Rais Kikwete safarini Ethiopia

Asingesafiri tungeshangaa kuliko alivyisafiri.
Anakwepakuwashughulikia Ekelege na Makatibu Wakuu waliochafuka?
 
Kuna mkutano wa World Economic Forum (WEF) ambao mwaka jana ulifanyika Mlimani city Dar es salaam.

Badala ya kuijadili safari tujadili faida za mkutano huo kisha tutajua umuhimu wa Rais kwenda.

Kama kuna mtu anajua faida na hasara za mkutano huo tunaomba msaada tuweze kupima umuhimu wa Rais kuwepo.
 
Kuna mkutano wa World Economic Forum (WEF) ambao mwaka jana ulifanyika Mlimani city Dar es salaam

baada ya huo mkutano wa Mlimani City tumefaidika nini
Au ni uwekezaji gani mpya tumeupata
Au baada ya pale tuliachiwa gharama za mkutano bila faida na watu wakafanya utalii na kuondoka
Au maazimio yake yalibaki pale pale Mlimani City
Na ya mwaka huu yanaongezeka tena
 
Kabla hajaenda basi angemkumbusha Lukuvi au meya wa Kinondoni Yusuf Mwenda kutoa ile mipalm waliyoagiza syshelles kuja kupandwa usiku kabla ya mkutano manake imekauka yote na kuwa uchafu labda ndio kitu ambacho tuliambulia,kuachiwa vingingi vya mipalm na mshimo ha ha JK bwana humuwezi nan anaendesha sasa CC huko Dodoma anaogopa kivuli chake anastrategy kweli ya kucalm mind yake
 
May be ndicho tulichoachiwa
na utalii waliokuja kufanya hapa bongo basi
na then mkutano mwingine
 
Tutumie njia ya kutoa sababu ya kuzuia safari za Rais badala ya kusema bila mpangilio mwisho hatupati kile tunachohitaji
 
Mama Polojo mmeenda jumla ya wajumbe wangapi

wapishi 5,wapiga pasi 2 wa kwake na 2 wa mama,maofisa 25 na mawaziri 2.lakini ujumbe wa watu wangapi sio issue,kazi hapa ni kuwa hapo mtu anayelipwa kidogo ni yule wa dola 9000 kwa siku.Kaaaaaaazi kwelikweli
 
Kuna mkutano wa World Economic Forum (WEF) ambao mwaka jana ulifanyika Mlimani city Dar es salaam.

Badala ya kuijadili safari tujadili faida za mkutano huo kisha tutajua umuhimu wa Rais kwenda.

Kama kuna mtu anajua faida na hasara za mkutano huo tunaomba msaada tuweze kupima umuhimu wa Rais kuwepo.

Hauna faida yeyote kwani ulivyofanyika hapa ulituongezea nini? hata kama kuna faida uliyoleta si ndio hizohizo mnaiba wezi wakubwa
 
Tutumie njia ya kutoa sababu ya kuzuia safari za Rais badala ya kusema bila mpangilio mwisho hatupati kile tunachohitaji

faida za safari hizo tuzione na sio kusafiri tuu
Tuambie alivyoenda Brazili ameleta nini na manufaa gani tumeyaona au kule jamaica wakati anabembea tulipata nini
Huko Ethiopia tutapata nini akisharudi ndio tunaweza kujadili
Na kuna wengine wanawatuma wasaidizi wao sio lazima aende yeye kila safari bana
 
Na siku chache baadaye anapanda pipa kuelekea Marekani ambako anaenda kuzungumzia food security, whatever that means!
 
Kabla hajaenda basi angemkumbusha Lukuvi au meya wa Kinondoni Yusuf Mwenda kutoa ile mipalm waliyoagiza syshelles kuja kupandwa usiku kabla ya mkutano manake imekauka yote na kuwa uchafu labda ndio kitu ambacho tuliambulia,kuachiwa vingingi vya mipalm na mshimo ha ha JK bwana humuwezi nan anaendesha sasa CC huko Dodoma anaogopa kivuli chake anastrategy kweli ya kucalm mind yake
cc huko dodoma ataiendesha yeye,atakuwepo ila baada ya hapo pia atasafiri maana kuna shughuli ameahirisha ambayo ilikuwa ifanyike tr 18/05 ila ngoja niangalie hapa kwenye ratiba vizuri nione kama kuna marekebisho ila sasa tuangalie manufaa ya yeye na hizo safari kwa uchumi unaokufa wa tz!!!!
 
Back
Top Bottom