilaya ya kishapu na jina lake ni la 62 kwenye orodha ya wakuu wa wilaya.Kijana huyu mwenye umri wa miaka 37 alishinda kura za maoni kupitia...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Wadau naona hawa jamaa wa ccm wanajaribu kutubadilishia movie kijanja, tunahitaji na ni lazima tuibane serikali iwakamate mawaziri, makatibu wakuu, wakurugenzi na wote waliohusika kutuibia...
0 Reactions
2 Replies
930 Views
Leo wabunge wa mkoa wa DSM pamoja na mkurugenze mkuu wa NHC watafanya mkutano na wakazi wa Ubungo NHC. Wabunge hoa watataka kujua ujenzi unao endelea hapa ubungo kama umefata taratibu zote za...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Wataalam wa katiba naomba mnijuze 1. Zipi hasa kazi za mkuu wa wilaya? 2. Anatakiwa awe na sifa zipi hasa ku qualify kwa hiyo kazi? 3. Je anakuwa na WORKPLAN ya shuguli zake? Yaani kwa mfano...
1 Reactions
19 Replies
9K Views
Ndugu wana JF naomba mtoe muda wenu kido msikilize huyu Mbunge wa CCM akijibu hoja kwa matusi. Hata kama Chadema nao walitukana, hii sio suluhisho kabisa, ni aibu. i am very disapointed with...
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Kutokana na siasa za msimu za Tanzania; wachambuzi wa mambo sasa wanajiuliza sasa chadema itatoka na singo gani ama agenda ipi baada ya agenda zake kuchuja. Wiki moja iliyopita CDM ilivuma na...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CDM kimekidhoofisha Chama Cha Mapinduzi-CCM wilayani Magu kwa kupukutisha wanachama wake 55 ambao wamejitoa katika chama hicho na kujiunga na CDM.Tukio hilo...
7 Reactions
19 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…