Hakuna Haja ya kuwa na waziri wa mambo ya nje!

King2

JF-Expert Member
Nov 16, 2011
1,277
181
Ndiyo, kwa sababu naona kikwete yeye ndo ana act kama minister of Foreign Affairs. Kama sasa hivi naskia yupo ethiopia, akitoka hapo kwa Obama.
 
Yeah_sio waziri wa mambo ya nje tu,.hakuna haja ya mawaziri wote na badala yake..kamati zichukue nafasi za wizara zote..kwani ndio tumeona zinaleta tija kwenye maslahi ya taifa.
 
Yeah_sio waziri wa mambo ya
nje tu,.hakuna haja ya mawaziri wote na badala yake..kamati zichukue
nafasi za wizara zote..kwani ndio tumeona zinaleta tija kwenye maslahi
ya taifa.

harufu ya waridi ni ileile hata ukilibadilisha jina.
 
Ndiyo, kwa sababu naona kikwete yeye ndo ana act kama minister of Foreign Affairs. Kama sasa hivi naskia yupo ethiopia, akitoka hapo kwa Obama.

Joka la mdimu Membe amekuwa kama mwandosya, sasa cha kufanya nae aombe kupumzishwa...
 
Yeah_sio waziri wa mambo ya nje tu,.hakuna haja ya mawaziri wote na badala yake..kamati zichukue nafasi za wizara zote..kwani ndio tumeona zinaleta tija kwenye maslahi ya taifa.

the president was a foreign minister 7 yrs ago..he became the president and forgot that he was no longer a foreign minister...kuna trip zingine anazichukua ambazo vice president or foreign minister angezichukua but jamaa haachii anaenda mwenyewe...sijui ni hizi allowance anazopata au wakati alivokua foreign minister alikua ana madili yake so hataki mtu mwingine kuingilia shuhuli zake ama sijui ni vipi.. ana spend more time na watu wa nchi za nje kuliko anavyo spend time na watu waliompigia kura....and then again maybe watu hawakumpigia kura he just happened to get the votes
 
Joka la mdimu Membe amekuwa kama mwandosya, sasa cha kufanya nae aombe kupumzishwa...

Yea, Membe atakuwa anachukia kweli kweli Kwa sababu baadhi ya Hizi Safari ilibidi awe anaenda yeye. Ndo kama hivo anaenda ethiopia then kwa Obama then anaunga Botswana.
 
Putin kamwambia waziri mkuu wake Medvedev ndo aende kwenye mkutano huo U.S.A ila huyu ****** wetu kamwe hawezi fanya kitu kama hicho.. Tena kwa Obama. Teh! teh!
 
Back
Top Bottom