Wateuliwa wa jk | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wateuliwa wa jk

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by adobe, May 11, 2012.

 1. a

  adobe JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 1,666
  Likes Received: 290
  Trophy Points: 180
  Najiuliza huyu JK uteuzi wake unazingatia vigezo gani sipati jibu.Kwani ktk kupitia orodha ya wateuliwa wapya ukuu wa wilaya wapo walokuwa wagombea ubunge majimboni walikozaliwa lakini wananchi ambao ndiyo wanaishi nao waliwakataa.Wapo wengine ambao jamii inayowazunguka haiwataki kutokana na tabia zao chafu ktk jamii.

  CRISPIN MEELA

  Huyu alianguka ubunge kule Jumbo la vunjo kutokana na katabia kake ka kuropoka na maneno machafu,hatimae mwajiri wake alimfukuza kazi aidha kwa sababu kama hizo au labda kwa sababu tu ya ki----------------ni kwa kuwa watu wa aina hiyo hawatakiwi katka ajira huko ktk taasisi.

  ROSE STAKI

  Huyu alikuwa mfanyakazi wa VETA akiwa mke wa marehemu familia ya Confort wa Iringa.Akiwa ktk ndoa alikuwa na mahusiano na bosi wake (Mume wa mtu) ambao baadae Rose pamoja ha huyo bosi wake walifukuzwa kazi VETA.

  Rose alijiungwa na Lediana Mung'ong'o katika NGO wa watoto yatima,baadae aliingia ndoa ya kijana mmoja mtunza bustani kule Tumaini Iringa na kusababisha ndoa kuvunjika.

  JE, HAWA NDO VIONGOZI TUNAOWATAKA?
   
Loading...