Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Naye ni Mkuu wa Wilaya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Naye ni Mkuu wa Wilaya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ndallo, May 10, 2012.

 1. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 6,952
  Likes Received: 744
  Trophy Points: 280
  Katika kule tunaposema ni kulindana na nani amfunge Paka Kengele ni kua kuna yule bwana aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) kwa takribani miaka 20, Amani Mwenegoha naye ameukwaa ukuu wa wilaya.

  Huyu mtu alikuwa na kesi ya kula hela za Kanisa; hapa napata mshtuko kuhusiana na kulindana huku.
   
 2. T

  Turbulence Senior Member

  #2
  May 10, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 153
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Wapo wengi tu wa aina hiyo kwenye hii sirikali. Ndo mana wizi haushi. Kama aliiba sadaka za waumini kanisani, atashindwa vipi kuiba kodi za wananchi?? Pia aligombea nomination ya ubunge CCM akashindwa.
   
 3. S

  Silent Burner Member

  #3
  May 10, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakushindwa, alishawishiwa ampishe aliyekuwa anatakiwa ... na yeye angeangaliwa cha kupewa baadaye.
   
 4. Olaigwanani lang

  Olaigwanani lang JF-Expert Member

  #4
  May 10, 2012
  Joined: Apr 26, 2012
  Messages: 478
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ijapokuwa huyo bwana namjua.. ni msomi wa hali ya juu..lakini tujue kwamba ili ufanikiwe kwa kila kitu hapa kwetu ni lazima uwe chini ya kivuli cha CCM......bila hivo utakomolewa wee mpaka ukome
  hilo mie halinishangazi.....!
   
 5. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #5
  May 10, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,595
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  jamani ni huzuni tuu!
  Vijana mnaonaaaaa!!!!!!.
   
 6. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #6
  May 10, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 6,952
  Likes Received: 744
  Trophy Points: 280
  Na sijui aliingiaje KKKT kwakua kuna tetesi kua ni Muislamu!
   
 7. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #7
  May 10, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,823
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Everything impossible is possible, and everything possible is impossible in Tanzania
   
 8. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #8
  May 10, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 25,252
  Likes Received: 7,073
  Trophy Points: 280
  huko ndiko atamaliza kila kitu ila wananchi siku hizi wameshtuka lazima watamchapa vibao akileta ujinga
   
 9. E

  Eddie JF-Expert Member

  #9
  May 10, 2012
  Joined: Nov 28, 2008
  Messages: 516
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  JK anapendelea sana waislam....
   
 10. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #10
  May 10, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,950
  Likes Received: 366
  Trophy Points: 180
  nilichompendea jamaa kajaza warembo wengi sana. ngoja akawasambazie kitu na box waanze kumeza vidonge na wao
   
 11. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #11
  May 10, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 891
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  huyu jamaa niliskia alikuwa anapiga ushirikina pale ofisi za dayosisi! asikofu alipozidiwa uchawi ikabidi wampige chini
   
 12. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #12
  May 10, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,082
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 0
  Sasa ulitaka ale pesa za nani kama hajajisaidia kwa pesa za Mungu?
   
 13. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #13
  May 10, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 9,160
  Likes Received: 4,024
  Trophy Points: 280
  Ina maana hawa ma DC hawakupitishwa vetting muda wote huu tangu dec 2010 hadi leo??maana angepita vetting angepata negative.....maana amekula hela kanisani hafai kabisa tena wananchi wake watamuuliza swali atapandisha jazba!!!subiri utasikia
   
 14. N

  Njaare JF-Expert Member

  #14
  May 10, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 1,071
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mh! Hiyo ni imani potofu. CCM si lolote. Ni propaganda tu. Keani kina Tambwe hiza wako wapi?
   
 15. Mbugi

  Mbugi JF-Expert Member

  #15
  May 10, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,465
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  kama aligombea ubunge akashindwa, basi ana sifa kwani alionyesha nia, ila kura hazikutosha, na pengine ni vizuru tukakubaliana kwamba ana mtaji kwa kuzingatia kura alizopata. swala la tuhuma za kula fedha, mwenyewe umekiri ni tuhuma tu, ingekuwa si hivyo angekuwa gerezani, na kumbuka makanisa yetu haya ya kiprotestant kutuhumiana ni jambo la kawaida ilimradi tu imethibitika umeoteshwa ndotoni, na si tuhuma za kiukaguzi.
   
 16. S

  SURNAME Member

  #16
  May 10, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu mbona haumalizii maamuzi ya kesi yalikuweje kwa sababu kuwa na kesi ni sehemu moja na hukumu ni sehemu nyingine, wapo wanaofungwa kwa kusingiziwa. Tuache majungu na ufinyu wa kufikiri
   
 17. Lenana

  Lenana JF-Expert Member

  #17
  May 10, 2012
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 421
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Amani Mwenegoha aliitelekeza familia yake Makumira kwenye Nyumba aliyopatiwa na Kanisa! Ana wake wawili!

  Ameondoka KKKT kwa tuhuma za uzinzi na ubadhirifu wa mali za kanisa pamoja na uchochezi katika mgogoro wa dayosisi ya Pare! Zipo tetesi kuwa huyu jamaa alikuwa shushushu wa serikali aliyepandikizwa kwa kazi maalum.
   
 18. Zinedine

  Zinedine JF-Expert Member

  #18
  May 10, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,189
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hee, yaani miaka ishirini yote hiyo aliyoitumikia Kanisa then useme muislam? It can't be! Na je huyu ana uhusiano na yule Mwenegoha aliyekuwa Naibu Waziri wa Ujenzi katika fisadi convoy la Mkapa?
   
 19. IKHOIKHOI

  IKHOIKHOI JF-Expert Member

  #19
  May 11, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 366
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  u-DC sasa umekuwa ni kama kichaka cha kuficha watu wa aina fulani tutawajua muda si mrefu.
   
 20. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #20
  May 11, 2012
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  amekula hela au vijihela?haa bwana acha hizo...
   
Loading...