Wananchi wanaelewa kazi za viongozi hawa?

Goheki

JF-Expert Member
Aug 23, 2011
448
387
Heshima kwenu wanajamvi. Jamvi letu linawataalamu mbalimbali hivyo ni matumaini nitapata msaada wa kutosha.Nini kazi ya - 1.Mkuu wa Mkoa 2.Mkuu wa wilaya.3.Mkurungenzi wa wilaya.4.Mbunge.5Diwani.
 
hata mimi nadhani tungeelimishwa juu ya kazi za hawa mabwana hasa ma dc na madiwani mana mm nashindwa kuelewa wanavyofanya kazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom