chadema hili turekebishe!!

Axe

Senior Member
Apr 2, 2012
145
126
Mimi ni mwanachama wa cdm na mpenda mageuzi kinachonikera kwenye hichi Chama changu ninachokipenda sana!! ni hizi nyimbo za kidini zinazopigwa kwenye mikutano ya cdm napa Arusha sina uhakika na sehemu nyingine ukifika kwenye mikutano hii utazani mzee wa upako au kakobe anahutubia nataka niwakumbushe viongozi wangu na mbunge wangu mheshimiwa lema bado wewe ni mbunge wangu najua wewe ni mlokole lakini kumbuka wanachama wote cdm si wakristo na mikutano ya kisiasa sio ya kidini na wala Chama hakina dini na kwamtu ambaye si mkisto sehemu Kama ile anakua uncomfortable to be honest ingekua wewe ni mkristo na kwenye mkutano wa Chama chako ikawa inapigwa KASWIDA ungejisikiaje? Leo cdm inatakiwa kuunganisha watu wote na dini zote ili kuchukua dola na isifanye makosa ya cuf kuzani unaweza kuchukua dola na watu wa dini moja ili tufike tunakoenda lazima tukosoane na kuelezana ukweli people's power!!
 
Magamba at work
 
Kama huu utaratibu ni kweli upo, utakuwa umetoa mzuri....
 
weka nukta kwanza kwenye hiyo **** yako.
 
Well said mkuu.Hichi kitu kinanikera hata mimi.Halafu kuna mijitu humu ndani inakimbilia Magamba at work.Magamba nani wako watu wanania nzuri na chama halafu unaleta mambo ya kipuuzi.
 
Last edited by a moderator:
Mimi nimehudhuria mikutano mingi ikiwemo maadamano toka buzuruga hadi furahisha pale mwanza sijasikia hizo nyimbo,kama hiyo tabia imeanzia huko arusha,nasema nyimbo za dini yeyote kwenye mikutano ya kisiasa si pahala pake !
 
Magamba at work

Lets call a spade a spade and a spoon a spoon. Nadhani kaka unanielewa, ninacho maanisha mleta mada yuko very genuen na hakuchanganya mawazo yake na chembembe za unafiki na hapa nimemgongea like. Na sababu si kana kamba yuko sahihi kwa 100% kwa haya aliyoyasema hapa but I concidered him is very genuine to his thought. Sasa ninachotaka kusema ni kwamba we need to be balanced and pricised in whatever we are doing for the sake of CDM. Nashukuru kaka kama utaliona hili katika uhalisia wake! Asante sana!!!
 
Wana-JF, tujue kuwa CDM inaongozwa na watu ambao sio malaika. Makosa kama anayoripoti mtoa mada yanaweza kufanyika ingawa naamini hakuna kiongozi ndani aliyeelekeza jambo hilo kulifanya. Mtoa uzi huu anaonekana amefanya observation hiyo na kutoa ushauri. Sioni ubaya wa ushauri wake. Ni bora tukarekebisha pale panapovuja ili tuweze kuziba mwanya wa magamba kupata cha kuegemea. Tukianza kufikiri kuwa ndani ya CDM ni perfect 100% tutakuwa tunafanya kosa kubwa la kiufundi. Tukubali constructive ideas & observations.
 
Mimi nina cd iliyotolewa na cdm juzijuzi ikiwa ni shooting ya Mkutano wa NMC uliofanyika mara baada ya Lema kuenguliwa Ubunge, na inauzwa sana hapa Arusha na sehemu zingine kwa sasa!

Cd hiyo wakati inaanza unasikika backing sound ya ule wimbo wa Wanyarwanda waliopata ajali(Mungu kwanini umeruhusu jambo hili kutokea)...

Nadhani walichukua kipande hicho si kwa nia ya dini 'parse' kama unavyojaribu kupandikiza, bali kutokana na yale maneno yanayoimbwa katika wimbo ule yalivyo na hisia(aliyetazama zile cd ananielewa) basi inahusishwa moja kwa moja na tendo la serikali kwa kutumia mahakama ilivyoruhusu udhalimu wa kumvua Mbunge wa Arusha ufanyike!
Though, your advice taken on board!
DSCN9964_thumb%25255B4%25255D.jpg
 
kumbe Mhe lema mlokole? mwenye uelewa wa kutosha naomba anijuze maana ya ulokole kama hata Godbless yumo!!!!!
 
Kama wengi wanazipenda hizo nyimbo za dini basi wajifunze kuchanganya na zile ambazo si za dini ya kikristo, vinginevyo na mimi mkristo nasema haipendezi.
 
Mimi sisemi kuwa hili limetokea kwenye mkutano uliopita tu.hizi nyimbo za kidini zipo kwenye mikutano iliyopita pia Kama unayo tape unaweza ku review.inaonyesha Chama chetu labda haiwapangii mziki wa kupiga mcs na watu tunaokodisha speakers kwao,hili ni jambo dogo tuu lakini linaweza kua big deal kwa maadui zetu wanaotaka tukugawa ni hayo vongozi wangu wa cdm!
 
Back
Top Bottom