Sherehe za mwenge zina manufaa gani kwetu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sherehe za mwenge zina manufaa gani kwetu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by CHIEF MVUNGI, May 11, 2012.

 1. C

  CHIEF MVUNGI Senior Member

  #1
  May 11, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa tulivyosomeshwa skuli zetu mwenge uliwashwa ukiwa na ujumbe ati UHURU WA KUJITAWALA,UMOJA NA MSHIKAMANO.sasa kwa leo vitu hivi havipo sasa unamanufaa gani kama cyo kufuja pesa zetu kwa sherehe hizi zisizo na manufaa kwa mtanzania na kusababisha maambukizi ya ukimwi.
   
 2. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Hazina faida yeyote, ni matumizi mabaya ya fedha za umma!
   
 3. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Jana nimeshangaa sana kuwa mwenge bado upo Tanzania hii!
   
 4. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Wenzako wanakula maalawance wewe unawawekea kiwingu!
   
 5. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #5
  May 11, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  siri kaondoka nayo mwalimu nyerere.
  au waswahili wanasema.
  mganga aliye kuloga kaacha uganga.
   
Loading...