Heshima ya CCM haitarudi kwa kukosoa Kauli ya Nassari bali kuwafunga Mawaziri na watu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Heshima ya CCM haitarudi kwa kukosoa Kauli ya Nassari bali kuwafunga Mawaziri na watu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mgeni wenu, May 11, 2012.

 1. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Kwako Mweneyekiti (taifa) wa CCM na ambae kikatiba ni Rais wangu mpendwa japo sku hizi hupendwi saana,naona kila siku na kil mwana CCM amekuwa akijaribu sana kuirudisha Heshima ya Chama cha Mapinduzi kwa Nguvu ya kukomkosoa Nassari Joshua,
  Kama wana CCM hawa wangetumia nguvu hizi na maneno haya makali kutetea Rasilimali za nchi na kutia mkazo katika kuwachukulia hatua kali woote wanaofuja na kuiba mali za Umma hakika sifa ya chama hiki chakavu angalau ingerudi,lakini blah blah wanazopiga majukwaani hjazina mantiki katika kulinusuru Taifa,pia kama file la Ekelege na Mawaziri wako lingeenda kwa Dpp kwa mbwembwe kama lilivyoenda la Nassari tungejua kweli wana CCM sasa mmeamua kulitetea taifa na sasa mnayo dira
  Mh Mwenyekiti najua hata kama sio wewe mwanao mpenzi Rizwani hupita humu na kwa kuwa rafiki yangu Mpendwa Mwigulu na mshkaji wetu Nape kaisoma hii mtakaa chini na kutafakari.
  Hii ni kwa afya ya nchi na rejuvination ya chama chakavu
  Kidumu chama cha mapinduzi..
  Mgosi mgeni wenu wa JF(mpiga kura toka Tanga)
   
 2. m

  muchetz JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2012
  Joined: Aug 16, 2010
  Messages: 495
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 45
  Mgosi, Washaambiwa meeengi tu pamoja na hayo, nadhana hiyo habari ya kulitetea taifa sio agenda yao, wala heshima ya chama (CCM) haiwanyima usingizi hao. Litaingia huku na kutokea kule.
  Anyway endelea kuwa na matumaini.
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,303
  Likes Received: 22,105
  Trophy Points: 280
  CCM ni mfa maji, muaache atapetape, akipata fahamu ndio atagundua kuwa ni siku yake nyani miti yote kuteleza.
   
 4. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Kukaa kimya ni vibaya zaidi nimeona ni bora niongee
   
 5. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #5
  May 11, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  thanks

  Maana sasa wamehamisha kabisa national interest kwa kijana wa kitaa

  what a shame
   
 6. eumb

  eumb Senior Member

  #6
  May 11, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 149
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Excellent Mgosi, hii imekaa vizuri, niliangalia TBC news jana usiku ikaonyesha kwa muda wa dk karibia 3 wale WaCCM kule Dodoma waliondamana kisa hotuba ya Nassari. Kama kweli wanauchungu na nchi hii kwanini wasingeandamana kumshinikiza Raisi amwajibishe Dr Hosea ambaye alilidanganya bunge na taifa kuhusu Richmond kuwa ilikuwa kampuni safi kabisa?? Kama kweli wanuchungu na taifa hili kwanini wasiandamane kuishinikiza serikali iwapeleke mahakamani wote waliohusika kuchota hela kupitia Kagoda, Meremeta na mengi ambayo yapo wazi kabisa?? Mwenyekiti wa CDM ameuwawa kule Arusha na makada wengine wengi, hali hiyo inshika kasi, hivi hali hiyo hawawezi kuona inaweza kuhatarisha hali ya amani nchini???
   
Loading...